Exclusive Offer Exclusive Offer

Pata bonasi ya ushindi ya 10% kwenye ushindi wako kwenye bashiri zako zote mubashara za eSoccer zenye machaguo 2 au zaidi.

BASHIRI SASA
Step 1
Nenda kwenye Ubashiri Mubashara
Bonus
Step 2
Weka bashiri kwenye mchezo wa eSoccer
Cash Out
Step 3
Pata bonasi ya 10% utakaposhinda!
Cash Out
BASHIRI SASA

Premier Bet inakupatia Bonasi ya Ushindi utakapoweka bashiri mubashara kwenye mchezo wa eSoccer. Weka machaguo angalau 2 ya eSoccer kwenye mkeka wako.

Weka mechi angalau 2 mubashara za eSoccer kwenye mkeka wako na tutakupatia 10% ya ziada kwenye ushindi wako!

Fanya chaguzi zako kwenye machaguo ya mechi za eSoccer mubashara, weka dau lako na utaona ushindi wako wa ziada kwenye mkeka wako.

VIGEZO VYA KUFUZU KUPATA BONASI
 • Ni bashiri mubashara pekee zilizowekwa kwenye mchezo wa eSoccer ndizo zitafuzu.
 • Bashiri ni lazima ziwe na machaguo kuanzia 2 na kuendelea.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitafuzu kupokea bonasi (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitohesabika).
 • Bashiri zilizokamilika pekee. Bashiri zilizobatilishwa au kughairishwa hazitohesabika.
TAARIFA YA BONASI
 • Promosheni hii itaanza kuanzia tarehe 12/06/23 18:00 hadi 30/06/23 23:59
 • Ushindi wako wa bonasi utahesabika pale endapo bashiri yako itashinda tu.
 • Kiasi cha bonasi ya ushindi kinachoonekana kwenye mkeka wako kabla bashiri yako haijakamilika ndio muongozo wako wa ushindi unaoweza kuupata kwenye machaguo yako yote yatakayofuzu. Zawadi ya bonasi ya ushindi itahesabiwa wakati bashiri yako inapokamilika.
 • Kima cha juu kabisa cha bonasi ya ushindi kinachoweza kulipwa kwa kila bashiri iliyoshinda ni 10,000,000 TSH
 • Kima cha juu kabisa cha pesa kinachoweza kulipwa kwa kila ushindi (pamoja na Bonasi ya Ushindi) ni500,000,000 TSH
 • Ushindi wa bonasi utalipwa kama pesa taslimu (hakuna masharti yoyote ya ziada/ wagering requirements)
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki au kama mtumiaji anaweza kujulikana alikua na njia ambazo sio sahihi za kuona matokeo wakati anaweka bashiri.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kubatilisha bashiri ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.