Fazi Daily Drops Fazi Daily Drops

Tuna zawadi bomba ya 2,600,000 TSH pesa taslimu kutolewa kwenye promosheni yetu ya Boosted Cash Drops. Ni rahisi, zungusha kwa dau lolote kwenye moja ya michezo yetu ya Fazi Slot inayoshiriki na wachezaji watano wenye bahati watajishindia zawadi kubwa ya kwanza ya 130,000 TSH na wachezaji 25 wanaofuata watajishindia pia zawadi za pesa taslimu kila wiki ndani ya kila wiki ya ofa ya Boosted Cash Drops!

Step 1
Chagua mchezo
Casino
Step 2
Anza kuzungusha
Slots
Step 3
Shinda zawadi ya Cash Drop!
Money Bag

Kaa tayari kujishindia zawadi za pesa taslimu zenye thamani ya 2,600,000 TSH ukicheza michezo ya Fazi Slot. Kila wiki ndani ya Boosted Cash Drops wachezaji watano wenye bahati watajishindia zawadi kubwa ya kwanza ya 130,000 TSH na wachezaji 25 wanaofuata watajishindia pia zawadi za pesa taslimu! Ni rahisi, zungusha kwa dau lolote kwenye moja ya michezo yetu ya Fazi Slot inayoshiriki kila siku kupata nafasi ya kujishindia zawadi ya cash drop.

Ofa ya Boosted Cash Drops itakua ni kila wiki kuanzia Ijumaa tarehe 5 Aprili 2024 hadi Alhamisi tarehe 18 Aprili 2024.

Mzunguko wowote kwenye michezo ya Fazi Slots inayoshiriki inaweza kukupatia zawadi ya pesa taslimu ya bila mpangilio, kukiwa na zawadi zawadi 30 za kila wiki, wachezaji 5 wenye bahati watajishindia zawadi ya kwanza ya 130,000 TSH na wachezaji 25 waliobaki watajishindia zawadi ya 26,000 TSH kila mmoja! Unavyozidi kucheza ndivyo unavyoongeza nafasi ya kujishindia zawadi ya pesa taslimu zaidi!

Cheza mchezo wowote

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Boosted Cash Drops itaanza kuanzia Ijumaa tarehe 5 Aprili 00:00 UTC 2024 hadi Alhamisi tarehe 18 Aprili 23:59 UTC 2024.
 • Promosheni imegawanywa ndani ya wiki 2 za Cash Drops ambazo zitakua kama ifuatavyo:
  • Wiki ya 1: Ijumaa tarehe 5 Aprili 00:00 UTC 2024 hadi Alhamisi tarehe 11 Aprili 23:59 UTC 2024.
  • Wiki ya 2: Ijumaa tarehe 12 Aprili 00:00 UTC 2024 hadi Alhamisi tarehe 18 Aprili 23:59 UTC 2024.
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kwenye hii promosheni.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo ifuatayo ya Fazi Slots:
 • Wiki ya 1: Ijumaa tarehe 5 Aprili 00:00 UTC 2024 hadi Alhamisi tarehe 11 Aprili 23:59 UTC 2024.
  1. Golden Crown
  2. Very Hot 5 extreme
  3. Wild Hot 40
  4. Chilli Respin
  5. Epic Clover 40
  6. Wild Hot 40 Blow
  7. RETRO FIRE
  8. Fruits and Stars 20 Deluxe
  9. Golden Crown 40
  10. Epic Clover 100
 • Wiki ya 2: Ijumaa tarehe 12 Aprili 00:00 UTC 2024 hadi Alhamisi tarehe 18 Aprili 23:59 UTC 2024.
  1. Very Hot 5
  2. Wild Hot 40 Free Spins
  3. Giga Hot 40
  4. Wild Lucky Clover
  5. Crystal Hot 40
  6. Very Hot 40
  7. Epic Crown 5
  8. CRYSTAL HOT 100
  9. Crystal Hot 80
  10. Lollas World
 • Wachezaji ni lazima waweke bashiri angalau moja kwa dau lolote kwenye moja ya michezo iliyochaguliwa ili kuingia kwenye droo ya kushinda moja ya zawadi za cash drops. Dau litakua linajilimbikiza kwa kipindi chote cha promosheni.
 • Ni bashiri za pesa taslimu tu zilizowekwa kwenye michezo iliyofuzu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Cash drop
 • Ofa ya Boosted Cash Drops itakua na zawadi 30 za kila wiki, wachezaji 5 wenye bahati watajishindia zawadi ya kwanza ya 130,000 TSH na wachezaji 25 waliobaki watajishindia zawadi ya 26,000 TSH kila mmoja, kutoka kwenye zawadi ya jumla ya 2,600,000 TSH kwa muda wote wa promosheni.
 • Zawadi za Cash Drops zitalipwa ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa matokeo ya zawadi za cash drop za kila wiki.
 • Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo.
 • Zawadi ya jumla ipo kwenye mfumo wa USD na inaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
 • Ofa hii ni kwa wachezaji wa Premier Vegas pekee.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi ya pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.