Bad Beat Bad Beat

Tutumie nambari ya utambulisho ya mkeka wako(BET ID) uliochanika ili kupata nafasi ya kushinda bonasi ya bure! Komenti nambari ya utambulisho ya mkeka wako(BET ID) kwenye ukurasa wetu wa Facebook, Instagram au Twitter na tutaangalia bashiri yako.

Step 1
Chagua mtandao mmoja wapo wa kijamii
Slots
Step 2
Tafuta post ya #PBBadBeat
Deposit
Step 3
Komenti nambari ya utambulisho ya mkeka wako(BET ID)
Leaderboard
Monopoly

Ni kweli ulikua huna bahati hadi ukachana mkeka wako? Kama una bahati, basi una nafasi ya kupata Bonasi ya bure!

Unachotakiwa kufanya ni kuchukua nambari ya utambulisho ya mkeka wako(BET ID) kutoka kwenye ‘Bashiri zangu’ (kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini)

Chagua moja ya mitandao ya kijamii iliyo orodheshwa hapo chini, tafuta post yenye #PBBadBeat na andika nambari ya utambulisho ya mkeka wako(BET ID).


Tutaangalia mkeka wako na kama una bahati, unaweza kupata bonasi!


Jinsi ya kutumia Bonasi:

 • Pesa yako ya bonasi inaweza kutumika kwenye michezo pekee/sports betting
 • Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi ni lazima ziwe na alama za jumla zisizopungua 1.50
 • Pesa ya bonasi ni lazima izungushwe angalau mara 3 kabla kubadilishwa kuwa pesa taslimu.
 • Bonasi inaweza kutumika ndani ya siku 7.
Vigezo & Masharti:
 • Hakuna guarantee ya kuangalia nambari za utambulisho wa mikeka (BET ID) za wachezaji wote na hakuna mchezaji ambae amepewa uhakika wa kupatiwa bonasi.
 • Kiasi cha bonasi kinatolewa kwa maamuzi yetu.
 • Mchezaji anaweza kupokea bonasi moja tu ya hii promosheni kwa muda wote.
 • Kiasi cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 3 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu.
 • Ni bashiri zilizowekwa kwenye michezo pekee (Sports Betting) ndio zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri/wagering requirements.
 • Bashiri ni lazima iwe na alama za jumla zisizopungua 1.50 ili iweze kuhesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri/wagering requirement.
 • Kima cha juu kabisa cha pesa ya bonasi kinachoweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kutoka kwenye ushindi wa bonasi ni 100x ya kiasi cha bonasi ulichopatiwa..
 • Bonasi ita expire baada ya siku 7.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki au kama mtumiaji anaweza kujulikana alikua na njia ambazo sio sahihi za kuona matokeo wakati anaweka bashiri.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kubatilisha bashiri ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Kila nambari ya utambulisho wa bashiri (Bet ID) itapata bonasi moja tu. Kama bashiri yako ilishapata bonasi ya promosheni nyingine, hutopata bonasi ya ofa nyingine yoyote katika bashiri hio hio moja.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.