Crash Cash Tournament Crash Cash Tournament

Jiunge kwenye Mashindano ya Crash for Cash Tournaments! Kuanzia Jumanne hadi Jumatatu usikose Mashindano yetu yanayoshirikisha michezo yako pendwa ya Virtual Crash ambapo utakuwa na nafasi ya kushinda sehemu ya zawadi ya 1,300,000 TSH. Kushiriki, ni rahisi, chagua moja ya michezo inayoshiriki, zungusha angalau 260 TSH na kila ushindi utakupatia alama za kupanda kwenye ubao wa washindi na kujishindia moja ya zawadi 25 za pesa taslimu!

Step 1
Cheza Mchezo unaoshiriki
Casino
Step 2
Zungusha angalau 260 TSH kuanza kupanda kwenye ubao wa washindi!
Slots
Step 3
Shinda sehemu ya zawadi ya jumla!
Money Bag

Jiunge kwenye Mashindano ya Crash for Cash Tournaments! Kuanzia Jumanne hadi Jumatatu usikose Mashindano yetu yanayoshirikisha michezo yako pendwa ya Virtual Crash ambapo utakuwa na nafasi ya kushinda sehemu ya zawadi ya 1,300,000 TSH. Ili kushiriki, chagua tu moja ya michezo ya Virtual Crash games, iliyopendekezwa, zungusha angalau 260 TSH na kila ushindi utakuletea alama za kupanda kwenye ubao wa washindi na kushinda moja kati ya zawadi 25 za pesa taslimu!

Promosheni ya Crash for Cash Tournaments itaanza Jumanne tarehe 2 Aprili hadi Jumatatu tarehe 8 Aprili 2024.

Jinsi ya Kushinda:
Zungusha angalau 260 TSH kwenye mchezo wowote unaoshiriki. Kila ushindi utakupatia alama kulingana na kizidishi cha ushindi ( kwa mfano, kama utaweka bashiri ya 2,600 TSH na ukashinda 26,000 TSH, utazawadiwa alama 10 ). Alama utakazozipata zitajumlishwa ndani ya kipindi chote cha kila mashindano. Unavyokusanya alama nyingi zaidi, ndivyo unavyozidi kupanda juu zaidi kwenye ubao wa washindi. Wachezaji 25 wa kwanza kwenye ubao wa washindi watashinda sehemu ya zawadi ya 1,300,000 TSH!


Zawadi ya Jumla
Kuanzia nafasi ya Hadi nafasi ya Zawadi Jumla
1 1 250,000 TSH 250,000 TSH
2 2 150,000 TSH 150,000 TSH
3 3 100,000 TSH 100,000 TSH
4 10 50,000 TSH 350,000 TSH
11 25 30,000 TSH 450,000 TSH
JUMLA 1,300,000 TSH


Zawadi ya jumla ni 1,300,000 TSH Pesa taslimu kwa washindi 25. Ni rahisi, chagua moja ya michezo ya Virtual Crash iliyoorodheshwa hapo chini, zungusha angalau 260 TSH kupata nafasi ya kujishindia zawadi ya pesa taslimu:

  1. Navigator – Solidicon
  2. Fishinator – Solidicon
  3. Swiminator – Solidicon
  4. JetX – SmartSoft
  5. Premier Football X – SmartSoft
  6. Crash DuelX – SmartSoft
  7. NinjaCrash – Galaxsys
  8. Cash Show – Galaxsys
  9. Coin Flip – Galaxsys

Promotion Period
  • Promosheni ya Crash for Cash Tournaments itaanza Jumanne tarehe 2 Aprili 2024 00:00 UTC hadi Jumatatu tarehe 8 Aprili 2024 23:59 UTC.
  • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Mashindano
  • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo inayoshiriki kama ilivyo orodheshwa kwenye taarifa ya Mashindano hapo juu.
  • Kima cha chini cha dau la kufuzu kwa kila bashiri ili kushiriki kwenye mashindano ni 260 TSH. Kama kima hiki cha chini cha bashiri hakipatikani, itahesabika kwenye kiasi kikubwa kinachofuata kinachopatikana kwenye mchezo.
  • Kushiriki katika mashindano, utalazimika ku opt in ndani ya michezo inayoshiriki, ama kwa kubonyeza chaguo la opt-in ndani ya mchezo au utaingia moja kwa moja unapozungusha spin kwenye mchezo wowote inayoshiriki na kwa dau lililofuzu.
  • Ni bashiri za pesa taslimu tu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
  • Kila ushindi utakupatia alama zinazotegemea kizidishi cha ushindi ambacho kitatajwa kwenye taarifa za mashindano hapo juu : mahesabu yatakua kama ifuatavyo: kwa kila 2,600 TSH utakayoshinda utapata alama 1 (kwa mfano, ikiwa unaweka dau la 2,600 TSH na kushinda 26,000 TSH, utapewa alama 10). Alama ulizopata hujumlishwa kipindi chote cha Mashindano.
  • Kila mchezaji atapewa utambulisho binafsi wa mashindano kwa ajili ya Ubao wa washindi.
  • Ubao wa washindi unasahishwa kwa muda halisi na wachezaji wanaweza kuona ubao wa washindi wa muda halisi wakati wowote wanapocheza mchezo iliyofuzu kwa hiari yao, isipokuwa kama imeelezwa vinginevyo kwenye Maelezo ya Mashindano hapo juu.
  • Ubao wa washindi utajumuisha wachezaji waliokusanya idadi kubwa zaidi ya alama wakati wa mashindano.
  • Ikiwa wachezaji wawili au zaidi watamaliza kwenye nafasi sawa kwenye ubao wa washindi, mchezaji ambaye alifikia alama wa kwanza atapata zawadi kubwa zaidi.
  • Kiasi cha zawadi za pesa taslimu kinachoonekana kwenye mchezo kitakua kwenye mfumo wa sarafu unayotumia kuchezea.
  • Ni mizunguko iliyokamilika pekee ndio itafuzu kuingia kwenye Ubao wa washindi.
  • Zawadi ya jumla ni 1,300,000 TSH Pesa Taslimu kwa washindi 25.
  • Zawadi za Pesa taslimu zitalipwa ndani ya masaa 72 kwenye akaunti za washindi baada ya kukamilika na kupitishwa kwa matokeo ya mashindano.
  • Zawadi za pesa taslimu hazitokua na masharti yoyote ya ziada/0x wagering na zinaweza kutolewa papo hapo.
  • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye haya mashindano vipo kwenye mfumo wa USD na inaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
  • Ofa hii ni kwa wachezaji wa Premier Vegas pekee.
  • Kiwango cha zawadi kipo kwenye mfumo wa USD na kinaweza kuathiriwa na mfumo wa ubadilishaji safaru.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi ya pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.