Bet Insurance Bet Insurance

Hakuna kitu kibaya kama kuchana mkeka wote kwasababu ya mechi 1… Ndio maana ukipoteza mechi 1, tutaenda kukulipa hadi mara 10x ya dau lako! Bet on 10 selections or more, with a minimum of 10 selections that have odds of 1.20 or more and get up to 2,500,000 TSH as a Free Bet

Step 1
Weka bashiri kwenye Michezo
Football
Step 2
Umepoteza mechi moja?
Bonus
Step 3
Pata hadi mara 10x ya dau lako!
Bonus

Malipo ya bima ya mkeka kama utapoteza mechi 1:

Machaguo 10-14 yaliyofuzu = mara 1x ya dau lako kama Bashiri ya Bure
Machaguo 15-19 yaliyofuzu = mara 2x ya dau lako kama Bashiri ya Bure
Machaguo 20-24 yaliyofuzu = mara 3x ya dau lako kama Bashiri ya Bure
Machaguo 25-29 yaliyofuzu = mara 4x ya dau lako kama Bashiri ya Bure
Machaguo 30-34 yaliyofuzu = mara 5x ya dau lako kama Bashiri ya Bure
Machaguo 35-39 yaliyofuzu = mara 6x ya dau lako kama Bashiri ya Bure
Machaguo 40-44 yaliyofuzu = mara 7x ya dau lako kama Bashiri ya Bure
Machaguo 45-49 yaliyofuzu = mara 8x ya dau lako kama Bashiri ya Bure
Machaguo 50 yaliyofuzu = mara 10x ya dau lako kama Bashiri ya Bure

Machaguo yatakayofuzu ni lazima yawe na alama angalau 1.20

Bashiri za bure zitawekwa pale ambapo machaguo yote kwenye mkeka yatakua yamekamilika.

Jinsi ya kutumia Bashiri ya Bure:

 • Alama za jumla zisipungue: 1.50
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri zote ni lazima ziwe na machaguo angalau 10 yenye alama kuanzia 1.20 au zaidi. Kama mechi itaghairishwa au kutocheza kabisa basi alama za chaguo hilo zitatolewa kwenye mkeka wako na hazitohesabika kwenye promosheni hii..
 • Bashiri za kabla ya mechi, mubashara na bashiri zote mchanganyiko, zitahesabika kwenye promosheni hii.
 • Ni bashiri zenye machaguo mengi pekee ndizo zitahesabika kwenye promosheni hii.
 • Bashiri zilizoghairishwa/Cashed-out hazitohesabika kwenye promosheni hii..
 • Bashiri za bure zitatolewa pale ambapo machaguo yote kwenye mkeka yatakua yamekamilika.
 • Bashiri za bure zitatolewa kwenye mikeka yenye:
  Machaguo 10-14 yenye alama 1.20 au zaidi, na angalau machaguo 9 yaliyoshinda na chaguo 1 tu lililopoteza
  Machaguo 15-19 yenye alama 1.20 au zaidi, na angalau machaguo 14 yaliyoshinda na chaguo 1 tu lililopoteza
  Machaguo 20-24 yenye alama 1.20 au zaidi, na angalau machaguo 19 yaliyoshinda na chaguo 1 tu lililopoteza
  Machaguo 25-29 yenye alama 1.20 au zaidi, na angalau machaguo 24 yaliyoshinda na chaguo 1 tu lililopotezan
  Machaguo 30-34 yenye alama 1.20 au zaidi, na angalau machaguo 29 yaliyoshinda na chaguo 1 tu lililopoteza
  Machaguo 35-39 yenye alama 1.20 au zaidi, na angalau machaguo 34 yaliyoshinda na chaguo 1 tu lililopoteza
  Machaguo 40-44 yenye alama 1.20 au zaidi, na angalau machaguo 39 yaliyoshinda na chaguo 1 tu lililopoteza
  Machaguo 45-49 yenye alama 1.20 au zaidi, na angalau machaguo 44 yaliyoshinda na chaguo 1 tu lililopoteza
  Machaguo 50 yenye alama 1.20 au zaidi, na machaguo 49 yaliyoshinda na chaguo 1 tu lililopoteza
 • Bashiri za bure ni lazima ziwe na alama za jumla kuanzia 1.50 au zaidi.
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7 kuanzia siku uliyopewa. Bashiri yoyote ya bure ambayo haitotumika ndani ya siku 7 ita expire na mchezaji hatokua na uwezo tena wa kuitumia.
 • Kima cha juu kabisa kitakachotolewa kama bashiri ya bure ni 2,500,000 TSH kwa kila mkeka. Majaribio yoyote ya kuweka bashiri zaidi ya moja kuzidi kiasi hiki inaweza kukupelekea kupoteza bashiri zote za bure na kutolewa kwenye promosheni zote na ofa zijazo.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kubatilisha bashiri, au kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.