New and Exclusive

Mpya

Top Games

Michezo ya juu

Big Wins

Kushinda kubwa

Original Slots

Kiasili

Fruity Favourites Slots

Fruit

Egyptian Slots

Egyptian

Other Games

Zaidi

CHEZA SLOT MTANDAONI KUPITIA KASINO YA MTANDAONI YA PREMIER BET

Kama umekamilisha kujisajili na Premier Bet, kuna nafasi kuwa unatazamia kucheza slot ya mtandaoni. Ikiwa na mfumo mwepesi na muonekano wa kuvutia, slot ya mtandaoni inakupatia ubashiri murua na tulivu. Kuna uwanja mpana wa michezo ya kuchagua kwenye mandhari mbalimbali ya Misri na lucky leprechauns mpaka Fruity uzipendavyo. Kila mchezo una maelekezo yake binafsi hivyo hata kama hujawahi kucheza sloti mtandaoni kabla, utapata kufahamu kwa haraka ni alama zipi za kuzitazama na jinsi mistari ya malipo inavyofanya kazi. Sloti nyingi za mtandaoni zina mizunguko huru ambayo unaweza kuzungusha magurudumu bila kutumia dau la salio lako taslimu na madhari za kuvutia zinazokupa nafasi zaidi za kushinda tuzo za pesa taslimu.

JINSI YA KUCHEZA SLOT YA MTANDAONI

Takribani michezo yote ya slot ina maelekezo yanayowiana – kwa urahisi bofya kitufe cha kuzungusha na mchezo utafanya mengine! Michezo ya slot haiitaji ujuzi au mkakati wowote. Wakati ushindi ukishuka , slot ya mtandaoni inaupandisha katika Nyanja zote za mchezaji.

MISTARI YA MALIPO YA SLOT

Ili kushinda ukiwa unacheza slots, inahitaji kuoanisha alama pacha katika mpangilio maalum kwenye mizunguko. Huu unaitwa mstari wa malipo au mstari wa ushindi. Kila mchezo utakuwa na idadi tofauti ya mistari ya malipo. Unaweza kuona mistari hii ni nini katika kila menyu ya msaada. Mistari ya malipo mara nyingi huwa:

  • Katika mlalo
  • Katika mfumo wa zig-zag
  • Katika umbo la V
  • Mshazari

Alama za ushindi kwa kila mchezohutofautiana, na mistari ya malipo huwa na thamani tofauti kwenye kila mzunguko. Ukiwa unacheza na pesa taslimu, salio lako litapungua kila mara utakapozungusha gurudumu. Utahitaji pia kuamua ni kiasi gani utapenda kucheza kwa kila mzunguko mmoja.

Baadhi ya slot hazitumii mistari ya malipo na badala yake malipo yanategemea idadi ya alama unatopata kwenye mizunguko. Kwenye aina hizi za michezo, unaweza kuwa na zaidi ya njia 2,000 za ushindi.

ALAMA ZA WILDS NA ALAMA ZA SCATTER

Michezo mingi ya sloti ikiwemo Alama za Wild, huwa baa lama maalum inayorandana na alama zingine zote, amabazo hukusaidia kutengeneza mstari wa ushindi. Kwa mfano, kama alama ya Wild symbol ni Simba na umepata mstari wa malipo wa Twiga-Simba-Twiga, basi Simba atahesabiwa kama alama ya Twiga ili kutengeneza ushindi.

Alama ya Scatter inaweza pia kutokea pasipo mpangilio, kukiwa na matokeo mbalimbali. Hazihitaji kuwa katika mstari wa malipo ili ziwe hai. Katika mchezo wa Book of Gold: Chaguo la alama, alama ya scatter inaleta bonasi na pia huesabika kama Wild, ikiwakilisha alama zingine zote.

Lakini usijali sana kuhusu jambo hili – sloti zenye za mtandaoni ni za automatic, unachohitaji kufanya ni kubofya kitufe cha kucheza.

MIZUNGUKO HURU KWENYE SLOTS

Vile vile ikiwa rahisi kutmia, watu wanapenda kucheza sloti ya mtandaoni kwa ajili ya mandhari yake ya kipekee na mzunguko ya bonasi. Mizunguko huru hutoa njia ya ziada ya kushinda bila kulipia, huongeza msisimko na upekee kwenye michezo yetu.

MIZUNGUKO HURU INACHEZWAJE?

Mizunguko huru (Free spins) hutolewa kila mara. Maranyingi, hufikiwa kwa kukamilisha seti maalum ya alama, lakini pia wanaweza kupokea tuzo hiyo bila mpangilio. Unaweza pia kupata mzunguko ya bure kwa kukusanya alama fulani na kujaza ‘free spins meter’ ndani ya mchezo.

Kwa mfano, katika Book of Gold: Alama ya Chaguo kama alama 3 za kitabu zitashuka kwenye mzunguko, utapokea mizunguko huru, ambapo alama 1 huchaguliwa kuunganisha mizunguko 10 mingine.