Tunatoa nafasi ya kushindania Tecno 11 pro30 katika TUZO maalum tukisherekea kurejea kwa msimu wa soka.

Ni shindano rahisi la TUZO:

- Kwa kila 5000 TSH unayobashiria kwenye Mpira kati ya tarehe 9-19 Agosti, unapata ingizo moja kwenye shindano

- Kwa kila 10,000 TSH unayobashiria kwenye Bunifu kati ya tarehe 9-19th Agosti, unapata ingizo moja kwenye shindano

Siku ya tarehe 21 Agosti, droo itafanyika na wateja 30 watachaguliwa bila mpangilio kujishindia Tecno 11 pro!

 

Na kutakuwa na zawadi ya kifuta jasho yenye jumla ya thamani ya 22,000,000 TSH pia:

  • 10 x 600,000 TSH

  • 10 x 200,000 TSH

  • 20 x 100,000 TSH

  • 50 x 50,000 TSH

  • 100 x 20,000 TSH

  • 250 x 10,000 TSH

  • 500 x 5,000 TSH

  • 1,000 x 2,500 TSH

Hii inakupa sababu tosha ya kubashiri nasi kwenye Mpira & Bunifu!

 

CHESA SASA
Vigezo na Masharti

1. Ili kufuzu kushinda droo ya Tuzo ya simu aina ya Tecno 11 Pro, ubashiri unapaswa kuamuriwa kati ya Ijumaa tarehe 9 Agosti saa 6:01 usiku na Jumatatu tarehe 19 Agosti saa 5:59 usiku.

2. Droo ya Zawadi itachezeshwa siku ya Jumatano tarehe 21 Agosti.

3. Washindi wa zawadi watapewa taarifa kwa njia ya Ujumbe wa simu ya mkononi na Mitandao ya Kijamii.

4. Zawadi ya Smatifoni itakuwa Tecno 11 pro au yenye hadhi sawa.

5. Washindi wa Smatifoni watatakiwa kukubali kuchukuliwa picha zao wakiwa wameshika zawadi zao kwenye mitandao ya kijamii.

6. Zawadi ya kifuta jasho itatolewa kwa mtindo wa bonasi kwa matakwa ya kubashiria mara 1 (kwa mchezo wowote).