Playson Cash Days Tournament!

Shinda gawio la kitita cha pesa taslimu 93,040,000 TSH cha tuzo kuu katika Shindano letu la Siku za Pesa la Playson, kukiwa na tuzo 200 za pesa taslimu kushindaniwa. Mshindi mmoja mwenye bahati atajinyakulia tuzo ya kwanza ya kupendeza ya kitita cha 15,033,360 TSH!

Cheza mchezo wowote kati ya michezo stahiki 7 kupata nafasi ya kujishindia moja ya tuzo kubwa:

Solar Queen
CHEZA SASA
Solar Temple
CHEZA SASAW
Burning Wins
CHEZA SASA
Rise of Egypt
CHEZA SASA

KIPINDI CHA PROMOSHENI
  • Promosheni ya Shindano la The Cash Days itaanza kuanzia tarehe 1 mwezi kweli saa 03:01 usiku mpaka tarehe 8 mwezi kweli 2020 saa 02:59 usiku.
  • Ubashiri wowote utakaofanyika au kukamilika nje ya muda wa promosheni tajwa hapo juu hautafuzu kupokea ofa hii.
UBASHIRI STAHIKI
  • Kima cha chini cha ubashiri wa 1,250 TSH unahitajika kufuzu.
  • Ubashiri stahiki kwa pesa taslimu ni lazima ufanyike katika moja ya michezo ifuatayo: Solar Queen, Solar Temple, Sunny Fruits: Hold and Win, Burning Wins: classic 5 lines, Buffalo Power: Hold and Win, Fruity Crown, Book of Gold: Classic, Pearl Beauty: Hold and Win, Rome: Caesar's Glory, Sevens & Fruits.
  • Ili kushiriki,katika promosheni, wachezaji ni lazima wafanye ubashiri wa mizunguko 20 katika uhalisia na katika michezo shiriki wakati wa kipindi cha promosheni. Wachezaji washiriki watashiriki moja kwa moja katika promosheni baada ya kufanya ubashiri wowote katika michezo shiriki.
  • Alama zozote zitakazo vunwa ndani ya mizunguko 20 stahiki zitaongezeka kwenye jumla ya alama za mchezaji baada ya vigezo kukamilika.
  • Mizunguko ya pesa halisi itachangia kwenye alama pekee (ubashiri zitakazo fanyika kupitia pesa ya bonasi hautahesabika).
  • Huu Ubao wa washindi sio kwa wateja wetu pekee, ni promosheni ya jumla.
UBAO WA WASHINDI
  • Kutakuwa na ubao wa washindi mmoja wakati wa kipindi cha promosheni. Wachezaji watajilimbikizia alama na kupanda juu ya ubao wa washindi na kushinda tuzo za pesa taslimu.
  • Ushindi wowote utachangia katika Alama za jumla za Mchezaji ambazo zitaonyeshwa katika Ubao wa ushindi.Alama kuu inapatikana kwa kujumlisha alama zote zilizopatikana kwenye mizunguko iliyochezwa katika michezo shiriki wakati wa kufuzu na baada ya kufuzu.
  • Alama zinakokotolewa kwa kila mzunguko, ambapo kwa kila ushindi wa 2,500 TSH ni sawa na alama 10. Kwa mfano ushindi wa 25,000 TSH unawakilisha alama 100.
  • Mchezaji mwenye alama nyingi zaidi mwishoni mwa kipindi cha promosheni atajishindia tuzo ya kwanza, wa pili atajishindia ya pili, na kuendelea.
  • Alama za ubao wa washindi utasahihishwa katika muda halisi.
  • Malipo ya fedha taslimu yatafanyika ndani ya masaa 72 baada ya ubao wa washindi kukamilika.
  • Baada ya kulipwa, madai ya pesa taslimu ni lazima yafanyike ndani ya siku 7 kabla muda haujamalizika.
TUZO ZA UBAO WA USHINDI
  • Wacheza bora 250 kwenye Ubao wa washindi wote watajishindia tuzo za pesa taslimu. Tuzo za pesa taslimu hazitakuwa na sharti la kubashiria.
  • Tuzo zimeorodheshwa kwenye ubao wa washindi wa mchezo.
JUMLA
  • Hii ni uhamasishaji wa mtandao kwenye tovuti zinazoshiriki za Playson.
  • Tunayo haki kubatilisha ushindi, au kutokulipa tuzo, ambapo sehemu zote za matokeo ya ushindi kumetokea makosa ya wazi au matatizo ya kiufundi (ikiwemo makosa ya malipo ya mchezo) yawe yamesababishwa ba mashine au na makosa ya kibinadamu katika msingi wa michezo shiriki.
  • Tunayo haki kubatilisha ushindi, au kutokulipa tuzo, ambapo katika maoni yetu, tutabaini njama au ubadhilifu wa alama za matokeo na wateja wengine.
  • Tunayo haki kuondoa na /au kubadili vigezo na masharti ya promosheni na masharti kulingana na hiari yetu wenyewe, na uamuzi wowote kulingana na ushindi uliotolewa.
  • Tuna uwezo, katika hiari yetu wenyewe, kumuondoa mteja asipokee promosheni teule (bei nafuu ya uhakika; bonasi; bashiri za bure; thamani zilizoboreshwa; na rejesho la fedha maalum) na promosheni na ofa nyingine.
  • Tunayo haki, kutenga, kufuta au kuondoa Bashiri za Bure na Ushindi wa Bashiri za Bure kwenye akaunti ambazo zimebainika kufanya udanganyifu.
  • Vigezo &Masharti ya Jumla kuzingatiwa.