UEFA Challenge UEFA Challenge

Tunakupa challenge ya kujishindia sehemu ya 74,560,000 TSH kwa kubashiri mechi za kwenye Ligi ya Mabingwa ya UEFA, Ligi ya Europa/Ulaya na Ligi ya Europa Conference! Weka bashiri zako (dau kuanzia 466 TSH, alama si chini ya 2.0), shinda na upate alama za kupanda kwenye mbao 2 za washindi kila siku ya Mechi!

BASHIRI SASA
Step 1
Weka bashiri
Sports
Step 2
Shinda na Upate alama
Bonus
Step 3
Panda kwenye mbao za washindi na ujishindie Pes Taslimu!
Money Bag
BASHIRI SASA

Challenge ya ubao wa washindi wa siku ya mechi ya UEFA itaanza kuanzia 26 hadi 28 Aprili 2022.

Ubao wa ushindi
Nafasi Jina la mtumiaji Alama Zawadi
1 2*****0 40 164,500 TSH
2 2*****7 31 164,500 TSH
3 4*****0 27 70,500 TSH
4 3*****7 17 47,000 TSH
5 4*****4 15 35,250 TSH
6 2*****2 13 25,850 TSH
7 3*****7 10 16,450 TSH
8 2*****5 10 9,400 TSH
9 3*****5 10 4,700 TSH
10 3*****9 8 2,350 TSH
MUDA:Siku 3
MUDA WA KUISHA:
ZAWADI YA WASHINDI:470,000 TSH

Mara ya mwisho kubadili Ubao wa washindi: 06/05/2022

* Ubao wa washindi wa Siku ya mechi ya UEFA utakua unabadilishwa kila siku ya mechi ya UEFA kwenye wiki, kila siku kuanzia Jumatano hadi Ijumaa. Ubao wa mwisho wa washindi utachapishwa siku ya Ijumaa.

Shiriki kwenye Challenge ya UEFA ili kujishindia sehemu ya 74,560,000 TSH Pesa Taslimu! Kwa kila mzunguko wa mashindano ya UEFA, tutakua na Ubao wa Washindi wa siku ya mechi ambapo unaweza kujishindia sehemu ya4,660,000 TSH. Weka bashiri kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa ya UEFA, Ligi ya Europa na Ligi ya Europa Conference, shinda na utapata alama za kupanda juu kwenye Ubao wa washindi, na utashinda zawadi ya Pesa Taslimu!

Challenge ya ubao wa washindi wa siku ya mechi ya UEFA itaanza kuanzia 26 hadi 28 Aprili 2022.

Ni rahisi, weka bashiri kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa UEFA, Ligi ya Europa na Ligi ya Europa Conference. Bashiri zinaweza kuwekwa moja au nyingi, kabla ya mechi au mubashara, na lazima ziwe na dau kuanzia 466 TSH, na alama za jumla si chini ya 2.0. Alama zitahesabiwa na kizidishi cha ushindi, unaposhinda kiasi cha ushindi wako kitagawanywa na dau lako, kwa mfano umeweka bashiri ya 2,330 TSH na ukashinda 23,300 TSH utapata alama 10 kwenye ubao wa washindi.
Alama zako za ushindi zinavyozidi kuwa kubwa ndivyo unavyopata alama kubwa zaidi za kwenye ubao wa washindi!

SIKU ZINAZOFUATA ZA MECHI ZINAANZA: 26 Aprili 2022

Nafasi na alama za wachezaji kwa msimu wote:

UBAO WA USHINDI
Nafasi Jina la mtumiaji Alama Zawadi
1 2*****0 627 164,500 TSH
2 2*****3 619 94,000 TSH
3 4*****0 389 70,500 TSH
4 3*****1 327 47,000 TSH
5 3*****9 318 35,250 TSH
6 3*****6 297 25,850 TSH
7 2*****6 285 16,450 TSH
8 2*****4 263 9,400 TSH
9 3*****9 249 4,700 TSH
10 3*****3 239 2,350 TSH
MUDA:SIKU 219
MUDA WA KUISHA:
ZAWADI YA WASHINDI:2,350,000 TSH

* Ubao wa washindi wa msimu wa UEFA utakua unabadilishwa kila siku ya mechi kwenye wiki, kila siku kuanzia Jumatano hadi Ijumaa. Ubao wa washindi wa mwisho utachapishwa baada ya Nusu Fainali ya UEFA.

Shiriki kwenye Challenge ya UEFA ili kushinda sehemu ya 74,560,000 TSH Zawadi ya Pesa Taslimu! Itaendeshwa kuanzia siku ya mechi hadi Nusu Fainali, Ingia kwenye ubao wa washindi wa msimu na ushinde sehemu ya 4,660,000 TSH ! Weka bashiri kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa ya UEFA, Ligi ya Europa na Ligi ya Europa Conference, shinda na utapata alama za kupanda juu kwenye ubao wa washindi, na shinda zawadi za pesa taslimu!

