Hit that SWEET SLOT Tournament!

Itakuwa tamu nzuri kiasi gani kushinda sehemu ya kitita cha 115,000,000 TSH pesa taslimu katika shindano letu la Betsoft Hit that SWEET SLOT. Kila wiki kwa wiki 3, kutakuwa na shindano tofauti la kushinda gawio la 37,585,000 TSH na tuzo 100 za pesa taslimu kushindaniwa!

  1. Teua slot.
  2. Zungusha kuanzia 2,500 TSH.
  3. Angalia ubao wako ushindi kwa tuzo

The Hive
CHEZA SASA
Super Sweets
CHEZA SASA
Take the Bank
CHEZA SASA
Gold Canyon
CHEZA SASA

Others Games

Cheza kwenye michezo stahiki 9 ifuatayo kwa bashiri za pesa halisi ili kupata nafasi ya kujishindia tuzo ya pesa taslimu:

Hali ya Ubao wa washindi wa Mashindano:

Wiki 1 nafasi ya sasa & Tuzo

Muda wa Ofa
  • Promosheni ya Hit that SWEET SLOT tournament inaanza Jumatatu tarehe 13 Julai 2020 saa 03:01 usiku mpaka tarehe 3 Agosti 2020 saa 02:59 usiku.
  • Ubashiri wowote utakaofanyika nje ya muda wa ofa hii hautafuzu kupokea ofa hii.
Pesa za Tuzo & Mfumo wa Mashindano katika Wiki ya Kwanza, Wiki ya Pili, na Wiki ya Tatu
  • Wachezaji bora 100 watashinda tuzo za pesa taslimu kila wiki kwenye kila Shindano, ambalo lina “kigezo ushindi” tofauti kila wiki.
  • Jumla ya tuzo yenye thamani ya 115,000,000 TSH itagawanywa kwa usawa kwa kipindi cha wiki 3.
  • Wiki ya Kwanza: Kima cha juu cha kuzidisha (kisichopungua ubashiri wenye thamani 2,500 TSH), Tuzo kuu ya 37,585,000 TSH ikiwa na washindi 100 kuanzia Jumatatu tarehe 13 Julai 2020 saa 03:01 usiku mpaka Jumapili tarehe 20 Julai 2020 saa 02.59 usiku.
  • Wiki ya Pili: Kima cha juu cha mzunguko (kisichopungua ubashiri wenye thamani ya 2,500 TSH), Tuzo kuu ya 37,585,000 TSH ikiwa na washindi 100 kuanzia Jumatatu tarehe 20 Julai 2020 saa 03:01 usiku mpaka Jumapili tarehe 27 Julai 2020 saa 02.59 usiku.
  • Wiki 3: Kima cha juu cha kuzidisha (kisichopungua ubashiri wenye thamani ya 2,500 TSH), Tuzo kuu ya 37,585,000 TSH ikiwa na washindi 100 Winners kuanzia Jumatatu tarehe 27 Julai 2020 saa 03:01 usiku mpaka Jumapili tarehe 3 Agosti 2020 saa 02.59 usiku.
Pesa za Tuzo - Kwa Mashindano ya Wiki ya Kwanza, Wiki ya Pili, na Wiki ya Tatu
  • Kuna shindano jipya kila wiki ya Kwanza, wiki ya pili na wiki ya tatu. Wachezaji 100 bora wa wiki watagaw 37,585,000 TSH tuzo za pesa baina yao kwa mgawanyo kama unavyooneshwa kwenye ubao wa washindi kila wiki.
  • Malipo ya ushindi yatafanyika kwenye akaunti yako ndani ya masaa 72 baada ya kuisha kwa muda wa ofa.
Jinsi ya Kuingia:
  • Kima cha chini cha mzunguko unaostahiki kufuzu ni 2,500 TSH.
  • Ubashiri stahiki ni lazima ufanyike kwenye yoyote kati ya michezo ifuatayo: The Hive, Super Sweets, Sugar Pop 2: Double Dipped, Take the Bank, Monster Pop, Chilli Pop, Gold Canyon, Gemmed, Back to Venus.
  • Mizunguko ya pesa halisi itachangia alama pekee (bashiri zitakazofanyika kwa pesa za bonasi hazitahesabika).
  • Shindano la wiki ya Kwanza: Vigezo ushindi: Kima cha juu cha kizidisha ushindi: Ili kufuzu wachezaji wanapaswa kufungua moja kati ya michezo stahiki. Mchezaji atakayekuwa na Kima cha juu zaidi cha kizidisha ushindi, kutokana na mzunguko mmoja wenye thamani ya 2,500 TSH au zaidi, atashinda alama nyingi zaidi katika shindano.
  • Shindano la wiki ya Pili: Vigezo ushindi: Kima cha juu cha mzunguko: Ili kufuzu wachezaji wanapaswa kufungua moja kati ya michezo stahiki na kufanya angalau bashiri moja yenye thamani ya 2,500 TSH au zaidi. Ubashiri wa pesa taslimu pekee utafuzu kwenye promosheni hii. Wachezaji waliojilimbikizia mzunguko mingi zaidi iliyofuzu watashinda sehemu ya tuzo kuu mwishoni mwa muda wa promosheni husika.
  • Shindano la wiki ya Tatu: Vigezo ushind: Kima cha juu cha kizidisha ushindi: Ili kufuzu wachezaji wanapaswa kufungua moja kati ya michezo stahiki. Mchezaji atakayekuwa na Kima cha juu zaidi cha kizidisha ushindi, kutokana na mzunguko mmoja wenye thamani ya 2,500 TSH au zaidi, atashinda alama nyingi zaidi katika shindano.
  • Mfano: Kama umebashiri 2,500 TSH na ukashinda 25,000 TSH, basi kizidisha ushindi chako ni 10 ambayo itakuwa alama yako. Kama, kwenye mzunguko mwingine wa mchezo, ukibashiri 2,500 TSH na ukashinda 12,500 TSH, hii itakupa kizidisha ushindi cha 5. Kwa matokeo hayo, alama yako bora ndio itakuwa alama yako ya mwisho itakuwa ya 10. Alama bora za mchezaji kutoka katika kila mzunguko hulinganishwa dhidi ya kila moja wakati wa muda wa promosheni uliotajwa. Wachezaji walio kwenye nafasi za juu watashinda sehumu ya tuzo kuu.
Ubao wa washindi

