

Novemba ni ya moto kwenye Premier Vegas na reels zinabamba zaidi na zawadi za pesa taslimu. Tunaongeza mzuka na zawadi kabambe ya TSH 1,300,000 kutolewa kwenye promosheni yetu ya Daily Hot Cash Drops. Ni rahisi, cheza moja ya michezo 10 ya Fazi slots inayoshiriki kila siku ili kupata nafasi ya kujishindia moja ya zawadi ya 10 za pesa taslimu kila siku!



Novemba ni ya moto kwenye Premier Vegas na reels zinabamba zaidi na zawadi za pesa taslimu. Moto umewaka na kuna zawadi za pesa taslimu zenye thamani ya TSH 1,300,000 kushindaniwa kwa siku 5 zijazo kwa kucheza kwenye moja ya michezo 10 ya Fazi slots inayoshiriki. Kila siku unaweza kujishindia moja ya zawadi 10 zinazotolewa bila mpangilio za cash drop. Ni rahisi, cheza moja ya michezo 10 ya slot inayoshiriki kila siku ili kupata nafasi ya kujishindia zawadi ya cash drop kila siku.
Ofa ya Daily Hot Cash Drops itafanyika kuanzia Jumatano tarehe 26 Novemba hadi Jumapili tarehe 30 Novemba 2023.
Mzunguko wowote kwenye michezo 10 ya Fazi slots inayoshiriki inaweza kupata zawadi ya bila mpangilio ya pesa taslimu, ikiwa na zawadi 10 za TSH 26,000 kila siku! Unavyocheza zaidi ndivyo unavyozidi kujiongezea nafasi ya kujishindia zawadi ya pesa taslimu!
Muda wa Promosheni
- Promosheni ya Daily Hot Cash Drops itaanza kuanzia Jumatano tarehe 26 Novemba 00:01 UTC hadi Jumapili tarehe 30 Novemba 23:59 UTC 2023.
- Ofa ya Cash Drops za kila siku ni kuanzia 00:01 UTC hadi 23:59 UTC.
- Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
- Bashiri zitakazofuzu za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo ya Fazi ifuatayo:
- Golden Crown 40
- African Treasure
- Wild 27
- Epic Clover 40
- Wild Lucky Clover
- Wild Clover 40
- Coyote Sevens
- Simply Sevens
- Clover Blast 5
- Epic Crown 5
- Wachezaji ni lazima waweke bashiri angalau moja kwa dau lolote kwenye moja ya michezo iliyochaguliwa ili kufuzu kupata moja ya zawadi za cash drops. Unaweza kujishindia zawadi ya cash drop bila mpangilio kwenye mzunguko wowote wa mchezo uliofuzu.
- Ni bashiri za pesa taslimu tu ndizo zitakazohesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Cash drop
- The Daily Hot Cash Drops itakua na zawadi 100 za 10 cash drop prizes za TSH 26,000 kila siku, na zawadi ya jumla ya TSH 1,300,000 ndani ya muda wote wa promosheni.
- Zawadi za Cash Drops zitalipwa ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa matokeo ya zawadi za cash drop kila siku.
- Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo.
- Zawadi ya jumla ipo kwenye mfumo wa USD na inaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji wa sarafu.
Jumla
- Hii ni ofa kwa wachezaji wa Premier Vegas (use applicable brand) pekee.
- Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi ya pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
- Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
- Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
- Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
- Vigezo & Masharti Kuzingatiwa.