ALAMA ZA HAPPY HOUR!

Angalia machagua yenye alama zetu kubwa zinapatikana kwa muda mchache tu. Tutakua na happy hour za kila siku kwa wiki na tutaongeza ubora wa alama kwa machaguzi husika.

Sasa tazama happy hour ikienda live na uingie kwenye pambano!

STEP YA 1: NENDA KWENYE MACHAGUO YETU YA MICHEZO

STEP YA 2: CHAGUA HAPPY HOUR

STEP YA 3: TENGENEZA MKEKA WA ALAMA KUBWA

BASHIRI SASA

 

KITU GANI KINGINE NINACHOTAKIWA KUJUA?
  • Alama za Happy Hour ni rahisi. Tuna boresha alama kwenye chaguzi husika,Mara nyingi kwenye mechi kubwa ama michezo mbalimbali. Hii Itapatikana mpaka masaa 2 baada ya mechi ya kwanza kuanza miongoni mwa machaguo . Unajua bashiri ina thamani nzuri kama alama zimeboreshwa na muda mwingine zaidi.
  • Tunaweza tukatoa alama za happy hour Zaidi ya moja kwenye siku za mechi za machaguo. Alama za Happy Hour zinaweza kuwepo Asubuhi na jioni wikiendi, na jioni tu kwenye siku za wiki. Kuwa nasi kwa kuangalia tovuti yetu wakati Happy Hour zipo live, wahi na hakikisha unaweka bashiri za alama bora kabla Happy Hour haija kwisha muda wake.
  • Wachezaji wanaweza kuweka bashiri Zaidi ya moja mpaka dau la mwisho kufika.
  • Dau la juu la kuweka ni 2,274,828.00 TSH kutegemea na alama.
  • Uongezaji utakua batili kama machaguzi yaliyowekwa kutokuchezwa.
  • Tuna dhamana ya kutoa mteja kwenye bonasi kama tutahisi ataenda kinyume na ofa.