1. Muhimu
  • Chaguzi zote (isipokuwa zinazohusha kipindi cha mapumziko, kipindi cha kwanza, muda wa ziada, na penalti) zinaangaziwa katika muda wa kawaida pekee.
  • Iwapo mechi itakatizwa na kuendelea ndani ya saa 48 baada ya muda wa awali wa kuanza, bets zote ambazo zinaendelea zitakamilishwa kwa kuzingatia matokeo ya mwisho. Vinginevyo, bets zote ambazo hazijaamuliwa zinachukuliwa kuwa batili.
  • Muda wa kawaida wa Dakika 90: Chaguzi zina msingi wake katika matokeo mwishoni mwa dakika 90 za mchezo isipokuwa pale imeelezwa vingine. Hii inahusisha muda wowote wa nyongeza kando na muda wa ziada, muda uliotengwa kwa upigaji penalti au bao la dhahabu.
 2. Kanuni za Uamuzi na Ukatishaji.
  • Iwapo chaguzi zitasalia wazi baada ya matukio haya: mabao, kadi ya manjano au nyekundu na penalti, tuna haki ya kubatilisha uwekaji bashiri.
  • Iwapo chaguzi ilifunguliwa na kadi nyekundu kimakosa, tuna haki ya kubatilisha uwekaji bashiri.
  • Iwapo odds zilitolewa zikiwa na makosa ya wakati mechi inachezwa (kwa zaidi ya dakika 5), tuna haki ya kubatilisha uwekaji bashiri.
  • Iwapo matokeo yenye makosa yatawekwa, chaguzi zote zitabatilishwa kwa kipindi ambapo matokeo yenye makosa yatakuwa yakionyeshwa.
  • Iwapo mechi ilikatizwa au kuahirishwa na haijaendelea ndani ya saa 48 baada ya tarehe ya awali ya kuanza, Uwekaji bashiri utabatilishwa.
  • Iwapo jina la timu au kategoria imeonyeshwa visivyo, tuna haki ya kubatilisha uwekaji bashiri.
 3. Chaguzi za utoaji wa Kadi
  • Kadi ya Manjano inahesabiwa ikiwa moja na kadi nyekundu inahesabiwa kama kadi mbili. Kadi ya pili ya manjano inayomfanya mchezaji kuonyeshwa kadi nyekundu haihesabiwi. Kwa hivyo, mchezaji mmoja hawezi kupewa zaidi ya kadi tatu.
  • Uamuzi utafanywa kuambatana na ithibati iliyopo kuhusu kazi zilizotolewa wakati wa mchezo ndani ya dakika 90.
  • Kadi zinazotolewa baada ya mechi hazitazingatiwa.
  • Kadi kwa wasio wachezaji (Wachezaji waliokwisha pumzishwa, kocha, wachezaji wa akiba ambao hawakucheza) hazitazingatiwa.
 4. Chaguzi za alama za Kutolewa kadi.
  • Kadi ya manjano ina alama 10 huku kadi nyekundu ikiwa na alama 25. Iwapo mchezaji ataonyeshwa kadi mbili za manjano na hivyo kuonyeshwa kadi nyekundu, atapata jumla ya alama 25 za kutolewa kadi
  • Uamuzi utafanywa kuambatana na ithibati zilizopo kwa kadi zilizotolewa ndani ya dakika 90 za mchezo.
  • Kadi zinazotolewa baada ya mechi hazitazingatiwa.
  • Kadi zitakazotolewa kwa wasio wachezaji (wachezaji waliokwisha pumzishwa, kocha, wachezaji wa akiba ambao hawakucheza) hazitazingatiwa.
KANUNI ZA KANDANDA - JINA LA CHAGUZI
JINA LA CHAGUZI MAELEZO YA CHAGUZI
3way Timu gani itashinda mechi (1-X-2) ya nyumbani; sare; ya ugenini
Jumla (jumla ya *.5 pekee) K.m. 0.5, 1.5, 2.5, 3.5, ...
Handicap Handicaps za Uropa (k.m. Handicap 0:2, Handicap 5:0, ...) 1-X-2
Jumla za Kiasia Jumla baada ya robo ya mechi na mwisho wa mechi (k.m. 2.00, 2.25, 2.75, ...)
Sare Hakuna Bet a. Ikiwa mechi itaisha sare baada ya muda wa kawaida, bet zote zitabatilishwa
b. Sawa na Handicap 0 ya KiAsia (levelball, pick-em)
Nani atashinda mechi kwa kipindi kilichosalia? Timu gani itafunga mabao katika kipindi kilichosalia?
Bao linalofuata Nani atafunga bao ya 1,2,...? (1-X (hakuna bao)-2)
Uwezekano maradufu (1X – 12 – X2) Nyumbani au sare; nyumbani au ugenini; sare au ugenini.
