Match Bet Get Match Bet Get

Opt-in Sasa na upate Bashiri ya bure sawa sawa kwa 100% na dau lako unapoweka bashiri yenye machaguo ya kijenga bashiri!

Chagua kujiunga
Step 1
Opt-in
Football
Step 2
Jenga bashiri yako kwenye mechi 3+
Bonus
Step 3
Pata bashiri ya bure sawa sawa na dau lako!
Bonus
Chagua kujiunga

Tengeneza bashiri yako utakavyo kwa kutumia Kijenga bashiri na upate bashiri za bure hadi 3 kwa wiki! Ni rahisi, weka bashiri yenye machaguo ya kijenga bashiri angalau 3 au zaidi yenye alama angalau 1.50 kwa kila chaguo. Utapokea bashiri ya bure sawa sawa kwa 100% na fdau lako papo hapo ya hadi 2,500 TSH.

Bashiri zitakazofuzu:

  • Bashiri ni lazima ziwekwe kwa kutumia Kijenga Bashiri
  • Angalau machaguo 3 ya kijenga bashiri kwenye mkeka mmoja
  • Alama angalau: 1.50 kwa kila chaguo

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

  • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
  • Alama za jumla zisipungue: 1.50
  • Bashiri ya bure inaweza kutumika ndani ya siku 7
Muda wa Promosheni:
  • Promosheni itaanza tarehe 16/02/24 18:00 CET na itaisha tarehe 31/05/24 23:59 CET.
Kufuzu kupata Bashiri ya bure:
  • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
  • Angalau machaguo 3 ya kijenga bashiri kwenye mkeka mmoja.
  • Bashiri ya kufuzu ni lazima iwe na alama zisizopungua 1.50 kwa kila chaguo.
  • Bashiri zilizofuzu ni lazima ziwekwe wakati wa kipindi cha promosheni ili kufuzu kupokea bashiri ya bure.
Taarifa ya Bashiri ya bure:
  • Bashiri ya bure itaingizwa kwenye akaunti za wachezaji wanaostahiki mara tu bashiri ya kufuzu inapowekwa au ndani ya masaa 48 kama kuna tatizo la kiufundi.
  • Kima cha juu cha idadi ya Bashiri za bure zinaweza kutolewakwa wiki ni 3 kupitia hii promosheni.
  • Kiasi cha bashiri ya bure kitakachotolewa kitakua ni sawa sawa kwa 100% na dau la bashiri ya kufuzu hadi kima cha juu cha 2,500 TSH.
  • Bashiri ya bure inaweza kutumika kuweka bashiri kwenye mechi yoyote.
  • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
  • Bashiri ya bure inaweza kutumika ndani ya siku 7 kuanzia siku iliyotolewa.
  • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
  • Promosheni hii haiwezi kutumika kwa pamoja na ofa au promosheni nyingine yoyote.
  • Tuna haki ya kurekebisha au kufuta promosheni hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
  • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti yetu kuzingatiwa.
Jumla:
  • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
  • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikiano na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.