Bet Builder Free Bet Bet Builder Free Bet

Pata bashiri ya bure yenye thamani sawa sawa kwa 100% na dau lako unapoweka bashiri kwa kutumia Kijenga Bashiri yenye alama 10.00+!

Chagua kujiunga
Step 1
Opt-in
Football
Step 2
Nenda kwenye Kijenga Bashiri & Jenga Bashiri yako
Bonus
Step 3
Pata bashiri yako ya bure!
Bonus
Chagua kujiunga

Jenga bashiri yako utakavyo na Kijenga Bashiri chetu na utapata Bashiri ya Bure kila siku kuendelea kutumia kwenye Kijenga Bashiri. Kila siku, unapoweka bashiri kwa kutumia Kijenga Bashiri yenye alama 10.00 au zaidi, utapata bashiri ya bure yenye thamani sawa sawa kwa 100% na dau lako hadi 2,500 TSH!

Bashiri Zitakazofuzu:

 • Bashiri ni lazima ziwekwe kwa kutumia Kijenga Bashiri
 • Alama za jumla zisipungue: 10.00

Jinsi ya Kutumia Kijenga Bashiri:

 • Nenda kwenye ‘Kijenga Bashiri’
 • Chagua mechi yako
 • Anza kujenga bashiri yako (Angalau machaguo 2)
 • Nenda kwenye mkeka wako na kisha weka bashiri yako ya Kijenga bashiri!

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Bashiri ya bure ni lazima itumike kwenye Kijenga Bashiri
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni
 • Promosheni itaanza tarehe 22/08/23 00:00 na itaisha tarehe 30/09/23 23:59.
Kufuzu Bashiri ya Bure
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu kupata bashiri ya bure. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
 • Bashiri ni lazima ziwe za Kijenga bashiri.
 • Bashiri ya kufuzu ni lazima iwe na alama za jumla zisizopungua 10.00.
 • Bashiri ya kufuzu ni lazima iwe imewekwa ndani ya muda wa promosheni ili kufuzu kupata bashiri ya bure.
Taarifa ya Bashiri ya Bure
 • Bashiri ya bure itatolewa moja tu kwa kila mchezaji kwa siku kwa ajili ya hii ofa.
 • Bashiri ya bure itaingizwa kwenye akaunti za wateja waliofuzu mara baada ya kukamilisha kuweka bashiri au ndani ya masaa 48 kama kutakua na tatizo la ufundi.
 • Utapata bashiri ya bure kutokana na kijenga bashiri cha kwanza kilichowekwa kwa kila siku.
 • Kiasi cha bashiri ya bure kitakacho tolewa kitakua sawa sawa kwa 100% na thamani ya dau la bashiri ya kufuzu uliyoiweka hadi kima cha juu cha 2,500 TSH.
 • Bashiri za bure ni lazima zitumike kwenye bashiri za Kijenga bashiri.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Promosheni hii haiwezi kujumuishwa na ofa nyingine au promosheni zinazoendelea wakati huo huo.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.