Bet Builder Free Bet Drop Bet Builder Free Bet Drop

Umejisajili kabla ya 19/04/24? Hongera! Bashiri ya bure ya Kijenga Bashiri ni yako!

Step 1
Jisajili kabla ya tarehe 19/04/24
Football
Step 2
Pata Bashiri ya Bure
Bonus
Step 3
Tumia Bashiri yako ya bure kwenye Kijenga Bashiri yoyote
Bonus

Kama umejisajili kabla ya tarehe 19/04/24, tumekupatia Bashiri ya bure kwenye akaunti yako! Tumia Bashiri yako ya bure kuweka bashiri kwenye mechi yoyote yenye Kijenga Bashiri!

Jinsi ya Kutumia Kijenga Bashiri

 • Nenda kwenye Kijenga Bashiri: Tazama kipengele cha Kijenga Bashiri (kwenye simu ya mkononi kipo chini ya screen yako).
 • Chagua mechi yako: Chagua mechi unayotaka kuibashiria.
 • Anza Kujenga: Tengeneza bashiri yako (Machaguo angalau 2). Bofya ‘Ongeza’ kama utahitaji kuongeza.
 • Chagua Bashiri yako ya bure: Nenda kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri ya bure’ kisha chagua Bashiri yako ya bure ya Kijenga Bashiri.
 • Weka bashiri yako!
 • Bashiri za bure zita expire ndani ya siku 7 kuanzia siku iliyotolewa.
Muda wa Promosheni
 • Bashiri ya Bure inaweza kutumika hadi tarehe 02/05/24 23:59.
Taarifa ya Bashiri ya Bure
 • Bashiri ya bure itatolewa moja tu kwa kila mchezaji. Baadhi ya wachezaji hawatopokea ofa hii.
 • Ni lazima itumike kwenye Kijenga Bashiri.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.