Mega Bonus Mega Bonus

Rejesho la pesa la uhakika kwenye mechi za AFCON: Bashiri bila kupoteza na Premier Bet!
Weka bashiri kwenye mechi yoyote ya AFCON kuanzia tarehe 11/01/24 hadi 17/01/24. Pata rejesho la pesa yako kama bashiri ya bure kwenye bashiri yako ya kwanza kupoteza!

Chagua kujiunga
Step 1
Opt-in
Football
Step 2
Nenda kwenye mechi za AFCON na uweke bashiri
Bonus
Step 3
Pata rejesho la dau lako kama bashiri ya bure kama hautoshinda!
Bonus
Chagua kujiunga

The African Cup of Nations inakuleta Rejesho la pesa la uhakika kwenye AFCON! Opt-in sasa na uweke bashiri kwenye mechi yoyote ya AFCON kabla ya tarehe 18/01/24. Na kama bashiri yako isiposhinda, tutarudisha dau la bashiri yako, hadi 2,500 TSH!

Bashiri Zitakazofuzu:

  • Bashiri ni lazima ziwe na chaguo angalau 1 la mechi za AFCON.
  • Bashiri zako ni lazima ziwe zimewekwa kati ya tarehe 11/01/24 00:00 na 17/01/24 23:59.
  • Bashiri zako ni lazima ziwe zimekamilika kabla ya 18/01/24 23:59.

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

  • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
  • Alama za jumla zisipungue: 1.50
  • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni
  • Promosheni hii itaanza tarehe 11/01/24 00:00 hadi tarehe 17/01/24 23:59.
Kufuzu Bashiri ya Bure
  • Ni bashiri za pesa taslimu pekee zenye machaguo 3 au zaidi, ikiwemo chaguo angalau 1 la mechi za AFCON na machaguo 3 yenye alama angalau 1.20, ndio yatafuzu.
  • Bashiri ni lazima ziwekwe kati ya tarehe 11/01/24 00:00 na 17/01/24 23:59 ili kufuzu.
  • Bashiri ni lazima zikamilike kati ya 11/01/24 00:00 na 18/01/24 23:59 ili kufuzu.
  • Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
  • Bashiri ya bure itatolewa 1 tu kwa kila mchezaji.
  • Bashiri zilizokua Cashed out, cancelled, au voided hazitofuzu.
  • Ni bashiri zilizokamilika kwa kupoteza au kushinda pekee ndio zitafuzu kupokea bashiri ya bure.
Taarifa ya Bashiri ya Bure:
  • Kama bashiri yako ya kwanza kupoteza itakua imefuzu vigezo, dau lako litarudishwa kama Bashiri ya bure, hadi 2,500 TSH.
  • Bashiri ya bure inatolewa wakati bashiri inapokamilika.
  • Bashiri ya bure itakayotolewa itakua kiasi sawa sawa kwa 100% hadi 2,500 TSH.
  • Bashiri za bure zinatumika kwenye mechi zote.
  • Bashiri za bure lazima zitumike kuweka bashiri zenye alama za jumla angalau 1.50.
  • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
  • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
  • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
  • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
  • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
  • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.