EPL IMERUDI NA CASH DROPS!

Ligi kuu ya Uingereza ime rejea tena na ina anza na Mechi ya Mancity na Arsenal! Mzuka hauishii hapo, pesa taslimu 1000 kushindaniwa na mteja mwenye bahati kushinda zawadi kubwa ya shilingi 240,000 TSH!

Ni rahisi, weka bashiri yako yenye machaguo zaidi ya mawili kwenye mechi za Ligi Kuu ya Uingereza, na utapata nafasi katika droo ya kushinda fedha taslim!

BASHIRI SASA

 

MUDA WA OFA
  • Ofa hii ya kurejea kwa ligi kuu ya Uingereza ita anza kuanzia terehe 17 Juni 15:00 alasiri mpaka tarehe 24 Juni 03:59.
  • Bashiri yeyote au mkeka ulio wekwa nje ya muda tajwa hapo juu, hauto fuzu ofa hii.
UBASHIRI STAHIKI
  • Kiwango cha chini cha dau lako 465 TSH.
  • Kima cha chini cha bashiri 2 au machaguo zaidi yatafuzu katika ubashiri wa kawaida wa mechi na ubashiri mubashara. Ubashiri wowote wa chaguo moja hautafuzu.
  • Kima cha chini cha jumla ya lama ni 2.00.
  • Bashiri zitakazofanyika kwenye mechi za Ligi kuu ya Uingerezza pekee.
  • Bashiri zilizosahishwa pekee. Bashiri zilifanyiwa Cash out au kufutwa hazitahesabika.
  • Bashiri za pesa taslimu pekee zitafuzu kwenye droo hii (bashiri zitakazofanyika kwa pesa za bonasi au Bashiri za Bure hazitahesabika).
Cash Drop
  • Mchezaji mmoja stahiki atachaguliwa bila mpangilio na kupokea tuzo kubwa zaidi ya 240,000 TSH.
  • Wachezaji wengine stahiki 999 watachaguliwa bila mpangilio maalumu na kupokea 2,400 TSH kila mmoja.
  • Tuzo za ya pesa taslimu ya Cash Drop italipwa ndani ya masaa 72 ya mwisho wa muda wa ofa.
Jumla
  • Tunayo haki kuondoa na /au kubadili vigezo na masharti ya promosheni na masharti kulingana na hiari yetu wenyewe, na uamuzi wowote kulingana na ushindi uliotolewa.
  • Tuna uwezo, katika hiari yetu wenyewe, kumuondoa mteja asipokee promosheni teule (bei nafuu ya uhakika; bonasi; bashiri za bure; thamani zilizoboreshwa; na rejesho la fedha maalum) na promosheni na ofa nyingine.
  • Tunayo haki, kutenga, kufuta au kuondoa Bashiri za Bure na Ushindi wa Bashiri za Bure kwenye akaunti ambazo zimebainika kufanya udanganyifu
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.