Basketball Weekly Free Bets Basketball Weekly Free Bets

Opt-in Sasa na upate hadi bashiri 5 za bure kila wiki unapoweka bashiri kwenye mechi za mpira wa kikapu!

Chagua kujiunga
Step 1
Opt-in
Opt-in
Step 2
Weka bashiri yenye machaguo 5+ ya mechi za mpira wa kikapu
Basketball
Step 3
Pata bashiri zako za bure kila wiki!
Bonus
Chagua kujiunga

Basketball Weekly Free Bets: Ongeza nafasi zako za kushinda na ofa yetu ya Bashiri za bure za kila wiki! Opt-in kwenye hii promosheni na upokee bashiri ya bure sawa sawa na dau lako kutumika kila unapoweka bashiri kwenye mpira wa kikapu. Pata hadi bashiri 5 za bure kila wiki!

Bashiri zitakazofuzu:

 • Bashiri ni lazima ziwe na angalau mechi 5 za mpira wa kikapu.
 • Machaguo angalau 5 ya mechi.
 • Alama za jumla zisipungue: 2.00

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Alama za jumla zisipungue: 1.50
 • Bashiri ya bure inaweza kutumika ndani ya siku 7
Muda wa Promosheni
 • Promosheni itaanza tarehe 05/02/24 00:00 CET na itaisha tarehe 19/04/24 23:59 CET.
Kufuzu kupata Bashiri ya bure
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
 • Kila bashiri ya kufuzu ni lazima iwe na alama zisizopungua 2.00.
 • Kila bashiri ya kufuzu ni lazima iwe na machaguo angalau 5.
 • Bashiri ni lazima ziwe na angalau chaguo 1 la mpira wa kikapu ili kufuzu. Unaweza kuongeza machaguo mengine ya mechi tofauti kwenye mkeka wako.
 • Bashiri zilizofuzu ni lazima ziwekwe wakati wa kipindi cha promosheni ili kufuzu kupokea bashiri ya bure.
 • Kila bashiri inaweza kufuzu kupokea bashiri moja tu ya bure.
Taarifa ya Bashiri ya bure
 • Bashiri za bure zitatolewa 5 tu kwa wiki kwa kila mchezaji.
 • Bashiri ya bure itakayotolewa itakua kiasi sawa sawa na dau lako kwa 100% hadi 5,000 TSH.
 • Bashiri ya bure itaingizwa kwenye akaunti za wachezaji wanaostahiki mara tu bashiri ya kufuzu inapowekwa.
 • Bashiri ya bure inaweza kutumika kuweka bashiri kwenye mechi yoyote.
 • Bashiri ya bure ni lazima itumike kwenye mkeka wenye alama za jumla zisizopungua 1.50.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Bashiri ya bure inaweza kutumika ndani ya siku 7 kuanzia siku iliyotolewa.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Promosheni hii haiwezi kutumika kwa pamoja na ofa au promosheni nyingine yoyote.
 • Tuna haki ya kurekebisha au kufuta promosheni hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti yetu kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikiano na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.