Euros Qualification Free Bet Euros Qualification Free Bet

Pata bashiri ya bure kila siku unapoweka bashiri kwenye mechi za Euro’s yenye machaguo 5+!

Chagua kujiunga
Step 1
Nenda Soccer > Competitions > Europe > European Championship Qualifiers
Football
Step 2
Weka bashiri yenye machaguo 5+
Bonus
Step 3
Pata bashiri yako ya bure kila siku!
Bonus
Chagua kujiunga

Euro’s Daily Free Bets: Ongeza nafasi zako za kushinda zaidi na ofa zetu za kila siku za Bashiri za bure! Weka bashiri yenye chaguo la mechi za Euro’s Qualification na machaguo 5 au zaidi.
Pata Bashiri ya bure sawa sawa na dau lako kwa 100% bashiri yako itakapokamilika!

Bashiri Zitakazofuzu:

 • Bashiri ni lazima ziwe na chaguo la mechi yoyote ya Euro’s Qualification.
 • Machaguo angalau: 5

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Alama za jumla si chini ya: 1.50
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni
 • Promosheni hii inapatikana kuanzia tarehe 08/10/23 00:00 hadi 17/10/23 23:59.
Kufuzu Bashiri ya Bure
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitafuzu kupata bonasi. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
 • Bashiri ni lazima ziwe na machaguo angalau 5.
 • Bashiri ni lazima ziwe na angalau chaguo moja kutoka kwenye mechi za kufuzu Euro’s/Euro’s Qualification.
 • Ni bashiri zilizoshinda au kupoteza pekee ndizo zitafuzu kupata bashiri ya bure; Bashiri hewa/Voided, Canceled, au zilizokua Cashed-out hazitohusika.
 • Bashiri zitakazofuzu zitahesabika kuanzia bashiri itakapokamilika.
 • Bashiri iliyofuzu ni lazima ikamilike ndani ya muda wa promosheni ili kufuzu kupata Bashiri ya Bure.
Taarifa ya Bashiri ya Bure
 • Bashiri ya bure itatolewa moja tu, kwa kila mchezaji kila siku kupitia hii ofa.
 • Zawadi ya bashiri ya bure itatolewa kwa wachezaji waliofuzu wakati bashiri zinapokamilika au ndani ya masaa 48 kama kutakua na tatizo la kiufundi.
 • Kiasi cha Bashiri ya bure kitakachotolewa kitakua sawa sawa kwa 100% hadi 5,000 TSH na bashiri ya kwanza ya kufuzu iliyokamilika kila siku ndani ya muda wa promosheni.
 • Bashiri ya bure inaweza kutumika kuweka bashiri kwenye Mechi yoyote.
 • Bashiri ya bure ni lazima iwekwe kwenye bashiri yenye alama zisizopungua 1.50.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Bashiri za bure zinaweza kutumika ndani ya siku 7 tu kuanzia siku uliyozawadiwa.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Promosheni hii haiwezi kutumika kwa mjumuiko na ofa nyingine yoyote au promosheni.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.