Bonus drops Bonus drops

Shinda sehemu ya zawadi kabambe ya jumla ya 2,500,000,000 TSH kwenye promosheni yetu ya Kalamba Cash Drops! Ni rahisi, zungusha kwa dau lolote kwenye mchezo wowote wa Kalamba unaoshiriki na kadri unavyocheza unaweza kuwa mshindi wa zawadi ya Cash Drop bila mpangilio ya hadi 2,500,000 TSH kwenye mzunguko mmoja. Unaweza kushinda zawadi bila kikomo, mzunguko wowote unaweza kukupatia zawadi ya pesa taslimu!

CHEZA SASA
Step 1
Chagua mchezo wako wa slot
Slots
Step 2
Anza kuzungusha
Deposit
Step 3
Shinda zawadi za Cash Drop bila mpangilio!
Leaderboard
CHEZA SASA

Anza kuzungusha reels za michezo ya Kalamba na unaweza kujishindia zawadi ya cash drop bila mpangilio kadri unavyocheza, kukiwa na jumla ya zawadi za 2,500,000,000 TSH kutolewa! Ni rahisi, chagua moja ya michezo yetu ya Kalamba inayoshiriki na uanze kushinda. Unaweza kushinda zawadi ya pesa taslimu kwa KILA mzunguko, bila mpangilio kadri unavyocheza, na zawadi ya kwanza ya 2,500,000 TSH! Unaweza kushinda zawadi bila kikomo, mzunguko wowote unaweza kukupatia zawadi ya pesa taslimu hivyo endelea kuzungusha ili kuendelea kushinda!

Promosheni ya Kalamba Cash Drops itaanza kuanzia Ijumaa tarehe 15 Disemba 2023 hadi Jumanne tarehe 30 Januari 2024.

Ni rahisi, zungusha kwa dau lolote ( hakuna kima cha chini cha dau ) kwenye moja ya michezo au yote kwa pamoja ya Kalamba inayoshiriki iliyotajwa hapo chini kupata nafasi ya kushinda zawadi za pesa taslimu:

Muda wa Promosheni
 • Promosheni ya Kalamba Cash Drops itaanza kuanzia Ijumaa tarehe 15 Disemba 2023 00:00 GMT hadi Jumanne tarehe 30 Januari 2024 23:59 GMT.
 • Bashiri zote zilizowekwa au kukamilika nje ya muda wa promosheni uliotajwa hapo juu hazitofuzu kupokea ofa hii.
Bashiri Zitakazofuzu
 • Bashiri za pesa taslimu ni lazima ziwekwe kwenye moja ya michezo hii ifuatayo:
  • Hyper Blitz Hold and Win
  • Flaming Scarabs
  • Joker Max
  • Football Blast
  • Cashpot Kegs
  • Big Bounty Bill
  • Pharaoh’s Reign
  • Gold Tracker 7s
  • 9 Blazing Cashpots
  • Double Joker
  • Blazing Bull: Cash Quest
  • Lightning Fortune
  • Blazing Bull
  • Joker Rainbows
  • Joker Leprechauns
  • Joker Fortune Blitz
  • Firedrake’s Fortune
 • Bashiri yoyote kwenye mchezo unaoshiriki ndani ya muda wa promosheni unaweza kupata zawadi kutoka kwenye zawadi ya jumla. Hakuna kima cha chini cha dau.
 • Ni mizunguko ya pesa halisi pekee ndio itapata alama (bashiri kutoka mizunguko ya pesa za bonasi haitohesabika).
Cash Drop
 • Mzunguko wowote wa pesa halisi kwenye mchezo unaoshiriki unaweza kupata zawadi ya Cash Drop bila mpangilio.
 • Mchezaji yoyote anaweza kujishindia zawadi nyingi/zaidi ya moja ya Cash Drop ndani ya muda wa promosheni.
 • Zawadi ya pesa taslimu zitawekwa moja kwa moja kwenye akaunti ya mchezaji papo hapo ushindi unapopatikana. Zawadi inapotolewa, itaondolewa kwenye orodha ya zawadi za jumla. Idadi ya zawadi zilizobaki zitaonyeshwa kwenye muda halisi, kwenye widget ya Cash Drop au kwenye upande wa zawadi
 • Kutakua na zawadi 9,344 za cash drop zitakazotolewa bila mpangilio kwa wachezaji watakaocheza ndani ya muda wote wa promosheni, kukiwa na zawadi za pesa taslimu kuanzia 62,500 TSH hadi 2,500,000 TSH, ikiwa ni sehemu ya zawadi ya jumla ya 2,500,000,000 TSH.
Jumla
 • Hii ni promosheni ya mtandao kwenye tovuti zote za Kalamba zinazoshiriki.
 • Zawadi ya jumla na kima cha chini cha dau kwenye haya mashindano vipo kwenye mfumo wa EUR na vinaweza kuathiriwa na viwango vya ubadilishaji sarafu.
 • Tuna haki ya kubatilisha alama, au kutolipa zawadi, ambapo alama zote au sehemu ya matokeo hutokana na makosa yoyote dhahiri, kosa au kosa la kiufundi (pamoja na malipo yasiyo sahihi ya mchezo) ikiwa inasababishwa na mashine au makosa ya kibinadamu kwa sababu yoyote ya michezo inayoshiriki.
 • Tunahifadhi zaidi haki ya kutolipa zawadi za pesa taslimu ambapo, kwa maoni yetu, yote au sehemu ya matokeo ya alama kutokana na kudanganya au kushirikiana na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa na/au kubadilisha vigezo vya promosheni na masharti yanayohusiana na hii kwa hiari yetu, na maamuzi yoyote kulingana na ushindi uliotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu, kumtenga mteja yeyote kutokupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa (mf. Alama bora za uhakika; bonasi; bashiri za bure; alama zilizoboreshwa na ofa za rejesho la pesa) na matangazo mengine yoyote ya promosheni na ofa.
 • Tuna hifadhi haki ya kutenga, kughairisha au kuondoa Bashiri za Bure na Ushindi uliotokana na Bashiri za Bure kutoka kwenye akaunti ambazo zitagundulika kufanya ubadhilifu.
 • Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.