Mega Bonus Mega Bonus

Premier Bet tunajivunia kuwapatia jezi 3 zilizosainiwa na balozi wetu na legend wa mchezo wa mpira wa miguu Didier Drogba! Shinda tiketi yako kuingia kwenye Drogba Signed Shirt Raffle kwa kuweka bashiri 11 zenye machaguo 11 au zaidi kati ya tarehe 22/03/23 – 28/03/23

Step 1
Weka bashiri 11 zenye machaguo 11+
Football
Step 2
Shinda tiketi yako kuingia kwenye raffle
Bonus
Step 3
Angalia matokeo ya Raffle tarehe 29 Machi!
Bonus

Tunatoa zawadi ya jezi 3 zilizosainiwa na Drogba siku ya tarehe 29 Machi!

Weka bashiri 11, kila bashiri iwe na machaguo 11 au zaidi na dau lisilopungua 480 TSH kujishindia tiketi yako ya kuingia kwenye raffle.


Bashiri Zitakazofuzu


Bashiri zote 11 ni lazima ziwekwe kati ya tarehe 22/03/23 – 28/03/23

Kima cha chini cha dau katika kila bashiri ni: 480 TSH

Kima cha chini cha machaguo kwa kila bashiri ni: 11

Nafasi ya kushinda kulingana na tiketi ambazo zimeshatolewa hadi sasa ni: 3 kati ya 86 (3.49%)

Bashiri zitakazofuzu
  • Bashiri zote ni lazima ziwekwe kati ya 22/03/23 00:00 hadi 28/03/23 23:59
  • Bashiri ni lazima ziwe na dau lisilopungua 480 TSH ili kufuzu.
  • Bashiri ni lazima ziwe na machaguo yasiyopungua 11 ili kufuzu.
  • Bashiri zilizoghairishwa/Cashed-out hazitofuzu kwenye promosheni hii.
  • Bashiri hewa/Voided au bashiri zilizokua cancelled hazitofuzu kwenye hii promosheni.
Jumla
  • Tuna haki ya kubatilisha ushindi, au kutolipa zawadi ya pesa taslimu, pale ambapo sehemu ya matokeo ya alama kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi (ikiwa ni pamoja na malipo ya mchezo yasiyo sahihi) iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa heshima ya michezo yote ilioshirikishwa.
  • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
  • Tunaweza, kwa busara tukamtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.