Goals Giveaway Goals Giveaway

Pata zaidi unapoweka bashiri kwenye mechi za Kufuzu CAF World Cup. Kwa kila bashiri 10 utakazoziweka, utapata Bashiri ya bure ya 10,000 TSH!

Step 1
Nenda kwenye mechi za Kufuzu CAF World Cup
Bonus
Step 2
Weka bashiri 10
Cash Out
Step 3
Pata bashiri yako ya bure!
Cash Out

Kila utakapoweka bashiri 10 kwa dau la angalau 10,000 TSH kwa kila bashiri kwenye mechi za kufuzu CAF World Cup kuanzia tarehe 13/11/23 – 21/11/23, utazawadiwa bashiri ya bure ya 10,000 TSH. Endelea kuweka bashiri na utapata Bashiri za bure bila kikomo hadi tarehe 21/11/23. Kadri unavyoweka bashiri nyingi zaidi, ndivyo unavyopata Bashiri za bure nyingi zaidi!

Bashiri zilizofuzu zitaendelea kujilimbikiza kwa muda wote wa mashindano, hivyo kama utaweka bashiri 9 zilizofuzu siku ya kwanza, siku inayofuata utahitajika kuweka bashiri 1 tu ili kufuzu kupata Bashiri ya bure!

Bashiri Zitakazofuzu:

 • Bashiri angalau: 10
 • Dau la angalau: 10,000 TSH kwa kila bashiri
 • Alama angalau: 1.20 kwa kila bashiri
 • Bashiri ni lazima iwe na chaguo angalau moja la mechi za Kufuzu CAF World Cup

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Alama za jumla zisipungue: 1.50
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni
 • Promosheni itaanza tarehe 13/11/23 00:00 na itaisha tarehe 21/11/23 23:59.
Kufuzu Bashiri ya Bure
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu kupata Bashiri ya bure. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
 • Ili kufuzu ni lazima mchezaji aweke angalau bashiri kumi na kila bashiri iwe na dau la angalau 10,000 TSH.
 • Kila bashiri iliyofuzu ni lazima iwe na alama zisizopungua 1.20.
 • Bashiri ni lazima ziwe na angalau chaguo moja la chaguo kutoka mechi za Kufuzu CAF World Cup zinazocheza kati ya 13/11/23 – 21/11/23.
 • Ni bashiri zilizoshinda au kupoteza pekee ndizo zitafuzu kwenye promosheni; Bashiri zilizo batilishwa/voided, zilizokua cancelled, au kuwa cashed out hazitofuzu.
 • Bashiri zilizofuzu ni lazima zikamilike kati ya tarehe 13/11/23 00:00 – 21/11/23 23:59 ili kufuzu kupata Bashiri ya Bure.
 • Bashiri zilizofuzu zitakua zinajilimbikiza kwa muda wote wa mashindano na wachezaji watapewa zawadi ya bashiri ya bure kwa kila bashiri 10 zilizowekwa kati ya tarehe 13/11/23 00:00 – 21/11/23 23:59.
Taarifa ya Bashiri ya Bure
 • Bashiri ya bure itatolewa kwa kila bashiri 10 zilizofuzu na kukamilika.
 • Bashiri za bure zitawekwa kwenye akaunti za wachezaji siku inayofuata kulingana na bashiri zote zilizofuzu za siku iliyopita.
 • Kiwango cha Bashiri ya Bure kitakachotolewa kwa kila bashiri ni 10,000 TSH.
 • Bashiri za bure zinaweza kutumika kuweka bashiri zote za michezo.
 • Bashiri za bure lazima zitumike kuweka bashiri zenye alama za jumla angalau 1.50.
 • Bashiri za bure haziwezi kuwa cashed out na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Promosheni hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote au promosheni.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.