Ubao wa ushindi wa kimtandao kwa kila shindano utapatikana kwenye link zifuatazo.Ubao wa washindi utakuwa ukisahihishwa kila baada ya dakika 10 kila siku.

Jumla
  • Ubao wa washindi si maalum kwa wachezaji wetu pekee, ni mtandao wa promosheni wa Betsoft unaotumika na mitandao yote shiriki.
  • Wachezaji wanaweza kushinda tuzo moja (1) pekee kutoka kwenye tuzo kuu.
  • Katika tukio ambapo,mwisho mwa muda wa promosheni, wachezaji wawili au zaidi wamejilimbikizia idadi sawa ya alama, mchezaji aliyetangulia kufikisha alama hizo kwanza atastahili nafasi ya juu zaidi.
  • Mizunguko iliyofanyika kwa pesa za bonasi haitahesabiwa katika mchakato wa hesabu ya alama jambo ambalo litachambua wachezaji katika msimamo wa alama.
  • Tunayo haki ya batilisha alama, au kutokulipa tuzo, ambapo sehemu yote ya alama ittapatikana na makosa, mapungufu au itilafu za kiufundi (ikiwemo malipo batili ya mchezo) yawe yamesababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kulingana na mchezo wowote shiriki.
  • Tunayo haki zaidi ya kubatilisha alama, au kutokulipa tuzo ambapo, katika maoni yetu,zote au sehemu ya alama zinatokana na udanganyifu au njama na wachezaji wengine.
  • Tunayo haki kuondoa na /au kubadili vigezo na masharti ya promosheni na masharti kulingana na hiari yetu wenyewe, na uamuzi wowote kulingana na ushindi uliotolewa.
  • Tuna uwezo, katika hiari yetu wenyewe, kumuondoa mteja asipokee promosheni teule na promosheni na ofa nyingine.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.