AFCON Match Bet Get AFCON Match Bet Get

Weka bashiri kwenye mechi za Nusu Fainali ya AFCON na utapata Bashiri ya bure sawa sawa na dau lako ya hadi 5,000 TSH kutumika kuweka bashiri wakati mechi ya Fainali inaendelea!

Step 1
Weka bashiri kwenye mechi za nusu fainali
Football
Step 2
Pata bashiri yako ya bure
Bonus
Step 3
Tumia kuweka bashiri mubashara kwenye Fainali ya AFCON!
Bonus

Weka bashiri yenye mechi yoyote ya nusu Fainali ya AFCON yenye alama angalau 1.50 na utapata bashiri ya bure sawa sawa kwa 100% na dau lako hadi 5,000 TSH kutumika kuweka bashiri mubashara kwenye mechi ya Fainali ya AFCON.

Bashiri Zitakazofuzu:

  • Bashiri zinaweza kuwa za kabla ya mechi au mubashara na lazima ziwe na chaguo kutoka kwenye mechi yoyote ya Nusu Fainali ya AFCON.
  • Alama angalau: 1.50

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

  • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
  • Alama za jumla zisipungue: 1.50
  • Bashiri ya bure inaweza kutumika wakati mechi ya Fainali ya AFCON inaendelea.
  • Bashiri ya bure ita expire wakati mechi itakapoisha.
Muda wa Promosheni
  • Promosheni itaanza tarehe 05/02/24 00:00 CET na itaisha tarehe 07/02/24 23:00 CET.
Kufuzu Bashiri ya Bure
  • Ni bashiri za pesa taslimu pekee zilizowekwa kwenye mechi ya Nusu Fainali ya AFCON ndio zitafuzu.
  • Bashiri ni lazima ziwe na alama za jumla zisizopungua 1.50.
  • Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
  • Bashiri zilizokua Cashed out hazitofuzu kwenye hii promosheni.
  • Bashiri zilizokua Cancelled au bashiri hewa/ Voided hazitofuzu kwenye hii promosheni.
Taarifa ya Bashiri ya Bure
  • Kiasi cha bashiri ya bure itakayotolewa kitakua sawa sawa kwa 100% na dau la bashiri ya kufuzu, hadi 5,000 TSH.
  • Bashiri ya bure itatolewa baada ya kuweka bashiri iliyofuzu kwenye nusu Fainali ya mashindano ya AFCON, kutumika kwenye Fainali.
  • Bashiri ya bure inaweza kutumika kwenye kuweka bashiri mubashara pekee kwenye mechi ya Fainali ya AFCON.
  • Bashiri ya bure itatolewa 1 tu kwa kila mchezaji.
  • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
  • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
  • Bashiri ya bure itafutwa kwa mchezaji yoyote ambae ataweka bashiri kwenye matokeo yote ya masoko ya mechi au atakaechagua ku cash-out kwenye bashiri yake ya ushindi.
Jumla
  • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
  • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.