NBA Boost NBA Boost

Kila wiki tuna changamoto ya ubashiri, ambapo wachezaji bora watatu watajishindia sehemu ya 235,000 TSH kama zawadi ya pesa taslimu. Wiki hii ni changamoto ya Kubashiri, ikiwa na zawadi kwa wachezaji ambao watalimbikiza machaguo mengi Zaidi ya Kubashiri ndani ya siku 7 (Dau la chini 1.2 kwa kila chaguo).

Bashiri Sasa
Step 2
Kusanya/Pata alama kwa machaguo ya Kubashiri
Bonus
Step 3
Panda kwenye ubao wa ushindi kushinda zawadi ya Pesa Taslimu!
Money Bag
Bashiri Sasa

Je ni wewe utakua bingwa wetu wa kubashiri wiki hii na kujishindia zawadi ya kwanza ya 117,500 TSH? Tunakuandalia changamoto na kama wewe utakua mmoja kati ya wachezaji wetu bora watatu ambao watakua kwenye ubao wetu wa ushindi, utajishindia sehemu ya 235,000 TSH zawadi ya pesa taslimu.

Changamoto ya Kubashiri ya kila wiki itaanza kuanzia Ijumaa ya tarehe 19 hadi Ijumaa ya tarehe 26 Februari.

Wiki hii tuna Mashindano ya Kubashiri. Ili kupata pointi kwenye ubao wa wanaoongoza utahitaji kuweka bashiri zenye alama zisizopungua 2.00. Kwa kila bashiri iliyofuzu kushinda utapokea pointi 1. Jinsi utakavyoshinda bashiri zako ndivyo utajipatia pointi zaidi na kuongoza kwe ubao wa wanaoongoza na kujishindia zawadi za Pesa Taslimu!

*Ubao wa washindi unaonyesha msimamo wa sasa wa wachezaji hadi leo. Msimamo wa mwisho wa ubao wa washindii na washindi wake utachapishwa Ijumaa tarehe 26 Januari. Zawadi zitaingizwa kwenye akaunti za wachezaji ndani ya masaa 72 kutoka kwenye chapisho la mwisho la ubao wa Washindi.

Nafasi Jina la mtumiaji pointi
1 2******54451 25
2 2******94129 21
3 2******05014 20
Muda wa Promosheni
 • Changamoto ya Kubashiri ya kila wiki itaanza kuanzia Ijumaa ya tarehe 19 Februari 02:00 hadi Ijumaa ya tarehe 26 Februari 01:59 PM.
 • Bashiri zote zitakazo wekwa nje ya muda tajwa hapo juu, hazito fuzu ofa hii.
Alama za Ubao wa Ushindi
 • Kila bashiri itakayoshinda na kusahihishwa ndani ya muda wa Promosheni itapata pointi 1. Kwa mfano umeweka bashiri na ikashinda utapata pointi 1. Na kama uta weka bashiri 3 na zote zikashinda basi utapata pointi 3.
 • Bashiri za ushindi zinatakuwa jumla ya alama zisizopungua 2.0
 • Bashiri zinaweza kuwekwa kwenye mchezo wowote, kabla ya mechi au hata mechi zinazocheza.
 • Bashiri zilizo wekwa kwa pesa taslimu tu ndizo zitakazo hesabiwa kwenye promosheni hii (Bashiri zilizo wekwa kwa pesa ya bonasi hazito hesabiwa).
 • Bashiri zitakazoghairishwa (Cashed out) au bashiri hewa hazitohesabika.
 • Bashiri za mfumo hazitohesabika.
Zawadi za Ubao wa Ushindi
 • Wachezaji watatu (3) watakaokua wamekusanya alama kubwa Zaidi ndani ya muda huu wa Promosheni wataingia kwenye ubao wa Ushindi.
 • Zawadi za washindi wa changamoto ya wiki zitakua:
Nafasi Zawadi
1 117,500 TSH
2 70,500 TSH
3 47,000 TSH

 • Ubao wa ushindi utakua unabadilishwa kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa. Na ubao wa mwishoo utakua unabadilishwa kila Ijumaa kuonesha washindi na zawadi zao.
 • Zawadi za pesa taslimu zitakua zinalipwa ndani ya masaa 72 baada ya matokeo ya mwisho kukamilika ubaoni.
 • Wachezaji wanaweza kujishindia zawadi moja tu kwa wiki.
 • Zawadi za pesa taslimu zitatolewa bila masharti yoyote ya ziada na zinaweza kutolewa kwenye account papo hapo.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.