Tennis ATP Free Bet Tennis ATP Free Bet

Opt-in Sasa na utapata Bashiri za bure hadi 10 kila siku unapoweka bashiri kwenye mechi za fainali ya ATP!

Chagua kujiunga

Step 1
Opt-in
Football
Step 2
Weka bashiri kwenye Tennis: ATP Finals
Bonus
Step 3
Pata bashiri zako za bure!
Bonus
Chagua kujiunga

ATP Finals Free Bets: Ongeza nafasi yako ya kushinda na ofa yetu ya Bashiri za bure za kila siku! Opt-in kwenye hii promosheni na kwa kila bashiri utakayoiweka yenye chaguo kutoka kwenye mechi za Fainali ya Tennis ATP, utapata bashiri ya bure ya 1,000 TSH papo hapo!

Pata bashiri zako 10 za bure kila siku!

Bashiri Zitakazofuzu:

 • Bashiri ni lazima iwe na chaguo angalau moja lla mechi za Fainali ya Tennis ATP.
 • Dau angalau: 10,000 TSH
 • Alama angalau: 1.50

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Alama za jumla zisipungue: 1.50
 • Bashiri ya bure inaweza kutumika ndani ya siku 7
Muda wa Promosheni:
 • Promosheni itaanza tarehe 12/11/23 00:00 hadi tarehe 19/11/23 19:00.
Kufuzu Bashiri ya Bure:
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu kupata Bashiri ya bure. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
 • Kila bashiri iliyofuzu ni lazima iwe na dau la angalau 10,000 TSH.
 • Kila bashiri iliyofuzu ni lazima iwe na alama zisizopungua 1.50.
 • Bashiri ni lazima ziwe na chaguo angalau moja la mechi za Fainali ya Tennis ATP.
 • Bashiri zilizofuzu ni lazima ziwekwe ndani ya muda wa promosheni ili kufuzu kupata Bashiri ya bure.
Taarifa ya Bashiri ya Bure:
 • Kila mchezaji anaweza kupata hadi bashiri 10 za bure kila siku kupitia hii ofa.
 • Bashiri za bure zitawekwa kwenye akaunti za wachezaji wanaostahiki mara tu baada ya kuweka bashiri.
 • Bashiri ya bure ya 1,000 TSH itatolewa kwa kila bashiri iliyofuzu kwenye hadi bashiri 10 kila siku.
 • Bashiri za bure zinaweza kutumika kuweka bashiri zote za michezo.
 • Bashiri za bure lazima zitumike kuweka bashiri zenye alama za jumla angalau 1.50.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Bashiri za bure zinaweza kutumika ndani ya siku 7 kuanzia siku iliyotolewa.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Promosheni hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote au promosheni.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.