Enda nyuma

Sheria na Kanuni

Muhimu

  1. Kuanzia mbili (machaguo 2)
  2. Masoko yote yanazingatiwa katika muda wa kawaida pekee.
  3. Muda wa kawaida wa dakika 90: Masoko yanatokana na matokeo ya mwisho wa mchezo ya dakika 90 isipokuwa imethibitishwa vinginevyo. Hii hujumuisha muda wowote wa nyongeza wa majeruhi au kipenga cha mwisho lakini haijumuishi muda wa ziada, muda wa mikwaju ya penati au goli la dhahabu.
  4. Kama mechi imekatishwa na kuendelea ndani ya masaa 48 baada ya muda wa kuanza mechi wa awali, bashir zote zilizo wazi zitaamuriwa baada ya matokeo ya mwisho. Vinginevyo machaguo ya bashiri zote zisizoamuriwa yatathibitika kuwa batili.
  5. Kwa kuzingatia sheria hii, maachaguo yoyote batili katika Mkeka yatapunguza bashiri ipasavyo: Mkeka wa machaguo 6 wenye chaguo moja batili utasahihishwa kama mkeka wa machaguo 5 kwenye machaguo yaliosalia. Na bashiri ya mechi mbili yenye chaguo batili itarejesha dau (tafadhali wasiliana na Huduma kwa wateja).
  6. Kwenye tukio ambalo mechi haipatikani wakati wa mchakato wa “Kujenga Bashiri” sheria hii itatumika pia, bashiri zitakuwa zikifanyika kwa masalio ya chaguzi mbili na zaidi. Na bashiri ya mechi mbili itakayopunguzwa wakati wa mchakato wa “Kujenga Bashiri” mchakato utakuwa batili na hautafanyika.
  7. Madau yatakatwa na ushindi utalipwa moja kwa moja kupitia akaunti ya pesa ya simu ya mkononi.

Ufafanuzi wa Masoko

1 X 2

Timu gani itashinda mechi (1-X-2) Nyumbani; Sare; Ugenini?

Timu zote kufungana

Timu zote kupata goli (Ndio) / Timu moja au zote kutopata goli (Hapana).

Juu ya/ Chini ya Magoli 2.5

Je jumla ya magoli yote yatakayopatikana katika mechi teule yatakuwa Chini ya au Juu ya Magoli 2.5?

Handicap

Masoko ya Handicap yanatambulika kwa kuongeza au kupunguza goli 1 kwa timu mojawapo.

Kwa mfano: Kuchagua ushindi Nyumbani (1) kwa Handicap ya 0:1 (imeonyeshwa hapo juu).

Hii inamaanisha kuwa magoli ya Timu ya ugenini yataongezwa kwa goli 1. Hivyo timu ya nyumbani inahitaji kushinda kwa magoli 2 ili bashiri hii iweze kushinda.

Timu ya Nyumbani
Timu ya Nyumbani
Timu ya Ugenini
Timu ya Ugenini
Handicap [0:1]
Handicap [0:1]
Handicap [1:0]
Handicap [1:0]
West Ham United Tottenham Hotspur 1 (0:1) 7.5
X (0:1) 5.75
2 (0:1) 1.3
1 (1:0) 1.85
X (1:0) 4.2
2 (1:0) 3.25