Booming Flaming Cash Drops Booming Flaming Cash Drops

Jingle all msimu huu wa sikukuu kujishindia sehemu ya 600,000 TSH kwenye promosheni yetu ya Festive Cash Drops! Ni rahisi, zungusha kwa dau lolote kwenye moja ya mchezo wetu wowote wa Booming unaoshiriki na utaingia moja kwa moja kwenye droo yetu ya bila mpangilio kujishindia moja ya zawadi 20 za pesa taslimu!

CHEZA SASA
Step 1
Chagua mchezo
Slots
Step 2
Anza kuzungusha
Deposit
Step 3
Shinda zawadi ya Cash Drop!
Leaderboard
CHEZA SASA

Ni chereko tu hii Disemba hapa Premier Vegas na reels zinatoa ushindi wa Pesa taslimu! Tuna machaguo ya michezo ya kufurahisha ya Booming ambayo unaweza kucheza na kushinda sehemu ya 600,000 TSH. Ni rahisi, zungusha kwa dau lolote kwenye moja ya michezo yetu ya Booming inayoshiriki na utaingia moja kwa moja kwenye droo ya bila mpangilio kujishindia moja ya zawadi 20 za pesa taslimu!

Ofa ya Festive Cash Drops itaanza Jumamosi tarehe 16 Disemba hadi Jumatano tarehe 20 Disemba 2023.

Mzunguko wowote kwenye michezo ya Booming inayoshiriki inaweza kukupatia zawadi ya pesa taslimu ya bila mpangilio, kuna zawadi 20 za pesa taslimu! Kadri unavyozidi kucheza, ndivyo unavyozidi kujiongezea nafasi ya kushinda pesa taslimu!

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Festive Cash Drops itaanza kuanzia Jumamosi tarehe 16 Disemba 2023 00:00 UTC hadi Jumatano tarehe 20 Disemba 2023 23:59 UTC.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo ifuatayo ya Booming:
  1. Burning Classics
  2. Super Duper
  3. The Wild Wings of Phoenix
  4. Gamblelicious Hold and Win
  5. Buffalo Hold and Win
  6. Flaming Chilies
  7. Big Apple Wins
  8. Holly Jolly Bonanza
  9. Burning Classics go Wild
  10. TNT Bonanza
 • Wachezaji ni lazima waweke bashiri angalau moja kwa dau lolote kwenye moja ya michezo iliyochaguliwa ili kuingia kwenye droo ya kushinda moja ya zawadi za cash drops. Dau litakua linajilimbikiza kwa kipindi chote cha promosheni.
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu zilizowekwa kwenye michezo iliyofuzu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Cash drop
 • Kuna zawadi 20 za pesa taslimu zitakazotolewa bila mpangilio za 30,000 TSH
 • Zawadi za Cash Drops zitalipwa ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa droo.
 • Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi ya jumla ipo kwenye mfumo wa USD na inaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
 • Ofa hii ni ya kipekee kwa wachezaji wa Premier Vegas.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi ya pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.