Flash Win Flash Win

Monopoly Mubashara ni mchezo wa kipekee mubashara wa mtandaoni uliotokana na mchezo pendwa duniani wa ubaoni. Zungusha gurudumu la pesa, ukiwa umeweka rehani angalau 2,350 TSH kwa wiki na usiposhinda tutakupa rejesho la hadi 20% ya kiasi cha pesa ulichopoteza kwa wiki nzima cha hadi 47,000 TSH.

Step 1
Cheza Monopoly
Prize draw
Step 2
Weka bashiri zako
Deposit
Step 3
Shinda au pata rejesho la pesa
Leaderboard

Jiunge na Mr. Monopoly anavoingia ulimwengu wa 3D MONOPOLY anaposogea ubaoni na kijikusanyia tuzo, points maradufu na zaidi! Jiandae kucheza Monopoly ambayo inakupa nafasi ya kushinda mara nyingi Zaidi! Zungusha gurudumu, kwa kima cha chini cha 2,350 TSH kwa wiki na kama hautoshinda kwenye mchezo huu wa kusisimua, tutakurudishia mpaka 20% ya kiasi cha pesa utakachopoteza kwa wiki mpaka 47,000 TSH.

Ofa ya rejesho la pesa kwenye mchezo wa MONOPOLY itaanza kuanzia Jumatatu ya tarehe 4 Januari mpaka Jumatatu ya tarehe 10 Januari.

Kuhusu Mchezo. MONOPOLY Mubashara inabeba hisia na msisimko wa michezo ya kuzungusha gurudumu la hela, na inajumuisha mambo ya kipekee ya mchezo huu wa Monopoly. Pamoja na kukupa nafasi ya kubashiri katika gurudumu linalosimama katika namba yeyote, Gurudumu linajumuisha vipengele vya ‘CHANCE’ , kwa ushindi wa papo hapo wa hela na mazidishio, na pia kuna vipengele vya ‘2 ROLLS” NA “4 ROLLS”. Vipengele hivi vya herufi vinaleta uhalisia na msisimko wa mchezo huu wa 3D uliojengwa na safari ya Mr. MONOPOLY.

Muda wa Promosheni
  • Ofa ya rejesho la pesa kwenye mchezo mubashara wa Monopoly itaanza Jumatatu ya tarehe 4 Januari saa 01:00 hadi Jumatatu ya tarehe 11 Januari 00:59.
  • Bashiri zitakazo wekwa nje ya muda tajwa hapo juu, hazito fuzu ofa hii.
Rejesho la pesa taslimu
  • Ofa ya rejesho la pesa taslimu inapatikana kwa Mchezo wa Monopoly tu.
  • Wachezaji wanastahiki kurudishiwa pesa kwa 20% ya hasara waliyoipata hadi 47,000 TSH.
  • Bashiri zilizo wekwa kwa pesa taslimu ndizo zitakazo hesabiwa kwenye promosheni hii (Bashiri zilizo wekwa kwa pesa ya bonasi hazito hesabiwa).
  • Wachezaji wanatakiwa kuchezea angalau 2,350 TSH ili kufuzu kwenye hii ofa.
  • Kiwango cha juu wachezaji kupokea ni 47,000 TSH.
  • Rejesho la pesa taslimu litalipwa ndani ya masaa 72 baada ya kuisha kwa promosheni hii.
  • Rejesho la pesa taslimu lita wekwa kwenye akaunti bila masharti mengine ya ziada.
Jumla
  • Ofa hii haiwezi kutumika na mjumuisho wa ofa nyingine yeyote.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kuwatenga mteja yeyote kutoka kupokea matangazo ya kuchaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.