Fazi Cash Frenzy Fazi Cash Frenzy

Ni wakati wa Bonus Drop katika Premier Vegas! Tuna michezo ya Mines ambayo unaweza kucheza na kushinda sehemu ya 625,000 TSH. Cheza angalau 2,500 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo au yote kwa pamoja ya Mines inayoshiriki kujishindia zawadi ya Bonus Drop.

PLAY NOW
Step 1
Cheza mchezo unaoshiriki
Slots
Step 2
Weka bashiri zako
Deposit
Step 3
Shinda moja ya zawadi za bonasi!
Leaderboard
PLAY NOW

Ni muda wa Bonus Drop! Jaribu moja ya michezo yetu inayoshiriki na utapata nafasi ya kujishindia sehemu ya 625,000 TSH in bonus prizes, ama zawadi ya bonasi, unaweza kuwa mmoja wa wachezaji 50 wenye bahati kujishindia zawadi ya bonasi. Cheza angalau 2,500 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo au yote kwa pamoja inayoshiriki iliyotajwa hapo chini ili kupata nafasi ya kushinda.

Ofa ya Bonus Drop time itaanza kuanzia Jumatatu tarehe 22 Mei hadi Jumapili tarehe 28 Mei 2023.

Chagua moja au cheza michezo yote ifuatayo kwa pamoja:Spribe: Dice, Goal, Hilo, Mines, Hacksaw: MINE, ESAGaming: Goal Mine, Basketball Mine, Goal Mines World, Gaming Corps: Coin Miner, Lucky O’Miner, Six or Out!, Penalty Champion, Lucky Yuanbao, Raging Zeus Mines, Bank or Bust, 1×2 gaming: Coin Vault, Evoplay: Courier Sweeper, ili kuingia moja kwa moja kwenye ofa – lakini fanya upesi, una siku 7 za kushinda.

Muda wa Promosheni
  • Promosheni ya Bonus Drop time itaanza kuanzia Jumatatu tarehe 22 Mei 00:01 UTC hadi tarehe 28 Mei 2023 23:59 UTC 2023.
  • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
  • Bashiri za pesa taslimu zinatakiwa kuwekwa kwenye moja ya michezo ifuatayo:
    Spribe: Dice, Goal, Hilo, Mines;
    Hacksaw: MINE;
    ESAGaming: Goal Mine, Basketball, Goal Mines World;
    Gaming Corps: Coin Miner, Lucky O’Miner, Six or Out!, Penalty Champion, Lucky Yuanbao, Raging Zeus Mines, Bank or Bust;
    1×2 gaming: Coin Vault;
    Evoplay: Courier Sweeper.
  • Wachezaji ni lazima waweke bashiri ya angalau 2,500 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo inayoshiriki ili kuingia kwenye droo ya kujishindia moja ya zawadi za bonasi. Dau litakua linajilimbikiza ndani ya muda wote wa promosheni.
  • Ni bashiri za pesa taslimu pekee kwenye michezo 17 iliyofuzu ndio zitahesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Bonus Prizes
  • Wachezaji 50 watakaofuzu watachaguliwa bila mpangilio kujishindia zawadi ya bonasi, kama ilivyoelezewa hapo chini, kutumika kwenye michezo 16 inayoshiriki siku ya Jumatatu tarehe 29 Mei.
  • Kuna zawadi 50 za 12,500 TSH bila mpangilio ndani ya siku 7 zijazo
  • Zawadi ya bonasi itawekwa kwenye akaunti yako ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa droo.li>
  • Kiwango cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 30 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaan kabla ya kuweza kuitoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
  • Ni michezo 16 tu inayoshiriki itachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri,na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu cha dau kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambao utachangia kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi ni 12,500 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi 12,500 TSH hakitohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
  • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
  • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatatimizwa ni mara 25 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
  • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
  • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe kwenye michezo ya pesa halisi. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
  • Wachezaji wanaweza kushinda zawadi moja tu ya bonasi ndani ya muda wa promosheni.
Jumla
  • Hii ni ofa ya kipekee kwa wachezaji wa Premier Vegas.
  • Unapoweka bashiri, salio litakatwa kutoka kwenye pesa halisi iliyopo kwanza na baada ya hapo itakatwa kwenye salio la bonasi. Na bonasi inapokua activated bashiri zote zitakazofuzu zitakazokatwa kwenye salio la pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
  • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kutumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki. Mifano mingine ya michezo ya kubahatisha isiyo ya haki lakini sio lazima iwe ni kuweka bashiri sawa ya pesa kwenye michezo ya Roulette, Sic Bo au Craps, kuweka bashiri moja ambazo zipo sawa au zimezidi 20% au Zaidi ya kiwango cha pesa ya bonasi ulichopokea kabla ya kutimiza masharti ya ubashiri.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.