Premier Bet ni kampuni inayoongoza katika betting na burudani inayowapa wananchi wa Tanzania nafasi ya kushiriki katika michezo na kujishindia zawadi za pesa taslimu.

Biashara yetu inakua kwa kasi, ina maono na kila mara tunafanya juhudi za kupanua mauzo yetu pamoja na maduka ya betting.

Wachuuzi wetu hupokea mgao wa faida kwa kila tikiti ya Premier Bet wanayouza na pia hupewa mafunzo kamili, vituo vya kuuzia na vifaa vya utendakazi wa kila siku bila malipo yoyote. Iwapo una ari ya kujiandikisha kama mmoja wa wachuuzi wa Premier Bet, wasilaiana nasi kwa kutembelea makao yetu makuu Tanzania, PREMIER BET, SUKUMA STREET, KARIAKOO, DAR ES SALAAM