Mabao sahihi Fixed results (0:0; 1:0; 2:0; 3:0; 0:1; 1:1; 2:1; 3:1; 0:2; 1:2; 2:2; 3:2; 0:3;
1:3; 1:3; 2:3; 3:3 na mengineyo)
Matokeo sahihi yanayoweza kubadilika. Ni sawa na matokeo sahihi lakini inaendelezwa na matokeo yaliyomo
Mabao sahihi AAMS-logic Matokeo bainifu (0:0; 1:0; 2:0; 3:0; 4:0; 0:1; 1:1; 2:1; 3:1; 4:1; 0:2;
1:2; 2:2; 3:2; 4:2; 0:3; 1:3; 1:3; 2:3; 3:3; 4:3; 1:4; 2:4; 3:4; 4:4 na mengineyo)
Mabao ya timu ya nyumbani a. Mabao ngapi yatafungwa na timu ya nyumbani .
b. 0, 1, 2, 3+
Mabao ya timu ya ugenini a. Mabao ngapi yatafungwa na timu ya ugenini
b. 0, 1, 2, 3+
Timu zote kufunga bao Bao/hakuna bao; (ndiyo;la)
Witiri/Shufwa Mabao Witiri/Shufwa
Timu gani itatangulia kufunga? Timu ya nyumbani/ timu ya ugenini
3 Way - kipindi 1 a. Timu gani itashinda katika kipindi 1?
b. Mapumziko 1-X-2
3 Way - Kipindi 2 Nyumbani; Sare; Ugenini
Jumla - Kipindi 2 x.5 pekee
Kipindi 1 - Jumla ( jumla *.5 pekee) Mabao yaliyofungwa katika kipindi1 pekee ndiyo yanayozingatiwa
Kipindi 1 - Jumla ya Ki Asia Jumla baada ya robo ya mechi na mwisho wa mechi (k.m. 2.00, 2.25, 2.75, ...)
Kipindi 1 - Handicap ya Ki Asia Chaguzi za Handicap ya KiAsia katika kipindi 1 (k.m. 2.00, 2.25, 2.75, ...)
Kipindi 1 -Nani atashinda mechi? Nani atashinda katika kipindi cha kwanza?
Kipindi 1 - Bao linalofuata Nyumbani; hakuna bao; ugenini
Kipindi 1 - Mabao yanayoweza kubadilika Sawa na Mabao yanayoweza kubadilika
Muda wa nyongeza - 3 Way Mabao yanayofungwa katika muda wa nyongeza pekee yanazingatiwa
Muda wa nyongeza - Jumla Mabao yanayofungwa katika muda wa nyongeza pekee yanazingatiwa
Muda wa nyongeza - Nani atashinda mechi? Mabao yanayofungwa katika muda wa nyongeza pekee yanazingatiwa
Muda wa nyongeza - Bao linalofuata Mabao yanayofungwa katika muda wa nyongeza pekee yanazingatiwa
Timu gani itashinda mikwaju ya penalti? Mabao yanayofungwa kupitia kwa mikwaju ya penalti pekee yanazingatiwa
Muda wa nyongeza - Handicap ya Ki Asia a. Mabao yanayofungwa katika muda wa nyongeza pekee yanazingatiwa
b. Chaguzi za Handicap katika vitengo vyote (k.m. -2.00/+2.00, -2.25/2.25, -2.50/2.5 ...)
Muda wa nyongeza Kipindi 1 - 3 Way Mabao yanayofungwa katika muda wa nyongeza pekee katika kipindi 1 yanazingatiwa katika Handicap ya Uropa
Muda wa nyongeza - Mabao yanayoweza kubadilika. a. Mabao yanayofungwa katika muda wa nyongeza pekee yanazingatiwa
b. Mabao yaliyoendelezwa kutoka kwa yaliyopo
Muda wa nyongeza katika kipindi 1 - Mabao yanayoweza kubadilika. a. Mabao yanayofungwa katika muda wa nyongeza pekee katika kipindi 1 yanazingatiwa
b. Mabao yaliyoendelezwa kutoka kwa yaliyopo
Muda wa nyongeza katika kipindi 1 - Handicap ya Ki Asia a. Mabao yanayofungwa katika muda wa nyongeza pekee katika kipindi 1 yanazingatiwa
b. Chaguzi za Handicap katika vitengo vyote (k.m. -2.00/+2.00, -2.25/2.25, -2.50/2.5 ...)
