eSoccer Bet Get eSoccer Bet Get

Opt-in Sasa na upate Bashiri ya bure kila siku unapoweka bashiri kwenye mechi za AFCON ikiwa na machaguo 3+! Pata bashiri ya bure ya ziada utakapoweka bashiri ya nchi yako kushinda siku ambayo nchi yako itacheza!

Chagua kujiunga
Step 1
Opt-in > Nenda Soka > Africa Cup of Nations
Football
Step 2
Weka bashiri yenye machaguo 3+
Bonus
Step 3
Pata bashiri ya bure ya kila siku!
Bonus
Chagua kujiunga

Bashiri za bure za kila siku kwenye mechi za AFCON: Ongeza nafasi zako za kushinda na ofa yetu ya bashiri za bure za kila siku! Opt-in kwenye hii promosheni na uweke bashiri yenye machaguo 3+ ya mechi za AFCON.

Na siku ambayo nchi yako inacheza, weka chaguo la nchi yako kushinda kwenye soko la (1X2) kwenye mkeka wako na utapata Bashiri za bure x2! Pata Bashiri ya bure sawa sawa kwa 100% na dau lako bashiri yako itakapokamilika!

Bashiri Zitakazofuzu:

 • Machaguo angalau 3 ya mechi za AFCON 2024.
 • Alama angalau: 1.20 kwa kila chaguo

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Alama za jumla zisipungue: 1.50
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni
 • Promosheni hii itaanza tarehe 13/01/24 00:00 hadi 03/02/24 23:59.
Kufuzu Bashiri ya Bure
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu kupata Bashiri ya bure. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
 • Bashiri ni lazima ziwe na machaguo angalau 3 ya mechi za AFCON zinazochezwa 2024.
 • Bashiri ni lazima ziwe na alama zisizopungua 1.20 kwa kila chaguo.
 • Ni bashiri zilizoshinda au kupoteza pekee ndizo zitafuzu kwenye promosheni; Bashiri zilizo batilishwa/voided, zilizokua cancelled, au kuwa cashed out hazitofuzu.
 • Bashiri iliyofuzu itaanza kuhesabika pale itakapokamilika.
 • Bashiri zilizofuzu ni lazima zikamilike ndani ya muda wa promosheni ili kufuzu kupata Bashiri ya bure.
Taarifa ya Bashiri ya Bure
 • Kila mchezaji anaweza kupata bashiri moja ya bure kila siku kupitia hii ofa. Bashiri ya bure ya ziada inaweza kutolewa kwa kila atakaeweka bashiri ya nchi yake kushinda siku inayocheza (soko la 1X2 pekee).
 • Bashiri ya bure itaingizwa kwenye akaunti za wachezaji baada ya bashiri kukamilika au ndani ya masaa 48 kama kutakua na tatizo la mtandao.
 • Bashiri ya bure itakayotolewa itakua kiasi sawa sawa kwa 100% hadi 3,000 TSH na bashiri ya kwanza iliyofuzu kukamilika kila siku ndani ya muda wa promosheni.
 • Bashiri za bure zinatumika kwenye mechi zote.
 • Bashiri za bure lazima zitumike kuweka bashiri zenye alama za jumla angalau 1.50.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Bashiri za bure zinaweza kutumika ndani ya siku 7 tu kuanzia siku iliyotolewa.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Promosheni hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote au promosheni.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.