Premier Bet inamuonekano mpya, kama wewe ni mteja wetu mzoefu au mteja mpya taarifa zifuatazo zitakusaidia kupata uzoefu bora zaidi kwenye tovuti yetu.

Tafadhali angalia Maswali yaulizwayo kwa msaada zaidi na kwa taarifa zaidi kuhusu Bonasi.
Kwa nyongeza, orodha kamili ya Vigezo na Masharti inaweza kupatikana ndani ya Kipengele cha Vigezo na Masharti.Vigezo na Masharti

Get the best experience with our new website
Kwa njia rahisi kuingia kwenye akaunti yako sasa wateja wapya wanaweza kujisajili na kuingia kwa kutumia namba yako ya simu Ex. 255123456789 Jina la mtumiaji linabakia kama awali kwa wateja wa zamani wenye akaunti kabla tovuti haijabadilishwa (27/03/2019).
Kama umeunganisha app ya Android App kabla ya tarehe 27 Machi 2019 unahitaji kuinganisha upya tena. Pakua app yetu kwenye Android kutoka Google Play Store
Kuna kodi ya zuio ya Asilimia 20% kwenye tiketi za ushindi na bonasi.
Mara baada ya Ombi lako la kutoa pesa kukamilika nenda kwenye akaunti yako kwa kubofya sehemu ya salio lako (kona ya juu kulia) na fuata hatua hizi: My profile > Personal > Financial > Kisha bofya kwenye alama ya + icon inayofuatana na muhamala husika ili kuona alama za vocha zako

Voucher withdrawal code
Salio lako ni tupu? Unatakiwa kuweka fedha dakika 10 kabla ya mechi haijaanza? Tulia, vuta pumzi, unahitaji dakika 2 pekee kuweka fedha kwenye akaunti yako kutumia njia ya Vocha au Tigo au Vodacom. Njia hii mpya ni rahisi na haraka.
Sasa utakuwa na uwezo wa kuajaza mkeka wako na kuweka bashiri kwa haraka zaidi ya awali kwa njia mpya zifuatazo:
  • Best sellers: mechi ulizokuwa ukizisubiria wiki nzima zinapatikana hapa kwa mbofyo mmoja
  • Live games: tafauta kwa mbofyo mmoja mechi zinaendelea kuchezwa katika masoko makuu (Soka, Mpira wa Kikapu, Tenesi). Kuelekea kwenyekipengele cha michezo utapata michezo mingine yote iliyopo
  • Highlights: Tafuta kwa mbofyo mmoja mechi kuu zijazo siku chache zijazo
  • Upcoming: Tafuta kwa mbofyo mmoja mechi zijazo kwa siku ya leo
  • Search bar: Andika herufi ya Jina na timu unayoitafuta na utaipata moja kwa moja
Jackpot mpya ya kipekee ya mtandaoni ya Premier Bet. Chagua matokeo sahihi katika kila moja ya mechi12 , pata matokeo yote sahihi na ushinde. Utakuwa mshindi pia kama ukibashiria sahihi matokeo ya mechi 10 au 11 (kifuta jasho). Jackpot huanzia kiasi cha 27M TSH>
Live scores na Takwimu ... Tunayofurahi kusema Livescores na Takwimu sasa zinapatikana kwa ajili yako. Sasa unaweza kupata ratiba zote mpya, magoli na matokeo ya michezo yako pendwa na timu, matukio na ligi kupitia tovuti yetu.Sasa unaweza kupata ratiba zote mpya, magoli na matokeo ya michezo yako pendwa na timu, matukio na ligi kupitia tovuti yetu, hiyo ni bora kiasi gani!