Bet za kona Timu gani itapata kona nyingi
Kuweka nafasi ya bet Timu gani itapokea kadi nyingi
Handicap ya kona Handicap za 2 way kwa hatua *.5
Jumla ya Kona Jumla ya idadi za kona kwa hatua *.5
Idadi ya kona (jumlishi) Jumla ya idadi za kona katika muda uliotengwa (<9, 9-11, 12+)
Jumla ya Kona kwa timu ya nyumbani Jumla ya idadi za kona katika muda uliotengwa kwa timu ya nyumbani (0-2, 3-4, 5-6, 7+)
Jumla ya Kona kwa timu ya ugenini Jumla ya idadi za kona katika muda uliotengwa kwa timu ya ugenini (0-2, 3-4, 5-6, 7+)
Jumla ya Kona kwa timu ya nyumbani Jumla ya idadi za kona kwa timu ya nyumbani kwa hatua *.5
Jumla ya Kona kwa timu ya ugenini Jumla ya idadi za kona kwa timu ya ugenini kwa hatua *.5
Kona Witiri/Shufwa Idadi ya kona witiri/shufwa
Kipindi 1 - Bet ya kona Timu gani itapata kona nyingi katika kipindi 1
Kipindi 1 - Handicap ya Kona 2 way za handicap katika kipindi 1 kwa hatua *.5
Kipindi 1 - Jumla ya Kona Jumla ya idadi za kona katika kipindi 1 kwa *.5
Kipindi 1 - Idadi ya Kona (jumlishi) Jumla ya idadi za kona katika kipindi 1 kwa muda uliotengwa (<5, 5-7, 7+)
Kipindi 1 - Kona za timu ya nyumbani Jumla ya idadi za kona katika kipindi 1 kwa timu ya nyumbani kwa muda uliotengwa (0-1, 2, 3, 4+)
Kipindi 1 - Kona za timu ya ugenini Jumla ya idadi za kona katika kipindi 1 kwa timu ya ugenini kwa muda uliotengwa
(0-1, 2, 3, 4+)
Kipindi 1 - Jumla ya Kona za timu ya nyumbani Jumla ya idadi za kona katika kipindi 1 kwa timu ya nyumbani katika hatua *.5
Kipindi 1 - Kona za timu ya ugenini Jumla ya idadi za kona katika kipindi 1 kwa timu ya ugenini katika hatua*.5
Kipindi 1 - jumla ya Kona za timu ya ugenini Idadi ya kona Witiri/Shufwa katika kipindi 1
Jumla kwa timu ya nyumbani Jumla ya idadi ya mabao kwa timu ya nyumbani katika hatua *.5
Jumla kwa timu ya ugenini Jumla ya idadi ya mabao kwa timu ya ugenini katika hatua *.5
Idadi sahihi ya mabao Idadi sahihi ya mabao na matokeo thabiti (0, 1, 2, 3, 4, 5, 6+)
Kipindi 1 - Mabao ya timu ya nyumbani a. Mabao ngapi yatafungwa katika kipindi 1 na timu ya nyumbani? b. 0, 1, 2, 3,+
Kipindi 1 - Mabao ya timu ya ugenini a. Mabao ngapi yatafungwa katika kipindi 1 na timu ya ugenini? b. 0, 1, 2, 3,+
Kipindi chenye Mabao Mengi zaidi a. Kipindi chenye mabao mengi (kipindi 1, kipindi 2, vinalingana)
b. Muda wa kawaida pekee unazingatiwa
Ni lini bao linalofuata litafungwa? a. Ni katika kipindi gani cha wakati ambapo bao linalofuata litafungwa? (0-15, 16-30,31-45, 46-60, 61-75, 76-90, hakuna bao)
b. Inaamuliwa wakati bao linafungwa. K.m. Kipindi cha kuanzia dakika 0-15 inaamuliwa iwapo bao litafungwa kati ya 0:00 -15:00 (15:01 inahesabiwa kama 16 - 30)
c. 31-45 na 76 -90 inahusisha muda wa ziada.
d. Wakati unaoonyeshwa kwenye runinga ndio unaozingatiwa. Iwapo hili halionyeshwi wakati ambao mpira unavuka laini ya goli huzingatiwa na kuamuliwa kutokana na wakati unaoonyeshwa kwenye saa kwenye runinga.
