REJESHA PESA MAALUM NA SALAH!

Rejesha pesa yako kama Mohamed Salah atafunga dhidi ya klabu yake ya zamani ya Chelsea.

Chelsea na Liverpool wanakutana uso kwa uso uwanjani Stamford Brigde Jumapili hii tarehe 22 Septemba.

Bashiria 6,000 TSH au zaidi kwenye mchezo wa kabla ya mechi na urejeshe pesa yako (kama bonasi) kama Salah atafunga.

Amefunga magoli 74 katika mechi 110. Je mshindi wa kiatu cha dhahabu atafunga tena?

BASHIRI SASA

VIGEZO NA MASHARTI

Promosheni hii ni halali kuanzia Ijumaa tarehe 20 Septemba mpaka muda wa kuanza mechi siku ya Jumapili tarehe 22 Septemba.
Ofa hii haipatikani kwa ushirikiano na ofa nyingine yoyote.
Ili kushiriki katika promosheni hii, mchezaji ni lazima afanye ubashiri halali (kama unavyo ainishwa hapa chini) wakati wa Kipindi cha Promoshe:

  1. Bashiria kuanzia 6,000 TSH kwenye mechi ya Chelsea v Liverpool.
  2. Alama ni lazima zianzie 1.50 au zaidi.
  3. Inastahili bet lazima ipoteze ili mafao yapewe.
  4. Ubashiri kabla ya mechi ya Chelsea V Livepool pekee utahesabika kwenye promosheni hii.
  5. Machaguo yoyote yatakayoongezwa kwenye mkeka kutoka katika Michezo au Ligi nyingine yatauengua mkeka kwenye promosheni hii.
  6. Bashiri zitakazo fanyika kwa kutumia fedha za bonasi hazita hesabiwa katika promosheni hii.
  7. Ubashiri wa pande zote za soko zitaenguliwa kutoka kwenye promosheni.

Bonasi zitaongezwa siku ya Jumatatu tarehe 23 Septemba.
Bonasi itadumu kwa siku 7.
Bonasi inaweza kutumika kwenye ubashiri wa michezo pekee.
Fedha za Bonasi haziwezi kutolewa mpaka zibashiriwe mara moja .
Tunayo haki, kwa hiari yetu wenyewe, kuwatenga wateja fulani ikiwa tutabaini njama au ubadhilifu wa ofa.