Messi Goals Giveaway Messi Goals Giveaway

Furahia maajabu ya Messi: Shinda bashiri ya bure kwa kila goli atakalolifunga katika mechi ya Fainali ya Kombe la Ligi!
Weka bashiri kwenye mechi ya Nashville vs Inter Miami na ushinde bashiri ya bure kwa kila goli atakalofunga Messi!

Step 1
Nenda kwenye Klabu za Kimataifa > Kombe la Ligi
Football
Step 2
Weka bashiri kwenye mechi ya Fainali ya Nashville vs Inter Miami
Bonus
Step 3
Pata bashiri ya bure kwa kila goli atakalofunga Lionel Messi!
Bonus

Usikose kushuhudia uwepo wa Lionel Messi kwenye mechi ya Fainali ya Kombe la Ligi kwenye mechi kati ya Nashville vs Inter Miami! Kupitia promosheni yetu ya Messi Goal Giveaway, unapata nafasi ya kushinda bashiri ya bure kwa kila goli atakalofunga katika mechi ya tarehe 20/08/23. Ni rahisi, weka bashiri ambayo ina chaguo kutoka kwenye mechi hii, na utapokea bashiri ya Bure kwa kila goli atakalolifunga Messi!

Bashiri Zitakazofuzu:

 • Dau angalau: 1,000 TSH
 • Alama za jumla zisipungue: 1.50

Jinsi ya kutumia Bashiri ya bure:

 • Chagua bashiri yako ya bure kutoka kwenye ‘Mkeka’ > ‘Bashiri za bure’
 • Alama za jumla zisipungue: 1.50
 • Bashiri za bure zita expire baada ya siku 7
Muda wa Promosheni:
 • Promosheni itaanza tarehe 19/08/23 00:00 na itaisha tarehe 20/08/23 03:00.
Kufuzu Bashiri ya Bure:
 • Ni bashiri za pesa taslimu pekee zenye chaguo la mechi ya Nashville vs Inter Miami itakayochezwa tarehe 20/08/23 ndio zitafuzu kwenye hii promosheni. Bashiri zilizowekwa kwa pesa ya bonasi au bashiri za bure hazitofuzu.
 • Ni bashiri zilizowekwa kati ya tarehe 19/08/23 00:00 – 20/08/23 03:00 ndio zitafuzu kwenye hii promosheni.
 • Dau la bashiri halitakiwi kua chini ya 1,000 TSH.
 • Bashiri zilizofuzu zinatakiwa kuwa na alama za jumla zisizopungua 1.50.
 • Ni bashiri zenye chaguo la kabla ya mechi ya Nashville vs Inter Miami pekee ndio zitafuzu kwenye hii promosheni.
Taarifa ya Bashiri ya Bure:
 • Bashiri ya bure itatolewa kwa kila goli litakalofungwa na Lionel Messi kwenye mechi ya Nashville vs Inter Miami ya tarehe 20/08/23.
 • Bashiri ya/za bure zitatolewa ndani ya masaa 72 baada ya kukamilika kwa mechi.
 • Kiasi cha kila bashiri ya bure itakayotolewa kwa ajili ya magoli ya Messi kitakuwa ni TSH 1,000.
 • Bashiri za bure zinaweza kutumika kuweka bashiri zote za michezo.
 • Bashiri za bure lazima zitumike kuweka bashiri zenye alama za jumla angalau 1.50.
 • Bashiri za bure haziwezi kurudishwa na haziwezi kutolewa kama pesa taslimu.
 • Ushindi wowote uliotokana na bashiri za bure utawekwa kwenye akaunti za wachezaji kama pesa zinazoweza kutolewa, isipokuwa kiasi cha awali cha bashiri ya bure.
 • Promosheni hii haiwezi kujumuishwa na ofa nyingine au promosheni zinazoendelea wakati huo huo.
 • Tunahifadhi haki ya kubadilisha au kufuta ofa hii wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali.
 • Vigezo na masharti ya jumla ya tovuti kuzingatiwa.
Jumla
 • Tuna haki ya kubatilisha bashiri yoyote pale ambapo kutakuwa na kosa lolote la wazi, au kosa la kiufundi iwe imesababishwa na mashine au hitilafu ya binadamu kwa kuzingatia michezo yote inayoshiriki/mechi au kama unaweza kua na njia za kujua matokeo ambazo sio za haki wakati wa kuweka bashiri.
 • Tuna haki ya ziada ya kubatilisha ushindi,, au kutolipa tuzo ambapo, kwa maoni yetu, tukiona sehemu ya matokeo ina udanganyifu au ushirikisho na wachezaji wengine.
 • Tuna haki ya kuondoa au kubadilisha vigezo na masharti haya ya Promosheni kwa hiari yetu, na uamuzi wowote kuhusiana na ushindi unaotolewa.
 • Tunaweza, kwa hiari yetu kumtoa mteja yeyote kupokea matangazo yaliyochaguliwa na matangazo mengine yoyote na ofa.
 • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.