Jumla ya Kadi zilizotolewa Jumla ya idadi ya kadi katika hatua *.5
Jumla ya Kadi zilizotolewa (kamili) Idadi kamili ya kadi zinazopeanwa (<4, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12+)
Mchezaji Kutolewa uwanjani? Kutakupeanwa kadi nyekundu au kadi nyekundu kutokana na manjano 2 kwenye mechi
Kadi zilizowekewa timu ya nyumbani Jumla ya idadi ya kadi kwa timu ya nyumbani katika hatua *.5
Kadi zilizowekewa timu ya ugenini Jumla ya idadi ya kadi kwa timu ya ugenini katika hatua *.5
Jumla ya Pointi kutokana na kadi Jumla ya idadi ya pointi kutokana na kadi katika hatua *.5
Idadi ya Pointi kutokana na kadi (jumlishi) Idadi kamili ya pointi kutokana na kadi kati ya muda wa dakika (0-30, 31-45, 46-60,61-75, 76+)
Kipindi 1 - Jumla ya Kadi zilizotolewa Kadi katika kipindi 1 pekee zinazingatiwa
Kipindi 1 - Jumla ya Kadi zilizotolewa (kamili) Idadi kamili ya kadi katika kipindi 1 katika matokeo maalum (0, 1, 2, 3, 4, 5, 6+)
Kipindi 1 - Kadi kwa timu ya nyumbani Jumla ya idadi za kadi katika kipindi 1 kwa timu ya nyumbani katika hatua *.5
Kipindi 1 - Kadi kwa timu ya ugenini Jumla ya idadi za kadi katika kipindi 1 kwa timu ya ugenini katika hatua *.5
Kipindi 1 - Jumla ya Pointi kutokana na kadi Jumla ya idadi za pointi kutokana na kadi katika kipindi 1katika hatua *.5
Kipindi 1 - Jumla ya Pointi kutokana na kadi Jumla ya idadi ya pointi za kadi katika kipindi 1 kwenye muda wa dakika (0-10, 11-25, 26-40, 41+)
Kipindi 1 - Idadi Kamili ya mabao Idadi kamili ya mabao katika kipindi 1 na matokeo maalum (0, 1, 2, 3, 4, 5, 6+)
Bet ya mechi na Jumla Ushirikishi wa 3 way na jumla 2.5 (ushindi wa timu ya nyumbani na chini ya 2.5, ushindi wa timu ya nyumbani na juu ya 2.5, sare na chini ya 2.5, sare na juu ya 2.5, ushindi wa timu ya ugenini na chini ya 2.5, ushindi wa timu ya ugenini na juu ya 2.5)
Nani anaingia katika raundi inayofuata? (nyumbani; ugenini)
Nani atashinda fainali? (nyumbani; ugenini)
Nani atachukua nafasi ya tatu? (nyumbani; ugenini)
Namna ya Ushindi “Ushindi wa timu ya nyumbani/Ushindi wa timu ya ugenini” baada ya “Muda wa kawaida/Muda wa nyongeza/Mikwaju ya penalti”
Mfungaji bao Wakati wowote Mchezaji wa nyumbani X, Mcheza wa ugenini X, hakuna
Mfungaji wa Bao linalofuata Mchezaji wa nyumbani X, Mcheza wa ugenini X, hakuna
Mikwaju ya Penalti katika kandanda - bao linalofuata kupitia Penalti ndiyo; na
Mikwaju ya Penalti katika kandanda - Jumla Mabao yanayofungwa kupitia kwa mikwaju ya penalti pekee yanazingatiwa
Mikwaju ya Penalti katika kandanda - Idadi kamili ya penalti zinazofungwa Idadi ya mabao kamili kwa matokeo maalum (<5, 5, 6, 7, 8, 9, 10+)
Mikwaju ya Penalti katika kandanda - Tofauti za Mabao ya ushidi (≥+3, 2, 1, 0, -1, -2, ≤-3)
Mikwaju ya Penalti katika kandanda - Jumla kwa timu ya nyumbani Jumla ya idadi ya mabao kwa timu ya nyumbani katika hatua *.5
Mikwaju ya penalti katika kandanda - Jumla kwa timu ya ugenini Jumla ya idadi ya mabao kwa timu ya ugenini katika hatua *.5
Mikwaju ya Penalti katika kandanda - Idadi sahihi ya mabao (0:4....5:1; na nyingineyo)
Mikwaju ya Penalti katika kandanda - Witiri/Shufwa Idadi ya mabao Witiri/sSufwa
Mikwaju ya Penalti katika kandanda - Witiri/Shufwa kwa timu ya nyumbani Idadi ya mabao kwa timu ya nyumbani; Witiri/Shufwa
Mikwaju ya Penalti katika kandanda - Witiri/Shufwa kwa timu ya ugenini Idadi ya mabao kwa timu ya ugenini Witiri/Shufwa
Mikwaju ya Penalti katika kandanda - Bet ya mechi na jumla "Ushirikishi wa 2way na jumla 2.5 (Ushindi wa timu ya nyumbani na chini , ushindi wa timu ya nyumbani na juu , sare na chini , sare na juu , ushindi wa timu ya ugenini na chini , ushindi wa timu ya ugenini na juu5)"