Crash Cash Tournament Crash Cash Tournament

Shangwe za kutosha kuelekea msimu wa sikukuu na unaweza kujishindia sehemu ya 20,800,000 TSH kwenye ofa yetu ya Festive Bonus Drops! Festive Bonus Drops zimegawanywa kwenye ofa 4, ni rahisi jaribu mchezo wetu mmoja wapo unaoshiriki na utapata nafasi ya kujishindia sehemu ya 5,200,000 TSH kama zawadi ya bonasi kwenye kila ofa. Zungusha angalau 2,600 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo inayoshiriki au yote kwa pamoja ili kupata nafasi ya kushinda.

Step 1
Chagua mchezo
Casino
Step 2
Weka bashiri zako
Slots
Step 3
Shinda moja ya zawadi za bonasi!
Money Bag

Shangwe za kutosha kuelekea msimu wa sikukuu na unaweza kujishindia sehemu ya 20,800,000 TSH kwenye ofa yetu ya Festive Bonus Drops! Festive Bonus Drops zimegawanywa kwenye ofa 4, ni rahisi jaribu mchezo wetu mmoja wapo unaoshiriki na utapata nafasi ya kujishindia sehemu ya 5,200,000 TSH kama zawadi ya bonasi kwenye kila ofa, unaweza kuwa mmoja wa wachezaji 20 wenye bahati ya kujishindia. Zungusha angalau 2,600 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo inayoshiriki au yote kwa pamoja ili kupata nafasi ya kushinda.

Ofa ya Festive Bonus Drops itaanza Jumatatu tarehe 11 Disemba hadi Jumapili tarehe 24 Disemba 2023.

Promosheni imegawanyika kwenye ofa 4 za Bonus Drops ambazo zitakua kama ifuatavyo:

 • Apollo – Festive Bonus Drops: 11/12 00:00 UTC – 13/12 23:59 UTC
 • Spinberry – Festive Bonus Drops: 14/12 00:00 UTC – 17/12 23:59 UTC
 • Betsoft – Festive Bonus Drops: 18/12 00:00 UTC – 20/12 23:59 UTC
 • Spinomenal – Festive Bonus Drops: 21/12 00:00 UTC – 24/12 23:59 UTC

Chagua mchezo mmoja au cheza michezo yote ifuatayo ili kuingia moja kwa moja kwenye ofa.


Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Festive Bonus Drops itaanza Jumatatu tarehe 11 Disemba 2023 00:00 UTC hadi Jumapili tarehe 24 Disemba 2023 23:59 UTC.
 • Promosheni imegawanyika kwenye ofa 4 za Bonus Drops ambazo zitakua kama ifuatavyo:
  • Apollo – Festive Bonus Drops: 11/12 00:00 UTC – 13/12 23:59 UTC
  • Spinberry – Festive Bonus Drops: 14/12 00:00 UTC – 17/12 23:59 UTC
  • Betsoft – Festive Bonus Drops: 18/12 00:00 UTC – 20/12 23:59 UTC
  • Spinomenal – Festive Bonus Drops: 21/12 00:00 UTC – 24/12 23:59 UTC
 • Bashiri zote zilizowekwa na kukamilika nje ya muda uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri za pesa taslimu zinatakiwa kuwekwa kwenye moja ya michezo ifuatayo:
  • 11/12 00:00 UTC – 13/12 23:59 UTC
   • Golden Treasure from Apollo
   • Midnight Fruits from Apollo
   • Golden Age Multireels from Apollo
   • Burning Dice from Apollo
   • Frutiki Tribe from Apollo
  • 14/12 00:00 UTC – 17/12 23:59 UTC
   • 10x Minimum from Spinberry
   • El Gran Chig├╝iro from Spinberry
   • Gift Edition 10x Minimum from Spinberry
   • Drop The Wilds from Spinberry
   • 5 Wild Reindeers from Spinberry
  • 18/12 00:00 UTC – 20/12 23:59 UTC
   • Tycoons: Billionaire Bucks from Betsoft
   • Triple Lucky 8’s from Betsoft
   • Wilds of Fortune from Betsoft
   • Super Golden Dragon Inferno from Betsoft
   • 88 Frenzy Fortune from Betsoft
  • 21/12 00:00 UTC – 24/12 23:59 UTC
   • Queen of Water from Spinomenal
   • Majestic King from Spinomenal
   • Wild Gold Fish from Spinomenal
   • Queen of Fire from Spinomenal
   • Vegas Glowing Fruits from Spinomenal
 • Wachezaji ni lazima waweke bashiri ya angalau 2,600 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo inayoshiriki ili kuingia kwenye droo ya kujishindia moja ya zawadi za bonus drop. Dau litakua linajilimbikiza ndani ya muda wote wa promosheni.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee kwenye michezo iliyofuzu ndio zitahesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Bashiri zitakazofuzu
 • Wachezaji 20 watakaofuzu watachaguliwa bila mpangilio kujishindia zawadi ya bonasi, kama ilivyoelezewa hapo chini, kutumika kwenye michezo 5 iliyofuzu baada ya kila ofa ya bonus drop:

 • Alhamisi tarehe 14 Disemba
  Jumatatu tarehe 18 Disemba
  Alhamisi tarehe 21 Disemba
  Jumatatu tarehe 25 Disemba
 • Zawadi za Bonasi:
 • Zawadi Idadi Jumla
  390,000 TSH 1 390,000 TSH
  130,000 TSH 4 130,000 TSH
  65,000 TSH 10 650,000 TSH
  26,000 TSH 50 1,300,000 TSH
  13,000 TSH 180 2,340,000 TSH
  Total 245 5,200,000 TSH

  • Kuna zawadi 20 za 26,000 TSH zitakazotolewa kwenye kila ofa ya Bonus Drop
  • Zawadi ya bonasi itawekwa kwenye akaunti yako ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa droo.
  • Kiwango cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 30 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaan kabla ya kuweza kuitoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
  • Ni michezo 5 tu inayoshiriki itachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri,na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu cha dau kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambao utachangia kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi ni $5 (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi $5 hakitohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
  • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
  • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatatimizwa ni mara 25 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
  • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
  • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe kwenye michezo ya pesa halisi. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
  • Wachezaji wanaweza kushinda zawadi moja tu ya bonasi ndani ya muda wa promosheni.
  Jumla
  • Hii ni ofa kwa wachezaji wa Premier Vegas pekee.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi ya pesa taslimu, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa.(e.g. guaranteed best price; bonasi; bashiri za bure; enhanced prices; na rejesho maalumu la pesa) na matangazo mengine yoyote na ofa.
  • Tuna hifadhi haki ya kutenga, kughairisha au kuondoa Bashiri za Bure na Ushindi uliotokana na Bashiri za Bure kutoka kwenye akaunti ambazo zitagundulika kufanya ubadhilifu.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.