Shindano la Playson Buffalo Charge!

Anza kuzungusha gurudumu la Buffalo Power kujishindia gawio kubwa la 130,000,000 TSH tuzo za pesa taslimu!

  • Nenda Casino
  • Cheza Buffalo Power
  • Anza kuzungusha kushinda tuzo za pesa taslimu

Pearl Beauty
BASHIRI SASA
Sunny Fruits
BASHIRI SASA
Vickings Fortune
BASHIRI SASA
Buffalo Charge
BASHIRI SASA

Taarifa za Ofa
  • Shinda gawio kubwa la 130,000,000 TSH la tuzo ya pesa taslimu katika Shindano letu la Playson Buffalo Charge, tukiwa na tuzo 250 za pesa taslimu kushindaniwa, mshindi mmoja mwenye bahati atajinyakulia kitita cha tuzo ya kwanza yenye thamani ya 25,055,600 TSH!
  • Ofa ya shindalo la Buffalo Charge itakuwa kati ya saa 02:01 Usiku tarehe 17 Julai 2020 na tarehe 27 Julai 2020 mpaka saa 01:59 usiku.
Qualifying Games
Muda wa Ofa
  • Kima cha chini mzunguko mmoja 1,250 TSH kinahitaji kufuzu.
  • Bashiri stahiki ni lazima zifanyike kwenye yoyote kati ya michezo ifuatayo: Buffalo Power: Hold & Win, Pearl Beauty: Hold & Win, Sunny Fruits: Hold & Win and Vikings Fortune: Hold & Win.
  • Ili kushiriki,katika promosheni, wachezaji ni lazima wafanye ubashiri wa mizunguko 20 katika uhalisia na katika michezo shiriki wakati wa kipindi cha promosheni. Wachezaji washiriki watashiriki moja kwa moja katika promosheni baada ya kufanya ubashiri wowote katika michezo shiriki.
  • Alama zozote zitakazo vunwa ndani ya mizunguko 20 stahiki zitaongezeka kwenye jumla ya alama za mchezaji baada ya vigezo kukamilika.
  • Mizunguko ya pesa halisi itachangia kwenye alama pekee (ubashiri zitakazo fanyika kupitia pesa ya bonasi hautahesabika).
UBAO WA WASHINDI
  • Kutakuwa na ubao wa washindi mmoja wakati wa kipindi cha promosheni. Wachezaji watajilimbikizia alama na kupanda juu ya ubao wa washindi na kushinda tuzo za pesa taslimu.
  • Ushindi wowote utachangia katika Alama za jumla za Mchezaji ambazo zitaonyeshwa katika Ubao wa ushindi.Alama kuu inapatikana kwa kujumlisha alama zote zilizopatikana kwenye mizunguko iliyochezwa katika michezo shiriki wakati wa kufuzu na baada ya kufuzu
  • Alama zinakokotolewa kwa kila mzunguko, ambapo kwa kila ushindi wa 2,500 TSH ni sawa na alama 10. Kwa mfano ushindi wa 25,000 TSH unawakilisha alama 100.
  • Mchezaji mwenye alama nyingi zaidi mwishoni mwa kipindi cha promosheni atajishindia tuzo ya kwanza, wa pili atajishindia ya pili, na kuendelea.
  • Alama za ubao wa washindi utasahihishwa katika muda halisi.
  • Malipo ya fedha taslimu yatafanyika ndani ya masaa 72 baada ya ubao wa washindi kukamilika.
  • Baada ya kulipwa, madai ya pesa taslimu ni lazima yafanyike ndani ya siku 7 kabla muda haujamalizika.
TUZO ZA UBAO WA USHINDI
  • Wacheza bora 250 kwenye Ubao wa washindi wote watajishindia tuzo za pesa taslimu. Tuzo za pesa taslimu hazitakuwa na sharti la kubashiria.
  • Tuzo zimeorodheshwa kwenye ubao wa washindi wa mchezo
  • Ubao huu wa washindi sio kwa wachezaji wetu pekee, ni ofa kwa mtandao wote wa Playson
JUMLA
  • Hii ni promosheni ya kimtandao kwa washiriki wote wa mtandao wa Playson
  • Tunayo haki kubatilisha ushindi, au kutokulipa tuzo, ambapo sehemu zote za matokeo ya ushindi kumetokea makosa ya wazi au matatizo ya kiufundi (ikiwemo makosa ya malipo ya mchezo) yawe yamesababishwa ba mashine au na makosa ya kibinadamu katika msingi wa michezo shiriki.
  • Tunayo haki zaidi ya kubatilisha ushindi, au kutokulipa tuzo, ambapo katika maoni yetu, tutabaini njama au ubadhilifu wa alama za matokeo na wateja wengine.
  • Tunayo haki kuondoa na /au kubadili vigezo na masharti ya promosheni na masharti kulingana na hiari yetu wenyewe, na uamuzi wowote kulingana na ushindi uliotolewa
  • Tuna uwezo, katika hiari yetu wenyewe, kumuondoa mteja asipokee promosheni teule (bei nafuu ya uhakika; bonasi; bashiri za bure; thamani zilizoboreshwa; na rejesho la fedha maalum) na promosheni na ofa nyingine.
  • Vigezo &Masharti ya Jumla kuzingatiwa.