Go for Goals Go for Goals

Tunashauku kubwa juu ya mechi ya Fainali ya FA Cup kati ya Chelsea x Liverpool siku ya Jumamosi na tumeamua kutoa Bonasi ya Bure – itakayozidishwa na idadi ya magoli ya takaya patikana! Ni rahisi, weka bashiri ya angalau 1,175 TSH kabla ya mechi (conversions here) kwenye mechi hii na utapata bonasi ya 235 TSH itakayozidishwa na idadi ya magoli yatakayopatikana!

Step 2
Weka bashiri kwenye mechi ya Chelsea x Liverpool
Bonus
Step 3
Pata Bonasi ya bure kulingana na idadi ya magoli yatakayopatikana!
Bonus

Ni Fainali ya FA Cup siku ya Jumamosi na Chelsea watapambana na Liverpool kugombania kombe! Mechi hii itakua na matukio na magolimengi, na kuifanya iwe na msisimko zaidi tutakupatia Bonasi ya Bure – itakayozidishwa na idadi ya magoli yatakayopatikana! Ni rahisi weka bashiri kwenye mechi ya Chelsea x Liverpool na tutakupatia Bonasi ya 235 TSH itakayozidishwa na idadi ya magoli yatakayopatikana kwenye mechi!

Ofa ya bashiri ya magoli itaendeshwa hadi siku ya mechi Jumamosi tarehe 14 Mei.

Ili kufuzu weka bashiri ya angalau 1,175 TSH ikiwa na mechi ya Liverpool x Chelesea siku ya Jumamosi, na inaweza kuwekwa kabla ya mechi kwenye mkeka ikiwa peke ake au na nyingine, bashiri inaweza kuwekwa kwenye soko la mechi yoyote ikiwa na alama si chini ya 1.50 na siku inayofuata utapokea bonasi ya bure ya 235 TSH itakayozidishwa na idadi ya magoli yatakayopatikana kwenye mechi, kwahiyo kama kutakua na magoli 3 utapokea bonasi ya 705 TSH siku ya Jumatatu!

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya weka bashiri ya magoli itaanza kuanzia Jumatano tarehe 11 Mei 00:00 hadi Juamosi tarehe 14 Mei 17:45.
 • Bashiri zozote zitakazowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Ni lazima uweke bashiri kwenye mechi ya Chelsea v Liverpool kabla ya muda wa mechi kuanza.
 • Kima cha chini cha dau ili kufuzu kupokea Bonasi ya Bure ni 1,175 TSH
 • Bashiri zinaweza kuwekwa kwenye soko lolote la mechi ya Chelsea v Liverpool
 • Bashiri ni lazima iwekwe moja au pamoja na nyingine, kabla ya mechi (bashiri mubashara hazitohesabika).
 • Bashiri ni lazima iwe na alama zisizopungua 1.50.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitakazohesabika kwenye promosheni hii (bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
 • Mchezaji anaweza kufuzu kupokea Bonasi ya bure moja tu ndani ya muda wa promosheni.
 • Bonasi ya bure itatolewa endapo tu kutakua na goli kwenye mechi ya Chelsea v Liverpool. Kiasi cha bonasi kitakua ni 235 TSH kitazidishwa na idadi ya magoli yatakayopatikana kwenye mechi. Kwa mfano kama mechi itaisha na matokeo ya 3-2, kiasi cha bonasi cha 235 TSH kitazidishwa mara 5 na zawadi yako ya bonasi itakua ni 1,175 TSH.
 • Bonasi itatolewa kwa bashiri zilizokamilika tu, haijalishi kama imeshinda au imepoteza.
 • Bonasi ya Bure italipwa ndani ya masaa 72 baada ya muda wa promosheni kuisha.
 • Bashiri zilizoghairishwa au bashiri hewa hazitohesabika.
 • Bashiri za mifumo hazitohesabika kwenye hii promosheni.
Bashiri ya Bonasi
 • Pesa ya bonasi inatakiwa izungushwe angalau mara 3 kabla haijabadilishwa kuwa pesa halisi (i.e kabla ya kuruhusiwa kuitoa). Kiasi cha bonasi pamoja na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi hadi masharti ya ubashiri yatakapotimizwa.
 • Ili bashiri ifuzu kwenye kutimiza masharti ya ubashiri, ni lazima iwe na alama za jumla zisizopungua 2.00, kwenye mchezo wowote, kabla ya mechi, iwe moja au nyingi. Bashiri yoyote itakayowekwa na alama ya chini ya iliyotajwa hapo juu pesa itakatwa kweye salio lakini haitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Kima cha juu cha pesa ya bonasi unachoweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu endapo masharti ya ubashiri yatakapotimizwa ni 1,163,000 TSH.
 • Una siku 7 za kukamilisha masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitoweza kubadilishwa ndani ya muda huu kitaondolewa kwenye akaunti yako, na masalia yoyote ya pesa yako uliyoweka yatarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Unaweza kutoa pesa zako halisi muda wowote kwa kusalimisha pesa yako ya bonasi kama masharti ya ubashiri hayajatimizwa bado.
 • Bashiri zilizokamilika pekee ndizo zitakazohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri. Bashiri zilizoghairishwa au bashiri hewa hazitohesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
Jumla
 • Ofa hii haiwezi kuchanganywa na ofa nyingine yoyote.
 • Tuna haki juu ya kukataa matokeo, au kukataa kulipa kama pande zote za magoli zinaonyesha tatizo la wazi, uzembe au ufundi(ukijumlusha makosa ya malipo ya mchezo) haijalishi imetokana na mashine au Binadamu kwa heshima ya michezo yote ilioshiriki.
 • Tuna haki juu ya kukataa matokeo, au kukataa kulipa kama kwa upande wetu tutahisi kuna wizi wa matokeo au kujichanganya na wachezaji mwengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti ya Matangazo ya ofa tunayotoa kwa maamuzi yetu juu ya ushindi tunaotoa.
 • Yunaweza kwa maamuzi yetu, kumtoa mchezaji yoyote kupokea tangazo au matangazo yoyote ya ofa.
 • Vigezo na masharti kuzingatiwa.