Aviator Millions of Free Flights Aviator Millions of Free Flights

Premier Vegas ni nyumbani kwa mchezo pendwa wa Aviator, na sasa kuna zawadi kibao za mizunguko ya bure! Tuna mizunguko ya bure millioni 1 inayotolewa kila wiki kwenye Aviator Chat Room. Mizunguko mingi zaidi ya bure itatokea kila siku ndani ya chat room, mvua ya mizunguko ya bure ikianza kunyeesha utapewa dakika 10 tu kupata Mzunguko wako wa bure – endelea kutazama chat kadri unavyocheza!

Step 2
Chat na wachezaji wengine
Slots
Step 3
Pata mzunguko wa bure
Money Bag

Muda wowote ndani ya siku nzima, mvua za mizunguko ya bure kwenye Aviator chat room inaweza kunyeesha. Kila mvua itanyeesha ndani ya dakika 10. Kitufe cha mizunguko ya bure kitakapotokea kwenye chat, unatakiwa kubofya ili kupata mzunguko wako wa bure unaoweza kuutumia kwenye bashiri yako inayofuata! Unaweza kupata mzunguko mmoja tu wa bure kila mvua itakaponyeesha, na kila siku mvua ya zawadi itanyeesha mara nyingi.

Promosheni hii itaanza Jumatano tarehe 3 Aprili 2024 hadi Jumanne tarehe 30 Aprili 2024.

Kupata mzunguko wako wa bure kwenye mchezo wa Aviator, ni rahisi, cheza mchezo wa Aviator na uchat na wachezaji wengine. Mvua zitanyeesha mara nyingi na bila mpangilio kila siku, kila mvua itakua na mizunguko ya bure. Ni lazima ubofye kitufe cha Claim kitakachokua kwenye kipengele cha Chat. Zawadi za mizunguko ya bure zitatolewa papo hapo mara baada tu ya kubofya kitufe, ambayo unayoweza kutumia kucheza mchezo wa Aviator pekee. Zawadi za mizunguko ya bure zitatolewa bila mpangilio zenye thamani kati ya 26 TSH hadi 2,600 TSH. Ushindi kutoka kwenye mizunguko ya bure utaingizwa moja kwa moja kwenye pochi yako ya pesa taslimu.

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Aviator Millions of Free Flights itaanza Jumatano tarehe 3 Aprili 2024 12:00 UTC hadi Jumanne tarehe 30 Aprili 2024 23:59 UTC.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri Zitakazofuzu
 • Bashiri zilizofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye mchezo wa Aviator kutoka Spribe.
 • Hakuna kima cha chini cha dau kinachohitajika ili kufuzu.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee kwenye mchezo wa Aviator ndio zitafuzu kupata zawadi za Mizunguko ya bure (Bashiri za bonasi au mizunguko ya bure hazitohesabika).
Zawadi za Mzunguko wa Bure
 • Mizunguko ya bure itakua inapatikana pale ambapo hali ya mvua itatokea kwenye kipengele cha game chat.
 • Mvua ambayo itakua na mizunguko ya bure itanyeesha bila mpangilio kwenye chat room, mara nyingi kila siku.
 • Kila wiki kutakua na mizunguko millioni 1 ya bure inayosubiri kutolewa kama zawadi.
 • Thamani ya mzunguko wa bashiri ya bure itakua ni kati ya 26 TSH hadi 2,600 TSH.
 • Unaweza kupata mzunguko mmoja tu wa bure kila mvua itakaponyeesha.
 • Ukishapokea mzunguko wa bure, ni lazima utumike ndani ya dakika 30.
 • Kiasi chote kilichotolewa kama mzunguko wa bashiri ya bure ni lazima kitumike chote mara moja kwenye mchezo wa Aviator.
 • Ushindi uliotokana na mzunguko wa bure utaingizwa kwenye akaunti ya wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha mzunguko wa bure.
Jumla
 • Bonasi haiwezi kutumika kwa mjumuiko na bonasi nyingine yoyote au ofa ya promosheni.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.