Crash Cash Tournament Crash Cash Tournament

Endeleza shangwe na ushinde sehemu ya 1,800,000 TSH kwenye ofa yetu ya January Bonus Drops! January Bonus Drops imegawanyika kwenye ofa 3 ikiwa na michezo yenye kusisimua ambayo unaweza kucheza na kujishindia sehemu ya 600,000 TSH kama zawadi za Bonasi kwenye kila ofa. Zungusha angalau 3,000 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo inayoshiriki au yote kwa pamoja ili kupata nafasi ya kushinda zawadi ya Bonasi Drop.

Step 1
Chagua mchezo
Casino
Step 2
Weka bashiri zako
Slots
Step 3
Shinda moja ya zawadi za bonasi!
Money Bag

Endeleza shangwe na unaweza kujishindia sehemu ya 1,800,000 TSH kwenye ofa yetu ya January Bonus Drops! January Bonus Drops zimegawanywa kwenye ofa 3, ni rahisi jaribu mchezo wetu mmoja wapo unaoshiriki na utapata nafasi ya kujishindia sehemu ya 600,000 TSH kama zawadi ya bonasi kwenye kila ofa, unaweza kuwa mmoja wa wachezaji 20 wenye bahati. Zungusha angalau 3,000 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo inayoshiriki au yote kwa pamoja ili kupata nafasi ya kushinda.

Ofa ya January Bonus Drops itaanza Jumatano tarehe 17 Januari 2024 hadi Jumanne tarehe 30 Januari 2024.

Promosheni imegawanyika kwenye ofa 3 za Bonus Drops ambazo zitakua kama ifuatavyo:

 • Jumatano tarehe 17 Januari 2024 00:00 UTC hadi Jumapili tarehe 21 Januari 2024 23:59 UTC.
 • Jumatatu tarehe 22 Januari 2024 00:00 UTC hadi Alhamisi tarehe 25 Januari 2024 23:59 UTC.
 • Ijumaa tarehe 26 Januari 2024 00:00 UTC hadi Jumanne tarehe 30 Januari 2024 23:59 UTC.

Chagua mchezo mmoja au cheza michezo yote ifuatayo ili kuingia moja kwa moja kwenye ofa.


Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya January Bonus Drops itaanza Jumatano tarehe 17 Januari 2024 00:00 UTC hadi Jumanne tarehe 30 Januari 2024 23:59 UTC.
 • Promosheni imegawanyika kwenye ofa 3 za Bonus Drops ambazo zitakua kama ifuatavyo:
  • Jumatano tarehe 17 Januari 2024 00:00 UTC hadi Jumapili tarehe 21 Januari 2024 23:59 UTC.
  • Jumatatu tarehe 22 Januari 2024 00:00 UTC hadi Alhamisi tarehe 25 Januari 2024 23:59 UTC.
  • Ijumaa tarehe 26 Januari 2024 00:00 UTC hadi Jumanne tarehe 30 Januari 2024 23:59 UTC.
 • Bashiri zote zilizowekwa au kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri zitakazofuzu
 • Bashiri za pesa taslimu zinatakiwa kuwekwa kwenye moja ya michezo ifuatayo:
  • 17/01/24 00:00 UTC – 21/01/24 23:59 UTC
   • Rocket36 from Lagio Games
  • 22/01/24 00:00 UTC – 25/01/24 23:59 UTC
   • Fruit Machine x25 from Mascot
   • Book of Anksunamun Rockways or Riot from Mascot
   • Fruit Macau from Mascot
  • 26/01/24 00:00 UTC – 30/01/24 23:59 UTC
   • Super Golden Dragon Inferno from Betsoft
   • Wilds of Fortune from Betsoft
   • Tycoons: Billionaire Bucks from Betsoft
 • Wachezaji ni lazima waweke bashiri ya angalau 3,000 TSH kwa ujumla kwenye moja ya michezo inayoshiriki ili kuingia kwenye droo ya kujishindia moja ya zawadi za bonus drop. Dau litakua linajilimbikiza ndani ya muda wote wa promosheni.
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee kwenye michezo iliyofuzu ndio zitahesabika (Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi hazitohesabika).
Zawadi za Bonasi
 • Wachezaji 20 watakaofuzu watachaguliwa bila mpangilio kujishindia zawadi zifuatazo za bonasi, kama ilivyoelezewa hapo chini, kutumika kwenye michezo iliyofuzu baada ya kila ofa ya bonus drop:
  • Jumatatu tarehe 22 Januari 2024
  • Ijumaa tarehe 26 Januari 2024
  • Jumatano tarehe 31 Januari 2024
 • Kuna zawadi 20 za 30,000 TSH zitakazotolewa kwenye kila ofa ya Bonus Drop.
 • Zawadi ya bonasi itawekwa kwenye akaunti yako ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa droo.
 • Kiwango cha bonasi ni lazima kizungushwe angalau mara 30 kabla ya kubadilishwa kuwa pesa taslimu (yaan kabla ya kuweza kuitoa). Kiwango cha pesa ya bonasi na ushindi vitazuiliwa kwenye pochi ya bonasi mpaka masharti ya kuzungusha bonasi yatakapotimizwa.
 • Ni michezo inayoshiriki pekee ndio itachangia kwa 100% kwenye kutimiza masharti ya ubashiri,na katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, kiwango cha juu cha dau kwenye mzunguko mmoja wa mchezo ambao utachangia kwenye kutimiza masharti ya kuzungusha bonasi ni 15,000 TSH (kiasi chochote kwenye bashiri moja kitakachozidi 15,000 TSH hakitohesabiwa kwenye kutimiza masharti ya ubashiri).
 • Kama utabashiri juu ya hiki kiwango kwa bashiri moja ya mchezo, utakua umekubali kwamba bonasi yako na ushindi wote uliopatikana na hio bonasi uondolewe.
 • Kiwango cha juu kabisa cha pesa ya bonasi ambacho kinaweza kubadilishwa kuwa pesa taslimu kama masharti ya ubashiri yatatimizwa ni mara 25 ya kiasi cha bonasi ulichopewa.
 • Una siku 7 za kutimiza masharti yoyote ya ubashiri. Kiasi chochote cha pesa ya bonasi ambacho hakitobadilishwa ndani ya huu muda kitaondolewa kwenye akaunti yako, na pesa yoyote ambayo uliiweka itarudishwa kwenye pochi yako ya pesa taslimu.
 • Kabla ya kuweza kutoa pesa yoyote ya bonasi ni lazima masharti ya ubashiri yatimizwe kwenye michezo ya pesa halisi. Unaweza kutoa kiwango chako cha pesa taslimu muda wowote ukirudisha pesa yote ya bonasi na ushindi wote uliopatikana na pesa hio kama masharti ya ubashiri hayatotimizwa.
 • Wachezaji wanaweza kushinda zawadi moja tu ya bonasi ndani ya muda wa promosheni.
Jumla
 • Hii ni ofa kwa wachezaji wa Premier Vegas pekee.
 • Unapoweka bashiri, salio litakatwa kutoka kwenye pesa halisi iliyopo kwanza na baada ya hapo itakatwa kwenye salio la bonasi. Na bonasi inapokua activated bashiri zote zitakazofuzu zitakazokatwa kwenye salio la pesa halisi zitahesabika kwenye kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Hakuna kima cha chini cha ubashiri kitakachoruhusiwa kwenye sehemu yoyote ya hii promosheni, ikiwemo kutimiza masharti ya kutumia bonasi. Wachezaji watakaobainika wanatumia mbinu za kiwango cha chini cha ubashiri kupata bonasi zao au zawadi ya pesa taslimu watakua wanahatarisha kuondolewa bonasi zao, zawadi za pesa taslimu na ushindi wowote unaohusina kuondolewa. Katika maslahi ya michezo ya kubahatisha ya haki, bashiri hewa au bashiri za chini ya kiwango zinachukuliwa kama michezo ya kubahatisha isiyo ya haki. Mifano mingine ya michezo ya kubahatisha isiyo ya haki lakini sio lazima iwe ni kuweka bashiri sawa ya pesa kwenye michezo ya Roulette, Sic Bo au Craps, kuweka bashiri moja ambazo zipo sawa au zimezidi 20% au Zaidi ya kiwango cha pesa ya bonasi ulichopokea kabla ya kutimiza masharti ya ubashiri.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa rejesho la bonasi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kujiondoa na / au kubadilisha sheria na masharti haya ya uendelezaji kwa hiari yetu pekee, na uamuzi wowote kuhusu ushindi uliyopewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.