NBA Boost NBA Boost

Tunapoelekea kumaliza msimu huu wa mpira wa miguu, tunakupatia challenge ya machaguo mwisho wa wiki hii. Wachezaji 53 watajishindia sehemu ya 470,000 TSH kwenye Challenge yetu ya Machaguo – unapoweka machaguo mengi zaidi kwenye bashiri za ushindi, ndivyo utakavyopata alama nyingi zaidi na kupanda kwenye ubao wa ushindi kujishindia zawadi ya pesa taslimu. (machaguo angalau 3, alama si chini ya 2.0, dau si chini ya 1,175 TSH)!

BASHIRI SASA
Step 1
Weka bashiri
Sports
Step 2
Pata alama kwa machaguo ya ushindi
Bonus
Step 3
Panda kwenye ubao wa ushindi kujishindia zawadi ya pesa taslimu!
Money Bag
BASHIRI SASA

Tunaelekea mwisho wa msimu wa mpira wa miguu na kuna mechi nyingi za kubashiri, haswa katika mwisho wa msimu wa EPL siku ya Jumapili! Weka bashiri zako nyingi wiki hii na tutakupatia nafasi nyingi zaidi za kushinda kwenye Challenge yetu ya Machaguo mwisho wa wiki! Ibuka shujaa wetu wa kubashiri mwisho wa wiki hii na kujishindia zawadi ya kwanza ya 117,500 TSH . Wachezaji 53 wa kwanza watajishindia sehemu ya 470,000 TSH kama zawadi ya pesa taslimu.

Challenge ya Machaguo ya mwisho wa wiki itaanza kuanzia Ijumaa ya tarehe 21 hadi Jumapili ya tarehe 23 May.

Ili kupata alama kwenye ubao wa ushindi unatakiwa uweke bashiri ya angalau 1,175 TSH ikiwa na machaguo 3+ na alama zisizopungua 2.00 kwa ujumla. Kwa kila chaguo uliloweka kwenye bashiri ya ushindi itakayofuzu utapokea alama 1. Unavyoweka machaguo mengi zaidi na kushinda, ndivyo unavyopata alama nyingi zaidi kwenye ubao wa ushindi ili kujishindia moja ya zawadi za pesa taslimu! Ubao wa ushindi utakua na wachezaji wa juu wa 3, na wachezaji wengine 50 watakaopata zawadi za kushiriki.

Nafasi Jina la mtumiaji Machaguo
1
2
3
4-53

Ubao wa ushindi utabadilishwa na kuonyesha washindi siku ya Jumatatu ya tarehe 24 May.

Muda wa Promosheni
  • Challenge ya mwisho wa wiki ya Machaguo itaanza kuanzia Ijumaa ya tarehe 21 May 01:00 hadi Jumapili ya tarehe 23 May 00:59.
  • Bashiri zitakazo wekwa nje ya muda tajwa hapo juu, hazito fuzu ofa hii.
Alama za Ubao wa Ushindi
  • Kila chaguo litakalokuwepo kwenye bashiri ya ushindi iliyowekwa na kukamilika ndani ya muda wa promosheni itapata alama 1. Mfano kama umeweka bashiri yenye machaguo 5 na ikashinda utapata alama 5. Kama utaweka bashiri 3 zenye machaguo 5 na zote zikashinda utapokea alama 15.
  • Bashiri zitakazoshinda lazima ziwe na machaguo si chini ya 3 ili kufuzu na alama si chini ya 2.0 kwa ujumla na dau la angalau 1,175 TSH.
  • Bashiri zinaweza kuwekwa kwenye mchezo wowote, kabla ya mechi na mechi ikiwa inachezwa.
  • Bashiri zilizo wekwa kwa pesa taslimu tu ndizo zitakazo hesabiwa kwenye promosheni hii (Bashiri zilizo wekwa kwa pesa ya bonasi hazito hesabiwa).
  • Bashiri zilizoghairishwa (Cashed out) au bashiri hewa hazitohesabika.
  • Bashiri za mfumo hazitahesabika.
Zawadi za Ubao wa Ushindi
  • Wachezaji 3 watakaopata alama nyingi zaidi kipindi cha promosheni wataingia kwenye ubao wa ushindi. Wachezaji 50 watakaofuata watajishindia zawadi ya kushiriki ya 4,700 TSH.
  • Zawadi kwa washindi wa kila wiki itakua:
Nafasi Zawadi
1 117,500 TSH
2 70,500 TSH
3 47,000 TSH
4-53 4,700 TSH

  • Ubao wa ushindi utabadilishwa kwa mara ya mwisho saa 12:00 siku ya Jumatatu ya tarehe 24th May, ukiwa unaonyesha washindi wa kwanza na zawadi.
  • Zawadi za pesa taslimu zitalipwa ndani ya masaa 72 baada ya ubao wa ushindi kubadilishwa kwa mara ya mwisho.
  • Wachezaji watajishindia zawadi moja tu ndani ya muda wote wa promosheni.
  • Zawadi za pesa taslimu hazina masharti yoyote ya ziada, na zinaweza kutolewa papo hapo.
Jumla
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.