CasinoGate Tournament CasinoGate Tournament

Mashindano kwa ajili ya wachezaji wa Premier Vegas pekee! Shinda sehemu ya 700,000 TSH zawadi za pesa taslimu kwenye Mashindano yetu ya CasinoGate! Tuna machaguo ya michezo maarufu zaidi kutoka CasinoGate, cheza mchezo wako pendwa kukusanya alama kwenye ubao wa washindi, ikiwa na zawadi 15 za pesa taslimu kutolewa, na unaweza kushinda zawadi ya pesa taslimu ya hadi 180,000 TSH!

Step 1
Cheza Mchezo unaoshiriki
Casino
Step 2
Zungusha angalau 2,500 TSH kuanza kupanda kwenye ubao wa washindi!
Slots
Step 3
Shinda sehemu ya zawadi ya jumla!
Money Bag

Unaweza kushinda sehemu ya 700,000 TSH pesa taslimu kwenye Mashindano ya CasinoGate Tournament! Tuna zawadi 15 za pesa taslimu ikiwemo zawadi ya amshindi wa kwanza ya 180,000 TSH. Ili kushiriki, chagua tu moja ya michezo ya CasinoGate games, iliyopendekezwa, zungusha angalau 250 TSH na kila ushindi utakuletea alama za kupanda kwenye ubao wa washindi na kushinda moja kati ya zawadi za pesa taslimu!

Mashindano ya CasinoGate yataanza Jumanne tarehe 19 Machi hadi Jumatatu tarehe 27 Machi 2024.

Jinsi ya Kushinda:
Zungusha angalau 250 TSH kwenye mchezo wowote unaoshiriki. Kila ushindi utakupatia alama kulingana na kizidishi cha ushindi ( kwa mfano, kama utaweka bashiri ya 250 TSH na ukashinda 2,500 TSH, utazawadiwa alama 500 ). Alama utakazozipata zitajumlishwa ndani ya kipindi chote cha kila mashindano. Unavyokusanya alama nyingi zaidi, ndivyo unavyozidi kupanda juu zaidi kwenye ubao wa washindi. Wachezaji 15 wa kwanza kwenye ubao wa washindi watashinda sehemu ya zawadi ya 700,000 TSH!


Zawadi ya Jumla
Kuanzia nafasi ya Hadi nafasi ya Zawadi Jumla
1 1 180,000 TSH 180,000 TSH
2 2 100,000 TSH 100,000 TSH
3 3 60,000 TSH 60,000 TSH
4 15 30,000 TSH 360,000 TSH
JUMLA 700,000 TSH


Zawadi ya jumla ni 700,000 TSH Pesa taslimu ikiwa na zawadi kwa washindi 15. Ni rahisi, chagua moja ya michezo ya CasinoGate games iliyoorodheshwa hapo chini, zungusha angalau 250 TSH kupata nafasi ya kujishindia zawadi ya pesa taslimu:

  1. The Money Claw
  2. Fortune Medallion
  3. Febre do Carnaval
  4. Motomania
  5. Double Double
  6. Sports Fever Basketball

Cheza mchezo wowote

Muda wa Promosheni
  • Promosheni ya CasinoGate Tournament itaanza kuanzia JUmanne tarehe 19 Machi 2024 00:00 UTC hadi Jumatatu tarehe 27 Machi 2024 23:59 UTC.
  • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Mashindano
  • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo inayoshiriki kama ilivyo orodheshwa kwenye taarifa ya Mashindano hapo juu.
  • Kima cha chini cha dau la kufuzu kwa kila bashiri ili kushiriki kwenye mashindano ni 250 TSH. Kama kima hiki cha chini cha bashiri hakipatikani, itahesabika kwenye kiasi kikubwa kinachofuata kinachopatikana kwenye mchezo.
  • Kushiriki katika mashindano, utalazimika ku opt in ndani ya michezo inayoshiriki, ama kwa kubonyeza chaguo la opt-in ndani ya mchezo au utaingia moja kwa moja unapozungusha spin kwenye mchezo wowote inayoshiriki na kwa dau lililofuzu.
  • Ni bashiri za pesa taslimu tu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
  • Kila ushindi utakupatia alama zinazotegemea kizidishi cha ushindi ambacho kitatajwa kwenye taarifa za mashindano hapo juu : mahesabu yatakua kama ifuatavyo: kwa kila 500 TSH utakayoshinda utapata alama 20 (kwa mfano, ikiwa unaweka dau la 250 TSH na kushinda 2,500 TSH, utapewa alama 500). Alama ulizopata hujumlishwa kipindi chote cha Mashindano.
  • Kila mchezaji atapewa utambulisho binafsi wa mashindano kwa ajili ya Ubao wa washindi.
  • Ubao wa washindi unasahishwa kwa muda halisi na wachezaji wanaweza kuona ubao wa washindi wa muda halisi wakati wowote wanapocheza mchezo iliyofuzu kwa hiari yao, isipokuwa kama imeelezwa vinginevyo kwenye Maelezo ya Mashindano hapo juu.
  • Ubao wa washindi utajumuisha wachezaji waliokusanya idadi kubwa zaidi ya alama wakati wa mashindano.
  • Ikiwa wachezaji wawili au zaidi watamaliza kwenye nafasi sawa kwenye ubao wa washindi, mchezaji ambaye alifikia alama wa kwanza atapata zawadi kubwa zaidi.
  • Kiasi cha zawadi za pesa taslimu kinachoonekana kwenye mchezo kitakua kwenye mfumo wa sarafu unayotumia kuchezea.
  • Ni mizunguko iliyokamilika pekee ndio itafuzu kuingia kwenye Ubao wa washindi.
  • Zawadi ya jumla ni 700,000 TSH Pesa Taslimu ikiwa na washindi 15.
  • Zawadi za Pesa taslimu zitalipwa ndani ya masaa 72 kwenye akaunti za washindi baada ya kukamilika na kupitishwa kwa matokeo ya mashindano.
  • Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada/0x wagering na zinaweza kutolewa papo hapo.
  • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye haya mashindano vipo kwenye mfumo wa USD na vinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
  • Ofa hii ni kwa wachezaji wa Premier Vegas pekee.
  • Kiwango cha zawadi kipo kwenye mfumo wa USD na kinaweza kuathiriwa na mfumo wa ubadilishaji safaru.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi ya pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.