UEFA Challenge UEFA Challenge

Shiriki kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la E-Sports na upande kwenye ubao wa washindi ili kupata nafasi ya kujishindia bashiri za bure zitakazotumika kwenye msimu mpya wa Mpira wa Miguu! Kila wiki wachezaji 5 wa kwanza watajishindia bonasi ya 23,500 TSH, na mabingwa 1 kwa ujumla watashinda bashiri za bure mwezi mzima kutumika kwenye Michezo.

BASHIRI SASA
Step 1
Nenda kwenye E-Sports
Sports
Step 2
Chagua bashiri zako
Bonus
Step 3
Shinda Bashiri za Bure za michezo mwezi mzima!
Money Bag
BASHIRI SASA

Week 2 Leaderboard standings:

Tabela de ClassificaĆ§Ć£o
PLACE USERNAME POINTS PRIZE
1 2*****9 26 24,000 TSH
2 3*****4 17 24,000 TSH
3 2*****7 12 24,000 TSH
4 4*****0 9 24,000 TSH
5 2*****6 6 24,000 TSH
Duration:7 days
Ends in:

Leaderboard last update: 29/07/2022

Msimu wa Mpira wa Miguu unazidi kukaribia na tunataka uwe umejiandaa – ndio mana tunakupatia bashiri za bure za michezo kama utaweka bashiri kwenye E-Sports! Tuna zawadi 5 zitakazotolewa kila wiki za bonasi ya 23,500 TSH na zawadi 1 za jumla za ubingwa za bonasi ya michezo ya 23,500 TSH itakayotolewa kila siku kwa mwezi mzima kwa washindi wa juu zaidi!

Ofa ya Kombe la Dunia kwenye michezo ya E-Sports itaanza kuanzia Alhamisi ya tarehe 1 hadi Alhamisi ya tarehe 28 Julai.

Ni rahisi, weka bashiri kwenye mechi yoyote ya E-Sports bila kujali dau na utapata alama kwenye ushindi wako ili kushinda zawadi za kila wiki na za ubingwa. Kila wiki washindi 5 wa kwanza watajishindia bonasi ya 23,500 TSH ya michezo, na washindi 1 wa kwanza kwa wiki 4 watajishindia bonasi ya 23,500 TSH kila siku kwa mwezi mzima wa Agosti kutumika kwenye michezo! Zawadi zote za Bonasi za michezo zitakua na masharti ya kuzungushwa angalau mara 3 (wagering requirement) na kwa alama zisizopungua 2.0.

Champions Leaderboard standings:

Leaderboard
PLACE USERNAME POINTS PRIZE
1 2*****9 169 MONTH OF SPORTS BONUS
2 2*****7 79
3 3*****5 67
4 4*****5 61
5 4*****9 48
Duration:28 Days
Ends in:

Leaderboard last update: 29/07/2022

Msimu wa Mpira wa Miguu unazidi kukaribia na tunataka uwe umejiandaa – ndio mana tunakupatia bashiri za bure za michezo kama utaweka bashiri kwenye E-Sports! Tuna zawadi 5 zitakazotolewa kila wiki za bonasi ya 23,500 TSH na zawadi 1 za jumla za ubingwa za bonasi ya michezo ya 23,500 TSH itakayotolewa kila siku kwa mwezi mzima kwa washindi wa juu zaidi! !

Ofa ya Kombe la Dunia kwenye michezo ya E-Sports itaanza kuanzia Alhamisi ya tarehe 1 hadi Alhamisi ya tarehe 28 Julai.

Ni rahisi, weka bashiri kwenye mechi yoyote ya E-Sports bila kujali dau na utapata alama kwenye ushindi wako ili kushinda zawadi za kila wiki na za ubingwa. Kila wiki washindi 5 wa kwanza watajishindia bonasi ya 23,500 TSH ya michezo, na washindi 1 wa kwanza kwa wiki 4 watajishindia bonasi ya 23,500 TSH kila siku kwa mwezi mzima wa Agosti kutumika kwenye michezo! Zawadi zote za Bonasi za michezo zitakua na masharti ya kuzungushwa angalau mara 3 (wagering requirement) na kwa alama zisizopungua 2.0.

