Mega Bonus Mega Bonus

Back your country ishinde! Weka bashiri yenye nchi yako kushinda mechi ya AFCON na utapata bonasi ya bashiri ya bure kama nchi yako haitoshinda.

Bashiri Sasa
Step 1
Nenda kwenye AFCON
Football
Step 2
Back your Country
Bonus
Step 3
Pata bonasi ya bashiri ya bure kama Tanzania haitoshinda.
Bonus
BASHIRI SASA

Weka bashiri ya 2,000 TSH au zaidi ya Tanzania kushinda kwenye mechi za AFCON na utapata bonasi ya bashiri ya bure ya 2,000 TSH siku inayofuata kama Tanzania haitoshinda

Ni lazima uweke bashiri ya Tanzania kushinda mechi kwenye soko la 1X2 kwenye mkeka wako ili kufuzu na mechi hio pekee kwenye mkeka wako ndio itahesabika kwenye hii promosheni.


Jinsi ya kutumia Bonasi:


Machaguo kwenye mkeka yasipungue: 3

Alama kwa kila chaguo zisipungue: 1.50

Bonasi zita expire baada ya siku 7

Bashiri zitakazofuzu
 • Ni bashiri zilizowekwa kati ya tarehe 22/03/23 – 28/03/23 ndizo zitahesabika kwenye hii promosheni
 • Bashiri ni lazima ziwe na chaguo moja la timu ya nchi yako kwenye mechi za AFCON kwa soko la 1X2 ili kufuzu.
 • Bashiri ni lazima ziwe na dau la angalau 2,000 ili kufuzu.
 • Bashiri zilizokua cashed-out hazitohusika kwenye promosheni hii.
 • Bashiri zilizobatilishwa au kughairishwa hazitohesabika kwenye hii promosheni.
Taarifa ya Bonasi ya Michezo
 • Kima cha juu kabisa cha idadi za bonasi ambazo mchezaji anaweza kupata ni bonasi moja.
 • Bonasi zitatolewa ndani ya masaa 24 baada ya kukamilika kwa bashiri.
 • Bonasi itatolewa kama mkeka wako utakua na chaguo la mchi yako kushinda mechi ya AFCON itakayochezwa hadi tarehe 22/03/23 – 28/03/23 na kama chaguo hilo litakua kwenye soko la 1X2 na chaguo hilo halitoshinda.
 • Kiasi chote cha pesa ya bonasi utakachopewa ni lazima kitumike angalau mara moja kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu.
 • Bashiri zitakazowekwa kwa pesa ya bonasi ni lazima ziwe na machaguo yasiyopungua matatu ili bashiri ihesabike kwenye kutimiza masharti ya ubashiri/wagering requirements.
 • Machaguo yote ndani ya mkeka ni lazima yawe na alama zisizopungua 1.50 ili bashiri ifuzu kwenye kutimiza masharti ya ubashiri/wagering requirements.
 • Kima cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kutoka kwenye ushindi ni 25x ya kiasi cha bonasi ulichokipata.
 • Bonasi yako ita expire baada ya siku saba.
 • Majaribio yoyote utakayoyafanya kwa kuweka bashiri kwenye masoko mengi yanayomaliza machaguo yote yatapelekea kutokulipwa bonasi na itapelekea kuzuiwa kupata bonasi zozote hata mbeleni.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha ushindi, au kutolipa zawadi ya pesa taslimu, pale ambapo sehemu ya matokeo ya alama kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi (ikiwa ni pamoja na malipo ya mchezo yasiyo sahihi) iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa heshima ya michezo yote ilioshirikishwa.
 • Tuna haki ya ziada ya kuepuka ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.