Bonus drops Bonus drops

Shinda sehemu ya zawadi kabambe ya jumla ya 5,000,000,000 TSH kwenye promosheni yetu ya Kalamba Cash Drops! Ni rahisi, chagua moja ya michezo yetu ya Kalamba inayoshiriki, weka bashiri kwa dau la angalau 250 TSH na unaweza kuwa mshindi wetu wa zawadi ya Cash drop ya hadi 5,000,000 TSH kwenye mzunguko mmoja. Cheza Kushinda!

CHEZA SASA
Step 1
Chagua mchezo wako
Slots
Step 2
Cheza kwa dau la angalau 250 TSH
Deposit
Step 3
Shinda zawadi za Cash Drop bila mpangilio!
Leaderboard
CHEZA SASA

Anza kuzungusha reels za michezo ya Kalamba na unaweza kujishindia zawadi ya cash drop bila mpangilio kadri unavyocheza, kukiwa na jumla ya zawadi za 5,000,000,000 TSH kutolewa! Ni rahisi, chagua moja ya michezo yetu ya Kalamba inayoshiriki, weka bashiri kwa dau la angalau 250 TSH na unaweza kuwa mshindi wetu wa zawadi ya Cash drop ya hadi 5,000,000 TSH kwenye mzunguko mmoja.

Promosheni ya Kalamba Cash Drops itaanza kuanzia Jumatatu tarehe 1 Aprili 2024 hadi Jumapili tarehe 30 June 2024.

Ni rahisi, chagua moja ya michezo au yote kwa pamoja ya Kalamba inayoshiriki iliyotajwa hapo chini, cheza kwa dau la angalau 250 TSH na unaweza kuwa mshindi wetu wa zawadi ya Cash drop ya hadi 5,000,000 TSH kwenye mzunguko mmoja.

Muda wa Promosheni
  • Promosheni ya Kalamba Cash Drops itaanza kuanzia Jumatatu tarehe 1 Aprili 2024 00:00 GMT hadi Jumapili tarehe 30 June 2024 23:59 GMT.
  • Bashiri zote zilizowekwa au kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri Zitakazofuzu
  • Bashiri za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo hii ifuatayo:
    • Flaming Scarabs
    • Hyper Blitz Hold and Win
    • Joker Max
    • Joker Leprechauns
    • Blazing Bull: Cash Quest
    • Blazing Bull
    • Lightning Fortune
  • Ni lazima uweke bashiri iliyofuzu kwenye moja ya michezo inayoshiriki ili kufuzu kupata zawadi.
  • Kima cha chini cha dau ili kufuzu ni 250 TSH.
  • Ni mizunguko ya pesa halisi pekee ndio itapata alama (bashiri kutoka mizunguko ya pesa za bonasi haitohesabika).
Cash Drop
  • Mzunguko wowote wa pesa halisi kwenye mchezo unaoshiriki unaweza kupata zawadi ya Cash Drop bila mpangilio.
  • Mchezaji yoyote anaweza kujishindia zawadi nyingi/zaidi ya moja ya Cash Drop ndani ya muda wa promosheni.
  • Kima cha chini cha dau ili kufuzu ni 250 TSH.
  • Idadi ya zawadi zilizopo inabadilishwa papo hapo.
  • Zawadi ya pesa taslimu zitawekwa moja kwa moja kwenye akaunti ya mchezaji papo hapo ushindi unapopatikana. Zawadi inapotolewa, itaondolewa kwenye orodha ya zawadi za jumla. Idadi ya zawadi zilizobaki zitaonyeshwa kwenye muda halisi, kwenye widget ya Cash Drop au kwenye upande wa zawadi.
  • Zawadi zitalipwa kama zinavyoonekana kwenye jedwali la zawadi ya jumla.
  • Kutakua na zawadi 40,551 za cash drop zitakazotolewa bila mpangilio kwa wachezaji watakaocheza ndani ya muda wote wa promosheni, kukiwa na zawadi za pesa taslimu kuanzia 62,500 TSH hadi 5,000,000 TSH, ikiwa ni sehemu ya zawadi ya jumla ya 5,000,000,000 TSH.
  • Zawadi za Cash Drop hazitokua na masharti yoyote ya ziada 0x, na zinaweza kutolewa papo hapo. Zawadi zilizopatikana kwa pesa ya bonasi zitalipwa kama bonasi.
  • Zawadi za pesa taslimu zitalipwa kulingana na sarafu uliyotumia kuchezea, kulingana na thamani ya sarafu ya Euro wakati bashiri ya ushindi ilipowekwa
Jumla
  • Hii ni promosheni ya mtandao kwenye tovuti zote za Kalamba zinazoshiriki.
  • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye haya mashindano vipo kwenye mfumo wa EUR na vinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji sarafu.
  • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
  • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
  • Tuna haki ya kuondoa na/au kubadilisha vigezo vya promosheni na masharti yanayohusiana na hii kwa hiari yetu, na maamuzi yoyote kulingana na ushindi uliotolewa.
  • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa (mf. Alama bora za uhakika; bonasi; bashiri za bure; alama zilizoboreshwa na ofa za rejesho la pesa) na matangazo mengine yoyote ya promosheni na ofa.
  • Tuna hifadhi haki ya kutenga, kughairisha au kuondoa Bashiri za Bure na Ushindi uliotokana na Bashiri za Bure kutoka kwenye akaunti ambazo zitagundulika kufanya ubadhilifu.
  • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.