Basketball Weekly Free Bets Basketball Weekly Free Bets

Opt-in Sasa na Upate Bashiri za bure kila siku unapoweka bashiri yenye mechi za eSoccer yenye machaguo 2+!

Chagua kujiunga
Step 1
Opt-in > Nenda eSoccer
Opt-in
Step 2
Weka bashiri yenye machaguo 2+
Basketball
Step 3
Pata bashiri yako ya bure kila siku!
Bonus
Chagua kujiunga

Ongeza nafasi zako za kushinda na ofa yetu ya Bashiri za Bure za kila siku! Opt-in katika promosheni hii na weka bashiri yenye machaguo 2+ ya mechi za eSoccer. Pata Bashiri za bure sawa sawa kwa 100% hadi 2,000 TSH ya dau lako pale bashiri yako inapokamilika!

Bashiri zitakazofuzu:

  • Machaguo angalau 2 kwenye eSoccer.
  • Alama angalau: 1.50 kwa kila chaguo

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

  • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
  • Alama za jumla zisipungue: 1.50
  • Bashiri ya bure inaweza kutumika ndani ya siku 7
Muda wa Promosheni
  • Promosheni hii itaanza tarehe 18/03/24 00:00 CET hadi 29/03/24 23:59 CET.
Kufuzu kupata Bashiri ya bure
  • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndio zitafuzu. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
  • Bashiri ni lazima ziwe na angalau machaguo 2 ya eSoccer.
  • Bashiri ya kufuzu ni lazima iwe na alama zisizopungua 1.50 kwa kila chaguo.
  • BNi bashiri zilizoshinda au kupoteza pekee ndio zitafuzu kupata bashiri ya bure, bashiri zilizokua; Voided, Canceled, au Cashed-out hazitofuzu.
  • Bashiri itahesabika imefuzu pale ambapo itakamilika/itapata matokeo.
  • Bashiri zilizofuzu ni lazima zikamilike ndani ya kipindi cha promosheni ili kufuzu kupokea bashiri ya bure.
Taarifa ya Bashiri ya bure
  • Kila mchezaji anaweza kupokea bashiri moja tu ya bure kila siku kwenye hii ofa.
  • Bashiri ya bure itaingizwa kwenye akaunti za wachezaji wanaostahiki mara tu bashiri ya kufuzu inapokamilika.
  • Bashiri ya bure itakayotolewa itakua kiasi sawa sawa kwa 100% hadi 2,000 TSH na dau lako la bashiri ya kwanza iliyofuzu kukamilika kila siku.
  • Bashiri ya bure inaweza kutumika kuweka bashiri kwenye mechi yoyote.
  • Bashiri ya bure ni lazima itumike kwenye mkeka wenye alama za jumla zisizopungua 1.50.
  • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
  • Bashiri ya bure inaweza kutumika ndani ya siku 7 kuanzia siku iliyotolewa.
  • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
  • Promosheni hii haiwezi kutumika kwa pamoja na ofa au promosheni nyingine yoyote.
  • Tuna haki ya kurekebisha au kufuta promosheni hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
  • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti yetu kuzingatiwa.
Jumla
  • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
  • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikiano na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.