Challenge ya ubao wa washindi wa msimu wa UEFA itaanza kuanzia Jumanne tarehe 28 Septemba 2021 hadi siku ya Alhamisi tarehe 5 Mei 2022

Ni rahisi, weka bashiri kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa UEFA, Ligi ya Europa na Ligi ya Europa Conference. Bashiri zinaweza kuwekwa moja au nyingi, kabla ya mechi au mubashara, na lazima ziwe na dau kuanzia 466 TSH , na alama za jumla si chini ya 2.0. Alama zitahesabiwa na kizidishi cha ushindi, unaposhinda kiasi cha ushindi wako kitagawanywa na dau lako, kwa mfano umeweka bashiri ya 2,330 TSH na ukashinda 23,300 TSH , utapata alama 10 kwenye ubao wa washindi. Alama zako za ushindi zinavyozidi kuwa kubwa ndivyo unavyopata alama kubwa zaidi za kwenye ubao wa washindi!

Vigezo & Masharti

Muda wa Promosheni
  • Challenge ya UEFA itaanza kuanzia Jumanne tarehe 28 Septemba 2021 01:00 hadi Alhamisi tarehe 5 May 2022 22:59.
  • Kila wiki ya Promosheni ya siku ya mechi itaendeshwa siku ya tarehe zifuatazo:
    • Siku ya mechi 2 – tarehe 28 hadi 30 Septemba 2021
    • Siku ya mechi 3 – tarehe 19 hadi 21 Octoba 2021
    • Siku ya mechi 4 – tarehe 2 hadi 4 Novemba 2021
    • Siku ya mechi 5 – tarehe 23 hadi 25 Novemba 2021
    • Siku ya mechi 6 – tarehe 7 hadi 9 Desemba 2021
    • Mzunguko wa 16 1st Leg – tarehe 15 hadi 17 Februari 2022
    • Mzunguko wa 16 2nd Leg – tarehe 22 hadi 24 Februari 2022
    • Robo Fainali 1st Leg – tarehe 8 hadi 10 Machi 2022
    • Robo Fainali 2nd Leg – tarehe 15 hadi 17 Machi 2022
    • Nusu Fainali 1st Leg – tarehe 5 hadi 7 Aprili 2022
    • Nusu Fainali 2nd Leg – tarehe 12 hadi 13 Aprili 2022
  • Bashiri zozote zitakazowekwa na kukamilika njee ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupekea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
  • Bashiri za Challenge ya UEFA ni lazima ziwekwa kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa UEFA, Ligi ya Europa na Ligi ya Europa Conference tu. Kama utaweka bashiri nyingi kwenye mkeka basi mechi zote za kwenye mkeka wako ni lazima ziwe za UEFA ili kufuzu. Hakuna michuano mingine au michezo mingine itakayohesabika.
  • Bashiri zinaweza kuwekwa moja moja au nyingi, kabla ya mechi na wakati mechi inaendelea zote zitahesabika.
  • Bashiri ni lazima ziwe na dau kuanzia [[[currency:USD 0.20]]].
  • Bashiri ni lazima ziwe na alama za jumla angalau 2.0.
  • Bashiri zilizoshinda pekee ndizo zitakazohesabika.
  • Bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitakazofuzu (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitohesabika).
  • Bashiri zilizoghairishwa au bashiri hewa hazitohesabika.
  • Bashiri za mfumo hazitohesabika.
Ubao wa Washindi
  • Kutakua na mbao 2 za washindi:
    • Ubao wa washindi wa siku ya mechi utakusanya alama kutoka kwenye bashiri zilizofuzu kwa siku tatu za mechi kwa wiki zilizokamilika siku ya Jumanne, Jumatano na Alhamisi.
    • Ubao wa washindi wa msimu utakusanya alama kutoka kwnye bashiri zilizofuzu kuanzia siku ya pili ya mechi hadi Nusu Fainali.
  • Alama zitahesabiwa na kizidishi cha ushindi kwa kila bashiri. Kwa kila bashiri iliyofuzu utakayoiweka na kushinda utapata alama kulingana na kiasi cha ushindi wako kitakachogawanywa na dau lako, kwa mfano umeweka bashiri ya 2,330 TSH na ukashinda 23,300 TSH utapata alama 10 kwenye ubao wa washindi.
  • Kila ubao wa washindi utaonyesha wachezaji wa juu 25 waliofanikiwa kukusanya alama nyingi zaidi ndani ya muda wa promosheni.
  • Mbao za washindi zitakua zinabadilika kila siku ya mechi kwenye wiki kuanzia Jumatano hadi Ijumaa. Ubao wa washindi wa mwisho utachapishwa siku ya Ijumaa. Ubao wa washindi wa mwisho wa siku ya mechi utachapishwa siku ya Ijumaa tarehe 6 Mei 2022 (tafadhali tambua hii tarehe ya kuisha inaweza kubadilika kulingana na kuthibitishwa kwa tarehe za mechi za Nusu Fainali).
  • Zawadi zitatolewa kama zitakavyo onekana kwenye ubao wa ushindi hapo juu.
  • Kama kutakua na mchezaji zaidi ya mmoja aliefuzu kupokea zawadi (mfano, wenye alama sare), mchezaji wa kwanza kuweka bashiri yake ndie atakaeshinda zawadi iliyotolewa kwenye ubao wa washindi.
  • Zawadi za pesa taslimu zitalipwa kwenye akaunti za washindi ndani ya masaa 72 kuanzia muda ambao mara ya mwisho ubao wa washindi umechapishwa.
  • Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada na zinaweza kutolewa papo hapo.
Jumla
  • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuiko na ofa nyingine yoyote.
  • Kima cha chini cha ubashiri au ubashiri wa mechi moja havitoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa..