Second Chance Lotto Second Chance Lotto

Jaribu bahati yako na Live Instant Win na kama namba zako za bahati hazito kupa ushindi tutakupa rejesho la 20% ya kiasi ulicho poteza! Ni rahisi, weka dau lako la angalau 2,500 TSH ili ufuzu, na kama utapata hasara ndani ya wiki hii nzima, tutakupa rejesho la 20% ya kiasi ulicho poteza hadi kufikia 50,000 TSH.

Jaribu bahati yako kwenye Live Instant Win, cheza Bahati Sita 35/48 kwenye droo kila dakika 7 upate nafasi ya kushinda hadi 250,550,000 TSH . Ikiwa nambari zako za bahati hazitatoka bado tutakulipa malipo ya pesa kwa 20% kwenye hasara zako.

Ofa ya rejesho la Pesa taslimu na Live Instant Win ita anza Jumanne tarehe 29 Septemba mpaka Jumatatu tarehe 4 Oktoba.

Chagua nambari zako za bahati nzuri au jaribu chaguo maalum kwenye Live Instant Win na ikiwa hautashinda tutakupa rejesho la pesa taslimu la 20% hadi 50,000 TSH.

Muda wa Promosheni
  • Rejesho la Pesa taslimu na Live Instant Win Ita anza Jumanne tarehe 29 Septemba saa 01:00 usiku mpaka Jumatatu tarehee 4 Oktoba saa 00:59 usiku.
  • Bashiri zozote zitakazofanyika nje ya muda wa ofa tajwa hapa juu hautafuzu ofa hii
Rejesho la Pesa taslimu
  • Rejesho la pesa taslimu ni kwa mchezo wowote wa Live Instant Win games.
  • Wacheza wanastahili kulipwa pesa taslimu 20% kwenye hasara hadi 50,000 TSH.
  • Ubashiri wa pesa taslimu pekee kwenye michezo ya Live Instant Win games utahesabika kwenye ofa hii (bashiri zitakazofanyika kwa kutumia pesa za bonasi hazitahesabika).
  • Wachezaji wanapaswa kucheza kima cha chini cha 2,500 TSH ili kustahili kupata ofa hii.
  • Kima cha juu cha kiasi ambacho mteja anawezakupokea ni 50,000 TSH.
  • Malipo ya rejesho la pesa taslimu yatafanyika ndani ya masaa 72 baada ya ofa kumalizika.
  • Rejesho la pesa taslimu litalipwa kweye akaunti yako pasipo na sharti la kuitumia.
General
  • Ofa hii haiwezi kutumika kwa muunganiko na ofa nyingine yoyote.
  • Tunayo haki ya kufuta matokeo, au kutoa lipa rejesho la pesa taslimu, ambapo yote au sehemu ya matokeo ya alama kutoka kwa makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na ulipaji sahihi wa mchezo) ikiwa imesababishwa na mashine au kosa la mwanadamu kwa heshima ya yoyote michezo inayoshiriki.
  • Tunayo haki kuondoa na /au kubadili vigezo na masharti ya promosheni na masharti kulingana na hiari yetu wenyewe, na uamuzi wowote kulingana na ushindi uliotolewa.
  • Tuna uwezo, katika hiari yetu wenyewe, kumuondoa mteja asipokee promosheni teule.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.