Vigezo & Masharti

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya E-Sports World Cup itaanza kuanzia Ijumaa ya tarehe 1 Julai 00:00 CET hadi Alhamisi tarehe 28 Julai 23:59 CET.
 • Wiki za Promosheni zitakua kama ifuatavyo:
  • Wiki ya 1: Ijumaa tarehe 1 00:00 CET hadi Alhamisi tarehe 7 Julai 23:59 CET
  • Wiki ya 2: Ijumaa tarehe 8 00:00 CET hadi Alhamisi tarehe 14 Julai 23:59 CET
  • Wiki ya 3: Ijumaa tarehe 15 00:00 CET hadi Alhamisi tarehe 21 Julai 23:59 CET
  • Wiki ya 4: Ijumaa tarehe 22 00:00 CET hadi Alhamisi tarehe 28 Julai 23:59 CET
 • Bashiri zozote zitakazowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri Zitakazofuzu
 • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu zinahitajika kuwekwa kwenye Chaguzi za mechi za E-Sports.
 • Ushindi wowote utachangia kwenye alama za jumla za mchezaji. Kwa kila 2,350 TSH utakayoishinda utapata alama 1. Wachezaji 5 wa kwanza wenye alama kubwa zaidi wiki nzima watajishindia zawadi ya kila wiki, na wachezaji 1 wa kwanza wenye alama za juu zaidi kwa wiki 4 watashinda zawadi ya Kombe la Dunia.
 • Alama za jumla zinapatikana kwa kujumlisha alama zote zilizopatikana kwenye ushindi wa bashiri zilizowekwa kwenye E-Sports.
 • Wachezaji watafuzu kupata zawadi za kila wiki, kama walicheza au hawakucheza kwenye wiki iliyopita.
 • Ni bashiri zilizowekwa kwa pesa taslimu pekee ndizo zitahesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya Bonasi hazitohesabika).
Zawadi za kila Wiki
 • Kila wiki wachezaji 5 wa kwanza wenye alama za juu zaidi watapata bonasi ya 23,500 TSH kutumika kwenye chaguzi za Michezo yote.
 • Kama wachezaji watakua na alama sare hadi mwisho wa wiki ya promosheni, mchezaji wa kwanza kupata alama hizo atawekwa juu ya mwenzie.
 • Zawadi za kila wiki zitalipwa ndani ya masaa 72 baada ya kuisha kwa kila wiki ya promosheni.
 • Kiasi cha bonasi kinatakiwa kuzungushwa angalau mara 3 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa halisi (yaani kabla ya kuweza kutoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Ili bashiri ifuzu kwenye kutimiza masharti ya ubashiri ni lazima iwe na alama zisizopungua 2.0, kwenye mechi yoyote, kabla ya mechi na mubashara. Bashiri yoyote itakayowekwa kwa alama pungufu, pesa itakatwa kwenye salio lakini haitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha kwa haki, kima cha juu kabisa cha dau kwa kila bashiri kitakachohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri ni 23,500 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi 23,500 TSH hakitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kima cha juu kabisa cha bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu endapo masharti ya ubashiri yatatimizwa ni mara 25 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
 • Ni bashiri zilizokamilika pekee ndizo zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Bashiri zilizoghairishwa/ Cashed out au bashiri hewa/void bets hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Bashiri za Odds boosts, cash back boosts na system hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Wachezaji wanaweza kujishindia zawadi moja tu ndani ya kila wiki ya promosheni.
Zawadi za Ubingwa
 • Kwa muda wa wiki 4 za promosheni wachezaji 1 wa kwanza wenye alama kubwa zaidi watajishindia bonasi ya 23,500 TSH kila siku mwezi Agosti kutumika kwenye chaguzi zozote za Michezo.
 • Zawadi ya Ubingwa itawekwa kila siku kwenye akaunti za washindi kuanzia Jumatatu tarehe 1 Agosti hadi Jumatano tarehe 31 Agosti.
 • Kiasi cha bonasi kinatakiwa kuzungushwa angalau mara 3 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa halisi (yaani kabla ya kuweza kutoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Ili bashiri ifuzu kwenye kutimiza masharti ya ubashiri ni lazima iwe na alama zisizopungua 2.0, kwenye mechi yoyote, kabla ya mechi na mubashara. Bashiri yoyote itakayowekwa kwa alama pungufu, pesa itakatwa kwenye salio lakini haitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha kwa haki, kima cha juu kabisa cha dau kwa kila bashiri kitakachohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri ni 11,750 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi 11,750 TSH hakitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kima cha juu kabisa cha bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu endapo masharti ya ubashiri yatatimizwa ni mara 25 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
 • Ni bashiri zilizokamilika pekee ndizo zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Bashiri zilizoghairishwa/ Cashed out au bashiri hewa/void bets hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Bashiri za Odds boosts, cash back boosts na system hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Wachezaji wanaweza kujishindia zawadi moja tu ya Ubingwa na zawadi 4 za kila wiki.
Jumla
 • Unapoweka bashiri, salio litakatwa kutoka kwenye pesa halisi zilizopo kwanza na baada ya hapo zitakatwa kutoka kwenye salio la bonasi. Salio la bonasi linapokua activated basi bashiri zote zilizofuzu za pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti yoyote ya ubashiri (wagering requirements).
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kuitumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki.
 • Tuna haki ya kubatilisha bonasi ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na /au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.