NBA Boost NBA Boost

Kila wiki tuna changamoto ya ubashiri, ambapo wachezaji bora watatu watajishindia sehemu ya 235,000 TSH kama zawadi ya pesa taslimu. Wiki hii ni changamoto ya machaguo, ikiwa na zawadi kwa wachezaji ambao watalimbikiza machaguo mengi Zaidi ya ushindi ndani ya siku 7 (dau la chini la jumla ya 2.0 na kiasi cha chini cha 1,175 TSH).

Bashiri Sasa
Step 2
Kusanya/Pata alama kwa machaguo ya ushindi
Bonus
Step 3
Panda kwenye ubao wa ushindi kushinda zawadi ya Pesa Taslimu!
Money Bag
Bashiri Sasa

Je ni wewe utakua bingwa wetu wa kubashiri wiki hii na kujishindia zawadi ya kwanza ya 117,500 TSH? Tunakuandalia changamoto na kama wewe utakua mmoja kati ya wachezaji wetu bora watatu ambao watakua kwenye ubao wetu wa ushindi, utajishindia sehemu ya 235,000 TSH zawadi ya pesa taslimu.

Changamoto ya machaguo ya kila wiki itaanza kuanzia Ijumaa ya tarehe 16 hadi Ijumaa ya tarehe 22 April.

Wiki hii tuna changamoto ya machaguo. Kupata alama za kuingia kwenye ubao wa ushindi unatakiwa uweke bashiri ya machaguo si chini Isipungue 1,175 TSH na machaguzi 3+ na dau kwa ujumla ya 2.0. Kwa kila chaguo utakaloliweka kwenye mkeka utakaofuzu utapata alama 1. Kadri unavyoweka machaguo yatakayoshinda, ndivyo utakavyozidi kupata alama na kupanda kwenye ubao wa ushindi na kujishindia moja ya zawadi za pesa taslimu!

*Ubao wa washindi unaonyesha msimamo wa sasa wa wachezaji hadi leo. Msimamo wa mwisho wa ubao wa washindii na washindi wake utachapishwa Ijumaa tarehe 23 April. Zawadi zitaingizwa kwenye akaunti za wachezaji ndani ya masaa 72 kutoka kwenye chapisho la mwisho la ubao wa Washindi.

Nafasi Jina la mtumiaji Machaguo
1 2******59503 52
2 2******94672 45
3 2******07030 42
Muda wa Promosheni
 • Changamoto ya machaguo ya kila wiki itaanza kuanzia Ijumaa ya tarehe 16 April 01:00 hadi Ijumaa ya tarehe 23 April 00:59 PM.
 • Bashiri zote zitakazo wekwa nje ya muda tajwa hapo juu, hazito fuzu ofa hii.
Alama za Ubao wa Ushindi
 • Kwa kila chaguo la ushindi litakalowekwa na kukamilika ndani ya kipindi hiki cha promosheni utajipatia alama 1. Kwa mfano ukiweka bashiri ya machaguo matano (5) na ikashinda utapata alama tano (5). Kama utaweka mikeka mitatu (3) ya machaguo matano (5) na ukashinda utapata alama 15.
 • Bashiri zitakazoshinda ni lazima ziwe na si chini ya machaguo matatu dau la chini la jumla ya 2.0 na kiasi cha chini cha 1,175 TSH.
 • Bashiri zinaweza kuwekwa kwenye mchezo wowote, kabla ya mechi au hata mechi zinazocheza.
 • Bashiri zilizo wekwa kwa pesa taslimu tu ndizo zitakazo hesabiwa kwenye promosheni hii (Bashiri zilizo wekwa kwa pesa ya bonasi hazito hesabiwa).
 • Bashiri zitakazoghairishwa (Cashed out) au bashiri hewa hazitohesabika.
 • Bashiri za mfumo hazitohesabika.
Zawadi za Ubao wa Ushindi
 • Wachezaji watatu (3) watakaokua wamekusanya alama kubwa Zaidi ndani ya muda huu wa Promosheni wataingia kwenye ubao wa Ushindi.
 • Zawadi za washindi wa changamoto ya wiki zitakua:
Nafasi Zawadi
1 117,500 TSH
2 70,500 TSH
3 47,000 TSH

 • Ubao wa ushindi utakua unabadilishwa saa 12:00 AM kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa. Na ubao wa mwishoo utakua unabadilishwa kila Ijumaa kuonesha washindi na zawadi zao.
 • Zawadi za pesa taslimu zitakua zinalipwa ndani ya masaa 72 baada ya matokeo ya mwisho kukamilika ubaoni.
 • Wachezaji wanaweza kujishindia zawadi moja tu kwa wiki.
 • Zawadi za pesa taslimu zitatolewa bila masharti yoyote ya ziada na zinaweza kutolewa kwenye account papo hapo.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.