Fazi Cash Frenzy Fazi Cash Frenzy

Tuna michezo BOMBA 3 yenye theme ya Valentine kutoka Fazi kwa ajili yako, kucheza! Cheza mchezo 1 au yote mi 3 kwa pamoja:Lolla’s World, Wild Joker Hot and 5 Wild Heart. Kama hautoshinda tutakuzawadia na rejesho la pesa la 10%! Badili hasara kuwa faida!

Cheza Sasa
Step 1
Chagua mchezo uanoshiriki
Slots
Step 2
Zungusha reels
Deposit
Step 3
Shinda au pata rejesho la pesa 10%!
Leaderboard
Cheza Sasa

Tuna michezo BOMBA 3 yenye theme ya Valentine kutoka Fazi kwa ajili yako, kucheza! Cheza mchezo 1 au yote mi 3 kwa pamoja:Lolla’s World, Wild Joker Hot and 5 Wild Heart. Weka bashiri zako kwa mzunguko unaofuata, kwa dau la angalau 2,400 TSH ndani ya muda wa rejesho la pesa, na kama hautoshinda, tutakupatia rejesho la pesa la 10% kwenye hasara utakayoipata hadi 24,000 TSH.

Ofa ya Fazi Valentine’s Cashback itaanza kuanzia Jumatatu tarehe 13 Februari hadi Jumatano tarehe 15 Februari 2023.

Chagua mchezo wako:

Lolla’s World:
Karibu kwenye Lolla’s world, iliyojaa mali za ajabu! Jukwaa limeshawashwa taa! Shoo ya ushindi ipo tayari kuanza na kukuletea zawadi za kuvutia! Mwache charming Lolla akuongoze kwenye safari hi ya kutosahaulika na kukufanya uwe tajiri!

5 Wild Heart:
Go wild na ufall in love na 5 Wild Heart mchezo wa slots classic za matunda ambazo zitakonga nyoyo za wachezaji na alama zake za kun’gaa za matunda na familiar gameplay. Mchezo huu wa kuvutia wa slot wenye reels 5 na pay lines 5 zitawafanya spinners waupende zaidi.

Golden Crown:
Pata hisia za golden crown! Matunda yako pendwa, kengele na namba 7 za bahati (lucky 7s) vinakusubiri kwenye safari yako ya dhahabu, safari iliyoanzishwa na ndoto za dhahabu. Nyota zinazong’aa zinaleta bonasi kubwa za bahati. Furahia maajabu ya golden crown, kua mfalme tajiri zaidi na ushinde taji!

Muda wa Promosheni
  • Promosheni ya Fazi Cashback itaanza kuanzia Jumatatu tarehe 13 Februari 00:00 UTC hadi Jumatano tarehe 15 Februari 2023 23:59 UTC.
  • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Rejesho la Pesa
  • Rejesho la pesa linapatikana kwenye mchezo wa Lolla’s World, Wild Joker Hot na 5 Wild Heart kutoka Fazi.
  • Wachezaji wanastahili kupokea rejesho la pesa la 10% kwenye hasara walioipata hadi kufikia 24,000 TSH.
  • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitakazohesabika kwenye promosheni hii (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonus hazitohesabika).
  • Wachezaji wanatakiwa wacheze angalau 2,400 TSH ndani ya kila wiki ya rejesho la pesa ili kufuzu kupokea ofa hii.
  • Kima cha juu kabisa mchezaji anachoweza kupokea ni 24,000 TSH.
  • Rejesho la pesa litalipwa ndani ya masaa 72 baada ya muda wa promosheni kuisha.
  • Rejesho la pesa litalipwa kwenye akaunti yako ya pesa taslimu bila masharti yoyote ya ziada.
Jumla
  • Ofa hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.