Goals Giveaway Goals Giveaway

Goals Giveaway: Simama na nchi yako na utapata bashiri ya bure kwa kila goli litakalofungwa na nchi yako Tanzania kwenye mechi za kufuzu CAF World Cup!

Chagua kujiunga

Step 1
Nenda Mpira wa Miguu > FIFA World Cup, Kufuzu CAF
Bonus
Step 2
Weka bashiri ya nchi yako ya Tanzania kushinda
Cash Out
Step 3
Pata bashiri ya bure kwa kila goli!
Cash Out
Chagua kujiunga

Goals Giveaway: Simama na nchi yako katika mechi za Kufuzu Kombe la Dunia la CAF na pata Bashiri ya Bure kwa kila goli watakalo funga! Weka bashiri ya angalau TSH 2,500 kwa timu yako kushinda (1X2) na kwa kila goli litakalofungwa na wachezaji wa nchi yako, utapokea Bashiri ya Bure!

Bashiri Zitakazofuzu:

 • Bashiri ni lazima ziwe na chaguo la Tanzania kushinda (1X2) katika mechi za Kufuzu Kombe la Dunia la CAF.
 • Kima cha chini cha dau: TSH 2,500

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Alama za jumla zisipungue: 1.50
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni:
 • Promosheni itaanza tarehe 13/11/23 00:00 CET na itaisha tarehe 21/11/23 23:59 CET.
Kufuzu Bashiri ya Bure:
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee ndizo zitafuzu kupata bashiri ya bure. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
 • Bashiri ni lazima ziwe na dau la angalau TSH 2,500.
 • Bashiri ni lazima ziwe na angalau chaguo moja la timu yako ya kitaifa kushinda (soko la 1X2 pekee).
 • Ni bashiri zilizoshinda au kupoteza pekee ndizo zitafuzu kwenye promosheni; Bashiri zilizo batilishwa/voided, zilizokua cancelled, au kuwa cashed out hazitofuzu.
 • Bashiri zilizofuzu ni lazima zikamilike ndani ya muda wa promosheni ili kufuzu kupata Bashiri ya bure.
Taarifa ya Bashiri ya Bure:
 • Bashiri ya/za bure zitatolewa ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa mechi.
 • Kiwango cha Bashiri ya Bure kitakachotolewa ni TSH 2,500.
 • Bashiri ya Bure inaweza kutumika katika michezo yote.
 • Bashiri ya Bure lazima itumike kuweka bashiri yenye alama za jumla angalau 1.50.
 • Bashiri ya Bure haiwezi kurejeshwa na haiwezi kutolewa kama pesa.
 • Bashiri ya Bure inaweza kutumika ndani ya siku 7 tangu siku uliyozawadiwa.
 • Ushindi wowote unaotokana na Bashiri ya Bure utaingizwa kwenye akaunti ya mchezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiwango cha awali cha Bashiri ya Bure.
 • Promosheni hii haiwezi kutumika kwa mjumuisho na ofa nyingine yoyote au promosheni.
 • Tuna haki ya kurekebisha au kufuta promosheni hii wakati wowote bila taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti yetu kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.